Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,100
YNWA [emoji3531]
Umeona sasa ulivyovurugwa?[emoji1787]Kuliko niwe shabiki wa liverpulu Bora nikanywe zangu wanzuki nilale TU..
Hii utopolo isiyo na mbele Wala nyuma kwanza ingetokea mumepata sunctions kama zetu sisi vidume aise wachezaji wenu wangashagoma.
Mechi saa ngapi??Angalia kesho tunamfanya Nini Madirid..sisi fainal ni uhakika tunasubiri takataka kama liverkuku au takataka yeyote tuichabange...
Sisi ndio Chelsea bwana alaah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji170][emoji170]
Mbona gemu dakika 90+ jamani.Huko man utd kunachekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Washaanza kutuogopa kabla hata ya mechiView attachment 2184812View attachment 2184813
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Dakika 90 hizo kwioo! Hatuna uwezo wa kucheza na nyie, labda tuende kujifurahisha tu mkuu pale kwenye dimba lenu la mauaji.
Wamesurrender mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona gemu dakika 90+ jamani.
YNWA
😂😂😂😂😂Mkuu hakuna gemu dhidi ya Manchester United nyepesi kwetu.Dakika 90 hizo kwioo! Hatuna uwezo wa kucheza na nyie, labda tuende kujifurahisha tu mkuu pale kwenye dimba lenu la mauaji.
Naona unawatamani sana hawa jamaa.Wamesurrender mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajipigia tunavyotaka.
Ila ingekuwa inawezekana kweli wangekubali tu kutokucheza ili walinde heshima.
Mno yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unawatamani sana hawa jamaa.
YNWA
Ubovu wa man UTD siyo guarantee ya Liverpool kuwin mechii mkuu.Wamesurrender mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutajipigia tunavyotaka.
Ila ingekuwa inawezekana kweli wangekubali tu kutokucheza ili walinde heshima.
Hii haina mjadala mkuuUbovu wa man UTD siyo guarantee ya Liverpool kuwin mechii mkuu.
Ni Sawa na ubovu wa Everton ulivyo mshangaza Man UTD.
Ndo maana Captain kasema tusubiri dk 90 japokuwa Liverpool ana % kubwa ya kuwin mechii kitakwimu.
EPL sote tunaijua, Ina matokeo yakushangazaa.
Mweee Origi wetu anaondoka[emoji3064]
Hahaha hii huna baridi kama ya Jumapili kumbe 😂... Naona upo motooo balaaaMno yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mechi mapema sana ntakuwa naisubiri niicheck mwanzo mwisho.
Wajee wajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hii huna baridi kama ya Jumapili kumbe [emoji23]... Naona upo motooo balaaa
Hii gemu ya Man U inachezwa Jumanne hii saa nne usiku maana ni kiporo. Tunawakaribisha machijioni Anfield
YNWA