This is a very weird take Mkuu especially kutoka kwako.
Choosing kusimama na FSG over Salah/any LFC player siyo suala la kulisema kirahisi kama utazingatia history ya FSG at LFC.
Tunasahau mapema sana, FSG walikuwa wanaiendesha hii Club kama Mid-table team kabla ya ujio wa Klopp, Sifa wanazopata FSG now kwa kuonekana wana-run Club vizuri, zote zimekuja kwenye tenure ya Klopp, zimekuja 5 years late baada ya kuwepo at the CLUB since 2010, our Club was at one point a laughing stock under them, tunasahau pains tulizopitia kwa FSG kutuleletea average players for so many years kwasababu tu project yao ilikuwa hai-attract WC players kabisa, tunasahau kuwa Rodgers alikuwa analazimika kumtumia Captain SG kuwapigia simu wachezaji tunaotaka kusajili ili kujaribu kuwa-convince waje LFC, almost 12 years at LFC na wana 2 major trophies to show for it, na zote zimekuja kwenye tenure ya Klopp, why model yao ambayo inasifiwa kila kukicha ilikuwa haifanyi kazi kabla ya Klopp? i mean mbona haikutupa major trophies? kabla ya Klopp walikuwa na Carabao Cup tu kwenye CV yao, and what kama Klopp akiondoka? hii model inayosifiwa itaendelea kufanya kazi after Klopp? when tunajua fika kuwa it was a nothing model kabla ya Klopp.
Jurgen Klopp, changed LFC.
Salah, yupo very right kwa demands zake kuhusu mshahara, he's one of the most looked at soccer player in the world (on and off the pitch), kwa level ya Salah aliyofikia on a global note, ukikaa nae kwenye negotiation table, huongei nae tu kuhusu pay-rise na bonuses, unaongea nae pia kuhusu "image rights", pia, kama anakuletea hela nyingi kwenye club yako through his stardom (every soccer sponsor ni lazima atataka kufanya kazi na club ambayo ina-own signature ya mchezaji mwenye calibre yake), kwa mtizamo huo hawezi kukubali ku-sign mkataba mpya just because he loves the club, lazima a-secure his future as a husband/father and a human-being, in short huwa tunasahau sana kuwa life-span ya proffesional soccer players kwenye field & peak ni fupi sana, so ni lazima wapiganie maslahi yao ili kulinda maisha yao baada ya mpira.
Salah ameplay part kubwa sana kwenye mafanikio ya LFC under Klopp, matter of fact bado anaendelea kutoa mchango mkubwa sana, umuhimu wake ndani ya LFC ndiyo umefanya awe considered kama one of the top 3 best soccer players in the world right now, ukiwa unazungumzia faces za EPL huwezi kumuacha Salah, people all over the world are tuning EPL just to watch him play, kwanini asi-demand a pay-rise?, look at his numbers, look at what he's doing on the pitch every WEEK, why would you want to cash in on a player like him tena akiwa kwenye his peak? who does that?
LFC highest earner ni VVD (220k p/w), Salah is second with 200k, same with Thiago, now he wants a pay-rise, whats FSG excuse? kuwa wata-break Wage structure? what wage-structure? we are not a midtable team anymore, we are one of the world's best, going toe to toe with Man City, Bayern, PSG, Madrid, Barca etc, why should we entertain a stupid wage structure policy, same policy ambayo imeshuhudia baadhi ya players wakiondoka LFC baada ya kuona kuwa wapo under-valued na Club, same policy imeshuhudia baadhi ya players wakilipwa over the odds ukilinganisha na mchango wao on the pitch, same policy ambayo inafanya mpaka leo Karius agome kuondoka LFC ili ku-run down his contract bila hata kucheza kwasababu tu hakuna club ambayo ipo willing kumlipa anacholipwa at LFC, and whats more funny, wage structure yetu haina tofauti sana na ya Man City (one of the biggest world spenders), our highest earner ni VVD, but 75% ya senior players wana earn more than 150k (excluding bonuses), probably ni senior players wawili tu ambao wanalipwa chini ya 100k at LFC (Diaz & Takumi), we are paying Oxlade 120k p/w, for what? Henderson alikuwa ana-demand pay-rise kwasababu ya mchango wake wa ku-lead the dressing room na togetherness BUT we need to understand FSG policy when it comes to Salah? undisputed world class player.
Who can replace his output? few seasons ago, kuna watu humu walikuwa na agenda na Salah, and wengine wakataka Sancho awe his replacement, i remember writing a whole post about it, now look at Sancho pale Utd and tell me kama angeweza ku-replace output ya Salah right-away.
Front 3 ya SALAH/MANE/FIRMINO ni ICONIC, it will take years kwa LFC kupata front 3 yenye chemistry kubwa kama ile, na huwa haziji mara kwa mara, tulishuhudia, MSN na BBC na hazijajirudia tena kwa SPAIN, at LFC we had SG & Torres partnership, then years later we had SAS, then it took us years again kutengeneza front 3 hii ya sasa, na imefikia mwisho now as Mane & Firmino wamepoteza explosiviness zao, so Klopp is trying his best to manage their game-management, now Klopo is slowly trying to phase out the front 3 by introducing Jota & Diaz, but looking at them, looking at Jota all-round play hawezi ku-replicate role ya Firmino, looking at Diaz, bado ana flaws nyingi sana kwenye his game (though amekuwa impressive and eager to learn), it will take time, but going forward front 3 mpya haitakuwa lethal na complete kama hii inayokuwa phased out, hence Klopp is slowly ditching the 433, tunaingia kwenye 4231 ambayo our main target in the summer lazima itakuwa ni MF and not a forward.
People thinks it will be so easy kwa Jota & Diaz ku-replace game-plays za Mane & Firmino, no it wont be easy, na kwasababu hiyo Klopp itabidi aje na approach mpya ili kuendana na flaws za Jota & Diaz, na kama unawa-phase Mane & Firmino out, hiyo new approach itabidi uijenge around mchezaji ambaye yupo kwenye his peak ( a 25 goals winger, SALAH).
Tuseme, umemuuza Salah nani atakuwa his replacement ambaye anaweza ku-cover flaws za Jota & Diaz? Raphinha? Bowen? Antony? because FSG hawana guts za kusign players kama Mbappe, Kane, Haaland etc ambao wana uweso wa ku-replace directly output ya Salah.
Imagine having a front 3 of Diaz/Jota/Raphinha(Bowen), nani hapo anaweza kwenda Etihad, Bernabeu, Camp Nou, Allianz, OT, Stamford Bridge etc na akaweza kuamua game mwenyewe? Jota is scoring a lot of goals despite his bad all-round play kwasababu anacheza na world class attackers, mwangalie Jota wa Wolves na huyu wasasa, ni 2 different animals na hii sense inakuja kwa kucheza pamoja na world's best players, Diaz will develop kuwa world beater kama akiendelea kucheza alongside world class attackers, because they make it look easy sana, ukicheza nao, BUT you all want FSG to let these players GO, especially Salah, because mnahusi Klopp atafanya miracles, tunasahau his last years at Dortmund, alivyofail na attackers kama Immobile, ramos etc.
Give Salah his new contract and continue to build the new attacking line kupitia yeye, our main rival now, wanataka kumsajili Haaland, sisi tunataka kumuachia Salah, mchezaji ambaye misimu yake yote at LFC kafunga goals zaidi ya ishirini kwenye league, na bado ana njaa ya kufunga, then unataka umuachie kisa ana-demand right yake ya msingi kwenye his peak years. Pep guardiola anaachana na his false 9 experiment, anamtaka Haaland a 20 goals ST per season, sisi tunataka kumtoa our 20 goals per season winger, and bado tunataka ku-compete, compete with Bowen as your starting RW? atakupa nini kwenye CL nights? atakupa nini at Etihad when you need a WIN? atakupa nini ukiwa unahitaji ku-recover some loans kwa returns za mauzo ya Jersey?
FSG wants to sell Salah, and they know this is a perfect time ku-make huge profit on him, Mbappe is leaving PSG and they will try to replace him, its well known kuwa they've already contacted his agent and FSG knows this, luckly Salah doesnt want to leave, na mshahara anaotaka LFC ni mdogo compared na ule ambao ange-demand at PSG, na kama Salah asipopewa mkataba now he will leave for free next season, and this is what pains FSG the most, ndiyo maana wana-leak hizi propaganda kuwa he wants 500k as basic wage, this is nonsense, there's no way mchezaji anayelipwa 200k aende kwenye negotiation table na ku-demand payrise ya 300k, hakunaga kitu kama hicho, huwezi kuwa kichaa uka-demand upwards ya one of the highest wage fee note (300k), and sadly people are buying this, you got to be so stupid and un-educated to believe this, and moves zote hizi ni za kumfanya aonekane GREED, and this is well known FSG tactic, they did it to Sterling, Emre Can, Wijnaldum, Torres, the list goes on
Ukifatilia close hii saga, it seems Salah wants a payrise ya 100k from his-now contract of 200k p/w, which ukiongeza bonuses + image rights, inagota kwenye 380k, kwangu mimi ni very reasonable, ha-demand wages kama za kina Messi, Ronaldo, Mbappe, Haaland, Lewandowski etc, a very reasonable wage, kulinganisha na his status, na it can be negotiated, BUT you can feel FSG watakuwa wame-offer kuongeza 20k kwenye his wages ili awe on per with VVD (HAWASHINDWI na unaweza ukarejea saga ya Gini, that LEGEND was on 75k for years when he finally asked for a payrise for his hard work, sweat and tears, wakatumia media kum-label kama greedy, and as always proper reds turned on him, the guy that gave them so much joy)
You can call Salah greed, but anastahili anacho-demand, thats just nature, hata sisi tunapitia haya kwenye ajira zetu, kazi anayofanya Salah siyo nyepesi, anawaingizia FSG hela nyingi sana, he needs to be compansated, na ukiachana na hilo, we NEED HIM.
Team, ni combination ya 11 players, but ili ufanikiwe ni lazima uwe na mchezaji ambaye ni Stand-out player, nyota wa mchezo ambaye anaweza kukupa matokeo kwa njia yeyote ile mambo yakiwa magumu, peak Messi at Barca, peak Ronaldo at Utd & Madrid, Thienry Henry at Arsenal, Drogba/Lamps at Chelsea, Lewy at Dortmund & Bayern, peak Aguero at Man City and now they have Kevin, now unaona Benzema anayoibeba Madrid, Messi alikuwa anacheza na 2 most intelligent midfielders the world has ever seen (Xavi & Iniesta), lakini kuna muda walikuwa wananyoosha mikono na kumuacha Messi aamue game on his own, at LFC we have Fabinho, Thiago, Trent, VVD, Mane, Firmino, Jota etc, wote hawa ni world beaters, but kuna muda wanamuacha Salah aamue game, na ndiyo maana Salah alivyorudi kutoka AFCON, VVD alikuwa recorded on live video akisema "THE MAIN MAN IS BACK", sasa unakuta wachambuzi na local jornos wanakwambia Salah akilipwa wage anayotaka kina VVD wataumia, yaani ni ujinga mtupu, excuses za kitoto kama hizi zipo LFC tu, tunaruhusu sana FSG itu-brainwash.