Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha yupo moto kafunga goli la 20 msimu huu na ndio mara ya kwanza kufunga goli 20 tangu aanze kucheza professional football.

Chini ya Klopp hakika sky is the limit kwa hawa ma dogo yaaani washindwe wao tu maana kila mbinu wanapata namna ya kujiposition nk

YNWA
Huyu Klopp kama mashine aisee
Sijui anawatrain vipi hawa vijana wanakuwa wapambanaji mno.
 
Huyu jamaa anajituma mno aisee
Sometimes watu wanamuona mbinafsi lakini inasaidia.

Anapambana hadi mwisho,hategi
Siyo kama michezaji ya man u.
Manchester United wanakuja Anfield ujue jiadae uwashukie uzini kuwapa updates pale Diaz anafanya jambo lake.

Kwanza kitendo cha Manchester United msimu huu wanatoka kapa bila kombe lolote mbona ni kiburudisho toshaaaa.

YNWA
 
Huyu Klopp kama mashine aisee
Sijui anawatrain vipi hawa vijana wanakuwa wapambanaji mno.
Hahaha ana jopo lake la walimu pale wamesheheni mbinu za kutosha.

Tupo kamili.

Klopp ni fundi kwanza hua ha panic akiwa na kikosi kizima hua anajua ushindi utachelewa lakini utakuja tu.

YNWA
 
Manchester United wanakuja Anfield ujue jiadae uwashukie uzini kuwapa updates pale Diaz anafanya jambo lake.

Kwanza kitendo cha Manchester United msimu huu wanatoka kapa bila kombe lolote mbona ni kiburudisho toshaaaa.

YNWA
Hivi hii mechi ni lini?
Nawaonea huruma.

Sijawahi ona timu inatia huruma kama man utd.
Unit yao sijui hata iko wapi

Bora wangejiita tu dis-united.
 
Screenshot_20220404_222221_com.android.chrome_edit_479548573055469.jpg

Yaani FSG watuletee huyu dogo na jameni mbona fingers crossed hatuna maneno nao.

Atue huyu dogo, Bissouma na Bremer na hakika tupo sorted kusaka kila kombe full throttle.

YNWA
 
Hivi hii mechi ni lini?
Nawaonea huruma.

Sijawahi ona timu inatia huruma kama man utd.
Unit yao sijui hata iko wapi

Bora wangejiita tu dis-united.
Inaitwa failing to plan is planning to fail hahaha watajiju walitucheka sana enzi ya Fergie sasa mambo yamegeuka kwao hawana uhakika hata ya Europa msimu ujao.

Wewe uliona wapi kikosi kinajengwa kwa kutazama zaidi baishara kuliko matokeo uwanjani.

Wapigike.

Kweli wapo wanaangalia biashara,
Kweli if you fail to plan then you plan to fail.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom