Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kweli wapo wanaangalia biashara,
Kweli if you fail to plan then you plan to fail.
Ndio hivyoooooooo.

Walipaniki kusikia Pep anamtaka Ronaldo wakisema hapana buyu babu kwanza kibiashara anauzika na pia ni comrade wetu arejee hapa. Kumbe Pep aliwachezea tu akili wakaingia mazimaaa.

Mshahara wa Ronaldo unalipa karibia Diaz wanne Hahaha.

YNWA
 
Unalipa Diaz wanne na bado huyo Cr wao 7 anacheza tu sindimba uwanjani
 
Ili kuwamotivate zaidi Inabidi wakabidhiwe ndoo yao at a full Anfield crowd

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Itakua jambo njema sanaaaa Anfield full booked na kombe hilooo linatua hahaha...

Huchelewi kusikia kuna kurusi kipya cha corona waanze zengwe yaaani tumooo.

YNWA
 
Leo tuko pamoja na Benfica, hawatotuangusha.
Tunatafuta draw hapo bandani kwenu anfield, nyumbani kwetu tunawatandika kimoja Cha fastaaaa ..haooo semi final

Come on Benfica
#BenficaNguvuMoja
Takataka lako limezidiwa umelihama sasa
Huko ulikohamia nako tunatembeza kichapo
 
Anthony Taylor from Manchester to referee Manchester City vs Liverpool with Paul Tierney on VAR

FA wameanza figisu,huyu refa na yule kwenye VAR ni Man City residents
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom