Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Nani huyu?
Sadio na mama yake.
Nani huyu?
Barca ya Ronaldinho iliyomuachia makovu ya kudumu Arsenal unaona ni kitoto kwako sio?Hao mliowapiga kwenye Knock out ilikuwa ni Barca ya Guardiola?
We kiazi kweli...
Barca Tishio ni 2008 mpaka 2012Barca ya Ronaldinho iliyomuachia makovu ya kudumu Arsenal unaona ni kitoto kwako sio?
Unamlinganisha sturrige na El Nino??Mlitupa eh?
Mbona sisi tuluwapa Sturridge tena akiwa moto lakini mkashindwa kubeba chochote?
Kuna magali nimewalinganisha?Unamlinganisha sturrige na El Nino??
Ndio analeta mtafaruku, Huwezi kumfanya JK kuwa laughing stock -hata kwa sekunde moja!Dah! Na wewe umenasa kwenye Mtego wa kuwa Salah anaivuruga Timu kupitia Mkataba?
Mbona toka ianze hii issue Salah hajawahi kuongea chochote?
Au labda utupe ufafanuzi kuwa huo 'Mtafaruku' anauleta kivipi?
Salah hajawahi kusingizia injury wala hajawahi kucheza chini ya kiwango kwasababu ya huu Mkataba.
Pia Salah na Ajent wake hawajawahi kueka hadharani mahitaji yao kwenye Mkataba.
Ni British Media ndiyo zinajaribu kumjengea picha mbaya Salah ili FSG wasijekuwa na lawama kwa hili.
Salah yupo very humble kwenye hili ameamua kufunga Mdomo wake kabisa.
Hauoni kuwa umewalinganisha?Kuna magali nimewalinganisha?
Hapa unaongea kwa sababu kipindi kile mliteleza man city akabeba ubingwa badala yenu. Si ndiyo?Hauoni kuwa umewalinganisha?
Sisi tumewapa a world class striker akawapa UCL title yenu ya kwanza!
Unaona ni sawa na Sturrige?
Acha visingizio ukishindwa umeshindwa.Sawa.... Si baada ya figisu match ya Barca.
No wonder 2012 tuliwaknock out hao barca tena wakiwa kwenye ubora.
wakati ule tunaejivunia naye ni Luis Suarez sio yule bishoo wenuHapa unaongea kwa sababu kipindi kile mliteleza man city akabeba ubingwa badala yenu. Si ndiyo?
Kama hukuangalia hiyo match ya barca na chelsea au kufuatilia yaliyojiri kwa refa aliyesimamia ule mchezo bora unyamaze.Acha visingizio ukishindwa umeshindwa.
Mbona sisi tulifanyiwa unyama na Ramos 2017 FAINALI na tuko kimya wewe unalialia na kanusu fainali?
Kwani Red card aliyotakiwa kupewa sregio Ramos ingetoka kwa nani? Kocha? Au mashabiki? Au huelewi unachozunguzaKama hukuangalia hiyo match ya barca na chelsea au kufuatilia yaliyojiri kwa refa aliyesimamia ule mchezo bora unyamaze.
Huwezi fananisha tulichofanyiwa sisi na yule refa against barca na alichowafanyia nyinyi ramos.
Unajiexpose.
Toa maneno yako hapa.Salah wenu huyu takataka ameisaidia Nini timu yake Yaa taifa? Anashindwa kuosaidia timu take angalau hata kufuzu kombe hili la Dunia. Anakosa penati mbele ya mwenzie mane. Salaha ni mzigo kwa taifa laoo...
Mtu aliyekupa Goal 21 na Assist 7 kwa msimu ule unaona hana mchango.wakati ule tunaejivunia naye ni Luis Suarez sio yule bishoo wenu
Incident yenu na zetu hazina mfanano hata kidogo.Kwani Red card aliyotakiwa kupewa sregio Ramos ingetoka kwa nani? Kocha? Au mashabiki? Au huelewi unachozunguza
Mlitupiwa na iniesta Barca akiwa na uzi wa njano
Sasaiv ndio lakini sio 2018/19!Ballon D'Or tuzo ya mchongo saiv
Ballon D'or ilikuwa kabla ya 2017Sasaiv ndio lakini sio 2018/19!
Sikumbuki hata magoli aliyonipa naona unamfatilua sana darling wenu, nakumbuka alikua mchoyomchoyo ivMtu aliyekupa Goal 21 na Assist 7 kwa msimu ule unaona hana mchango.
Hahahah
N6inyi ndo mashabiki maandaziSikumbuki hata magoli aliyonipa naona unamfatilua sana darling wenu, nakumbuka alikua mchoyomchoyo iv