Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20220405_225632_edit_507563951056403.jpg

Huyu mwamba ni noma sana magoli haya ya mtoani hua yupo moto balaa.

YNWA
 
Nikitazama Dimba la Kati THIAGO-FABI-KEITA leo ukuni wa Mvua hatumwi mtoto.
Yule Captain anayekuwa bora akiwa hana mpira atusamehe leo awasubiri kina Newcastle United.
 
View attachment 2177137

Duuh hiki kitendo cha Mane kukataa asifanyiwe sherehe pale Anfield baada kwa sababu ya Salah kushindwa kufuzu Qatar ni cha kiungwana sana.

Kwa kweli Mane i salute you.
Humble boy hana makuu.
Kweli pale Anfield ni familia moja tu hakuna kingine.

YNWA
He is very humble
Nampenda huyu kaka aisee

Roho yake nyeupeeee
Mungu azidi muinua
 
Nikitazama Dimba la Kati THIAGO-FABI-KEITA leo ukuni wa Mvua hatumwi mtoto.
Yule Captain anayekuwa bora akiwa hana mpira atusamehe leo awasubiri kina Newcastle United.
Mhmh mbona kama wameanza kuchola kati kuna sloppy passes za kutosha. Utulivu unahitajika.

Kumbe Salah kukosa Qatar imemuadhiri kiasi fulani maana leo tena gemu mpaka sasa inamkataa kabisa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom