Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niko safarini muda huu na nitafika home usiku sana naomba kama kuna link nipewe nam nipate kuwa nachungulia kidogo
 
Naam Kops it's our time let's make it... Iwe mvua ama jua city lazima afe amini amini nawaambieni Leo dunia itasimama..
YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhana acha presha sio gemu ya kufunga msimu mbona mechi nyingi tu.

Ebu tulia Miss Liverpool kaangalie mechi.

YNWA
Nipo hapa naangalia
Kiherehere hakijaniacha salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Mechi bado zipo ila leo ndo siku ya kumpita kipara na kukaa pale juu.
Tukishindwa leo basi probability ya kukaa pale juu itakuwa ndogo mno aisee.
 
Nipo hapa naangalia
Kiherehere hakijaniacha salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa tulia bhana enjoy the game.

Hii gemu kwa mashabiki wote wa timu mbili mbona inatia baridi fulani lakini ndio mpira aisee baada ya dakika 90 kuna mmoja atacheka ujue

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom