Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220402_162355_com.android.chrome_edit_402524285463576.jpg


Say the name againnnnnnnnnnn...

Jota,... Jota who.... Jota magoliiiii.

YNWA
 
Wakuu hii penalty sijaielewa naombeni mnifafanulie hapo sio hilo goli tumepewa tu?
kama umeangalia mpira utaona namna ambavyo jota alivyofanyiwa faulo ilipopigwa kona alishikwa na kuvutwa chini ile ni clear penalt maana yule beki hakuwa anaconsentrate kwny mpira ila attention yake yote ni kumshika jota asipige kichwa ile ni penalty ya wazi
 
Hongereni japo kwa masaa machache mtarudi kwenye nafasi yenu.
sisi tunashinda game zetu tu hatujali kuhusu mengine. mentality nikuchukulia kila game kama fainali mengine yatajipa yenyewe. hatukuwa kwny ubora wetu lkn umeona point tatu tumezichukua kibindoni. hivyo ndo ambavyo bingwa anashinda mechi za mpira was miguu
 
Screenshot_20220402_165511_com.android.chrome_edit_404178464596657.jpg


April 2022 tuna gemu 7 zote muhimu sana kila gemu hapa ni kama fainali kwetu.

Kwa hesabu hizi moja ni played wrapped na 3 zimebaki nyumbani bado gemu 6.

YNWA
 
Hajajjajaaaaaaaa,najua roho inawaumaaa mlituombea msiba kwa hawa Wachomwa moto ila bahati mbaya wamekutana na wanaume sio wavulana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom