Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwani aliyemwajiri Klopp ni nani? Huyo aliyemleta Klopp Liverpool anastahili sifa na mpira wa sifa utarudi back to FSG
So, when you're working on a project thats not growing and showing no signs of development, then uka-hire mtu na kumpa A, B, C za your project hoping kuwa ata-solve kila kitu na kubadilisha upepo, then luckly huyo mtu anakuja kwenye hiyo MESS, na kubadilisha kila kitu, kuanzia structure ya uongozi, recruitment team, in-game management etc, na anafanikiwa kwa 100%, nani anastahili praises hapo? boss ambaye alishindwa kabisa kui-develop model yake aliyokuwa anaiamini, au employee ambaye amefanikiwa kui-develop hiyo model katika limited budget?

Kabla ya Klopp at LFC, FSG had Daglish & Rodgers as managers, endorsements zipi zilikuja at LFC?, major trophies zipi zilikuja at LFC? tulikuwa even able to compete with the likes of Arsenal? ukiachana na 2013/14? how many times Spurs walimaliza kwenye league table juu ya LFC?, why do you want to give praise kwa boss ambaye model yake ili-fail? why usimpe praise mtu ambaye kwa utashi wake alibadilisha mtazamo wa watu wengi kuhusu LFC?

you know the importance of World Class Managers kwenye football?, you how hard it is to manage players & club affairs, you know how hard it is to manage football stars wanaolipwa millions just to kick a football? Klopp came at LFC with huge expectations na amezifikia, kulingana na model ya FSG.

Hii inanikumbusha, proper reds wanavyosemaga kuwa FSG saved us from liquidation, no they didnt, they saw a business opportunity and invested on it, LFC, one of the biggest football brands was auctioned for £300m, nani asingekuwa interested?

You cant thank the owners, for doing what they're SUPPOSED to do, LFC siyo charity club, ni taasisi yenye lot of followers around the world, when you invest on it, unakuwa una-invest kwenye expectations za its followers, ambao ndiyo wanatengeneza msingi wa CLUB.
 
Fingers closed man. Well said.

Good to have your input on this hard-core issue ya Salah. Hata Klopp kwa kulinda maslahi ya wote hajachukua upande mmoja na kuegemea.

Ki ukweli hii ishu inatisha ukiwaza ma assist, magoli yake, mvuto wa kibiashara, mvuto kuleta wachezaji wengine Liverpool . Kila ukiwaza maisha bila Salah duuh binafsi najipa moyo Klopp atatuokoa kwenye hili ni kweli sio miracle worker lakini ndio kete pekee kutuadhirika endapo Mwarabu wetu atasepa PSG ama Juventus.

Chini ya Klopp kumekua na continuety ya mipango uwanjani na usajili labda hii linawapa jeuri kwamba watapata like for like signing. Bowen na Raphinah sio hata nusu ya Salah. Labda mmoja anunuliwe sasa aje kua understudy wake design kama Konate learning from Matip and VVD.

Worse to worse tumpate Darwin Nunez this June boy rated highly by Surez na anao uwezo to grow being a real hitman. Huyu anacheza pale mbele pote hivyo Klopp sasa atakua na utajili wa ku phase out Salah (haha as if ni that easy) lol na kuona kama kweli 4321 will be effective as our front 3 is being phased out. Itakua balaa kuwatoa Mane Firmino Salah na kuleta new line new formation bila hawa front kuwepo.

Hili la kudai crazy wage nimeangalia media nyingi hakuna mahala wakala wa Salah au Edwards/FSG wamesema wenyewe Salah anadai 500k kwa wiki ina maana ni spinning za aidha haters ama FSG kupima upepo endapo wakiamua kumuuza ama kumuacha asonge bure 2023 June. Salah anajua dhamani yake na anajua huu pengine ndio mkataba wake wa mwisho wenye maslahi mapana kwake kama ulivyosema peak yake as professional sio 4eva mpaka anatimiza 34 atakua ana drop kimtindo.
Hivi ina maana hawa FSG kweli hawatakaa wabadilike kamwe kuelewa vyema dynamics za EPL mpaka sasa miaka 12 wapo Anfield wanaelekea kufanya makosa yale yale. Maana kama Salah anadai £300k hio kwangu ni peanut ukilinganisha anacho contribute uwajani na nje ya wa uwanja. Lazima ifike mahala kama hawawezu kuedana na ukuaji wa klabu kutoka mid team na kua world beaters basi wasepe zao wauze timu sio kung'ang'ania sera za mid team maana hata hawa akina Jota, Diaz watakua kisoka na ku hit viwango vya juu sana na kwa vile wana umri mdogo sana ina maana wakija kudai kulipwa £250k wataonyeshwa mlango.
Katika vitu ambayo hua vinachosha ni FSG kupenyeza uongo kwa social media ku spin mambo ili kutimiza wanachotaka yaaani kwa Gini walifanikisha vyema sana na too bad mara chache uone hawa wachezaji wakitoka hadharani kujitetea muda mwingi wao husonga mbele na maisha.

Muda utasema ndugu kama Salah wanamuhitaji ama watamkaanga.

Salah ataodoka hakuna namna kama akiona anachopewa hakuna namna amesaidia kuturejesha kwenye ubora na sisi tumempa platform ya kua moja ya mchezaji bora kwa sasa duniani. Anaodoka akiwa mara 100 alivyokuja Liverpool. Anaodoka akiwa ni brand haswa amepikwa vyema.

Kwa sasa nishasema ana msimu mmoja na huu robo uliobakia lets enjoy while this last man.

Too bad ukweli wa anachokitaka Salah hautakaa ujulikane hivi hivi labda Rammy aamue kuweka mambo hadharani of which ngumu labda kuna vipengele vinambama kutoka hadharani. Hata Salah mwenyewe alishasema anataka tu aongezewe kiasi.

YNWA
Captain, suala la FSG kutaka ku-make profit kwa Salah halijaanza leo, lipo kwenye cards kwa muda mrefu sana, na ndiyo maana hata mazungumzo ya huu mkataba mpya walikuwa wanayachelewesha maksudi tu, but kujifanya wapo clever sana kunaenda ku-backfire now, maana Salah amebakiza mwaka mmoja tu na haoneshi nia yeyote ya kutaka kuondoka at LFC, na kama hatapata mkataba ataondoka for free, ndiyo maana FSG are busy trying to divide him na fans, leaking vile lies kuwa anataka BIG wages, sasa mchezaji ambaye anataka kubaki at the Club na kashasema wazi, ata-demand vipi hizo BIG wages ambazo zitampa disadvantages kwenye nia yake ya kubaki at LFC?

You have a top 3 best player in the world right now begging to stay, but you want to sell him for a profit because umeona PSG wanaweza kuwa desperate Mbappe akiondoka, this is not how a big club should be runned.

Salah is not slowing down anytime soon, use him, use his prime years, he still wants to offer his prime years with us, why are we refusing? reason ya FSG ni ipi? why would.you let number one attacker kwenye EPL aondoke? it doesnt make sense.

At least ningewaelewa FSG kama Salah angekuwa kishachuja AU yeye mwenyewe ana-force a move, but the thing is vyote hivyo havipo.

And, imekuwa ni ishu inayojirudia under FSG, kila star player anaondoka, anaondoka na bad image na kuonekana Villain, look at Torres, Sterling, Can, Wijanaldum, Suarez and even Coutinho, lazima wawe labelled as Villains, lazima fans wawe divided, hii yote ni njia ya FSG kujifanya hawana makosa kabisa, mfano tu kuna watu wanaamini kabisa Salah wants 500k p/w, na tayari washaanza kumuita greedy na other bad names, hawafikirii kabisa, na kwa bahati mbaya ikitokea Salah akiondoka, maneno hayo hayo ndiyo yatatoka kwa FSG through local jornos, kuwa jamaa alitaka 500k, tukashindwa kufikia na akaamua kuondoka, thats how FSG wanaplay hii game, imekuwa kama hivi for years, sasa kulikuwa na haja ya gani ya kum-label most humble player kwenye our Klopp's era (WIJNALDUM) kama greedy and ungrateful, unajua msimu wake wa mwisho Wijnaldum alikuwa anapata hate comments nyingi sana kutoka kwa fans kwenye his social media, kwasababu ya upuuzi wa FSG, mtu ana-demand haki yake, kama huwezi kuifikia mwambie huwezi then m-part ways kwa amani, siyo unaanza kumchafua ili wewe usionekane tatizo.

Now, Trent anapokea 180k p/w, mkataba wake unaisha 2025 i think, bado atakuwa very young, na mpaka sasa he is considered kama one of the best RB of his generation and bado anaendelea ku-improve kila siku, without Trent kwenye team yetu we create NOTHING, he is one of the most important players in the squad, sasa kama anapokea 180k, you think he will demand just 200k in 2025? No he will DEMAND more kulingana na kazi anayofanya LFC na his status on a global level, sasa ikifika time yake naye tutamuwekea zengwe? tutapoteza WC players wangapi kwa upuuzi wa FSG? kama Club imewa-outgrow waiuze kwa relatable investor, LFC kwasasa ni top 3 most followed/watched football club on earth, and Top 5 biggest soccer brands on earth with a lot of endorsements/deals, as a owner you need to up your pace and run with it, kuna price ya kulipa ukifikia level kama hizi, na tangu LFC ianzishwe haijawahi kufikia level kama hii brand wise.

Kila siku tutakuwa tuna-label our WC players kuwa ni greedy wakitaka they're well deserved pay-rise.

You cant get another SALAH kwenye transfer market, use him until he's done for good, build the new attacking line around him, tengeneza msingi mpya kupitia yeye, use his remaining peak years kutengeneza new attacking stars.
 
This fella Rammy ain't smart enough angesoma mwenendo mzima wa FSG na ishu za kudai zaidi kwa Gini, Sterling nk ama angetumia mbinu za Henderson na mpaka sasa FSG wangekua wamenywea lakini kutaka kuanzisha vita na Klopp ambae hata hizo social media hanaga muda nazo ni wastage of time kwake na too bad hana huo muda maana FSG watamkaanga na mteja wake ataonekana villain.

Muda utasema labda Juventus, Barcelona, PSG wanatoa ofa bora kuliko hii ya FSG.

Sawa Klopp anaweza akabahatisha tena mchezaji akaja na kufunga magoli nk lakini huyo mchezaji kuuza jezi kama Salah sio immediate impact , kuleta biashara kwa klabu sio immediate impact nk hivyo hapa losers ni FSG maana Salah atakavyokwenda baishara zitamfuata huko huko. Muone Ronaldo na Messi ni walking merchandise no wonder wanalipwa crazy wages na Salah kwa yupo top 5 duniani kibiashara ana rub shoulders na hawa wakongwe.

YNWA
Jamaa ni very arrogant, but maybe ni kwasababu anaona kila kitu, anaona stardom ya Salah na jinsi inayoiletea pesa LFC off the pitch, anaona sponsors, deals, endorsements, jersey sales, goals, assists, etc

So hawezi kuja kwenye negotiation kinyonge, lazima aulizie vitu vingi sana, goals+assists bonuses arent enough for a star like Salah.

If anything, FSG shouldve known better.


But as i said before, cant see Salah changing his agent, but he's a prick, and on the slightest note, his childish antics hazimsaidii Salah kabisa kwenye hii saga
 
Hahaha kwa hili MosDef nasimama na Pep Lijnders until Steve G the great prove me otherwise.
Hahaha tunaanza 80s era we recruit from within and by then its worked wonders ila sasa so many issues that a Manager has to come with.

My take is Klopp aongeze miaka 2 tena.

Waridhi wake nasimama na Pep mpaka pale Steve will convince me otherwise.

YNWA
Pep Lijnders hana aura ya ku-lead a big club kama LFC.

Pep Lijnders ni aina ya Coach ambaye unatakiwa umpe team aifume kuanzia chini/upya, ni kama ilivyo kwa Arteta now na hatikiwi kuwa katika pressure yeyote, you give him time and space.

LFC ilipo now, haiitaji coach aina ya Lijnders, inahitaji Coach ambaye atachukua pale alipoishia Klopp na kuwa n uwezo wa kubeba expectations zote.

Tunaji-underrate, but we are one of the biggest clubs in the world right now, pressure to sustain hii status ni kubwa sana, because 1 mistake tu, itaturudisha tulikotoka, so we need a strong manager, who can control players egos & in-game management, we need a manager ambaye atakuwa na last say kwenye dressing room.

Man city are not slowing down anytime soon, Chelsea are still in good shape, Utd just need a serious manager and think this is the year they get him, Arsenal are on a huge come up, Spurs got a proven winner as their Coach, West Ham are a very well run club right now, Aston Villa wana good owners who can really spend, Wolves are in a good shape etc, we cant afford to slip up, maana tuki-slip up itakuwa very hard to compete with these teams in the future, EPL inabadilika kila kukicha, so ili ku-maintain our status at the top, tunahitaji kuondoa sentiments, Lijnders cant manage a Club like LFC, and some dudes are just good kwenye behind doors, you see Ragnick, he's a football maniac, top football mind, kwenye scouting world ni one of the GURUS, but his managerial career is not good, because not everyone can lead a team from the touchline.
 
Hahaha kwa hili MosDef nasimama na Pep Lijnders until Steve G the great prove me otherwise.
Hahaha tunaanza 80s era we recruit from within and by then its worked wonders ila sasa so many issues that a Manager has to come with.

My take is Klopp aongeze miaka 2 tena.

Waridhi wake nasimama na Pep mpaka pale Steve will convince me otherwise.

YNWA
Pep Bado sana

Unanikumbusha ya Carlos queiroz

Au ile the brain behind klopp… some people are born to assist
 
ORIGI, Swahili boy, speaking the BEAUTIFUL LANGUAGE.

Its an honour kuwa represented na this kid, nikiwa kama East African native.

Farewell & Goodluck at AC MILAN.

 
So, when you're working on a project thats not growing and showing no signs of development, then uka-hire mtu na kumpa A, B, C za your project hoping kuwa ata-solve kila kitu na kubadilisha upepo, then luckly huyo mtu anakuja kwenye hiyo MESS, na kubadilisha kila kitu, kuanzia structure ya uongozi, recruitment team, in-game management etc, na anafanikiwa kwa 100%, nani anastahili praises hapo? boss ambaye alishindwa kabisa kui-develop model yake aliyokuwa anaiamini, au employee ambaye amefanikiwa kui-develop hiyo model katika limited budget?

Kabla ya Klopp at LFC, FSG had Daglish & Rodgers as managers, endorsements zipi zilikuja at LFC?, major trophies zipi zilikuja at LFC? tulikuwa even able to compete with the likes of Arsenal? ukiachana na 2013/14? how many times Spurs walimaliza kwenye league table juu ya LFC?, why do you want to give praise kwa boss ambaye model yake ili-fail? why usimpe praise mtu ambaye kwa utashi wake alibadilisha mtazamo wa watu wengi kuhusu LFC?

you know the importance of World Class Managers kwenye football?, you how hard it is to manage players & club affairs, you know how hard it is to manage football stars wanaolipwa millions just to kick a football? Klopp came at LFC with huge expectations na amezifikia, kulingana na model ya FSG.

Hii inanikumbusha, proper reds wanavyosemaga kuwa FSG saved us from liquidation, no they didnt, they saw a business opportunity and invested on it, LFC, one of the biggest football brands was auctioned for £300m, nani asingekuwa interested?

You cant thank the owners, for doing what they're SUPPOSED to do, LFC siyo charity club, ni taasisi yenye lot of followers around the world, when you invest on it, unakuwa una-invest kwenye expectations za its followers, ambao ndiyo wanatengeneza msingi wa CLUB.
Wewe unaujua mchakato wa kimkakati hadi amepatikana Klopp. Yaani mashabiki kwa kujitoa ufahamu hawahambo kabisa. Aliyepanga kimkakati kuleta Klopp na kimpa wachezaji wazuri yeye hastahili sifa sio. Nyie mlistahili wale wamiliki wa Arsenal
 
Adjustments.jpg
 
Hivi hii liverkuku ikiwekwa sokoni itakuwa hata na pound billion 1 kweli?
Maana thamani ya Chelsea kwa Sasa ni pound billion 3+ ..je Kuna timu yeyote imefikia thamani hii duniani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom