Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
Na akabeba B D'OR mwaka huohuoHuyo Messi wakati barca wanakufa 4-0 2018/19 kwani hakuwepo uwanjani
Na akabeba B D'OR mwaka huohuoHuyo Messi wakati barca wanakufa 4-0 2018/19 kwani hakuwepo uwanjani
Salah & his agent hawana "ruhusa" ya kuleta mtafaruku? whats this? kati ya Salah na FSG nani aliye-leak kuwa Salah wants 500k/400k? kwenye hii saga yote Salah ameongea mara moja and thats he wants to stay, mtafuruku gani alioleta?Klopp hatenganishwi na hio negotiation, anachosema ndio msimamo wa club. Mo na agent wake hawana ruhusa ya kuleta mtafaruku wakati huu ambao tunaelekea kileleni kwenye mafanikio baada ya dhoruba kali ya miongo takriban mitatu.
Ukisema FSG hawana lolote kwamba wanajivunia sifa kwasababu ya Klopp sio sahihi mkuu, the end justifies the means!
FSG wameleak kuwa Mo anata 500/400k? Umeona wapi hii? Mtafaruku ni kum-mock JK baada ya kusema 'everything is well', Unaanzaje kushindana na Klopp hadharani?Salah & his agent hawana "ruhusa" ya kuleta mtafaruku? whats this? kati ya Salah na FSG nani aliye-leak kuwa Salah wants 500k/400k? kwenye hii saga yote Salah ameongea mara moja and thats he wants to stay, mtafuruku gani alioleta?
Kileleni? LFC are already one of the few clubs that are dining at the big table, challenging for major honours every season, owning the signatures of WC players like Salah, Mane, VVD, Thiago, Alisson, Fabinho, Trent, Robertson, Firmino etc, if anything, kinachofanyika kwasasa ni kijaribu kui-sustain level tuliyopo now, and you do that kwa ku-keep hold of your world class players, and on top of that we dont know if Klopp will want to stay after 2024, na kama akiamua kutoongeza mkataba, we will need a new manager, na anatakiwa aikute team kwenye hali nzuri with WC players ambao watamsaidia kuendeleza alipoachia Klopp.
Klopp is not the one who is paying wages, ni FSG's job, na hata siku moja hawezi kushiriki kwenye negotiation table, kwasababu financial affairs za club hazimuhusu, negotiations ni between owners na employees wake, Klopp is one of the employees pia, so hawezi in any way kishiriki kwenye negotiation table, kinachofanyika anakuwa notified kwa kila hatua maana as a manager, affairs zote na maendeleo ya club yanamuhusu, Klopp can say he wants salah to stay, but at the end of the day he's not the owner, so hana LAST SAY.
Then LFC haijawahi kuwa kwenye dark days kwa 3 decades (30 years), yes it took us 30 years to win another PL title, but during those years we were still competing and in good shape, tough, forgetable & very dark phases tulizopitia ni combination ya 5-6 years.
Me nashukuru na shit zote unazoongea lakini unaukumbuka vizuri sana mziki wa hiyo Chelsea.We ni kiazi kweli, unadhani unazungumza na watoto wenzio?
Naijua Chelsea tangu enzi za kina Robben na Eidur Gudjonsen ondoa ujinga
Naona umesahau reina alivyookoa penati zenu bokoboko mkabaatisha moja kwa Kevin Right Philips, tulia dogo
Hio miaka unaongelea tupo kwenye crisis nyie ndo mmemvuta yule mserbia wenu aliefungasha wezere akatuotea ya vichwa hahaha
Ballac ni mpuuzi mmoja mwenye gundu na jezi yake namba 13, nani asiejua? Ongelea mtu mwenye heshima zake Kama Essien, ondoa ujinga!
Sawa.... Si baada ya figisu match ya Barca.Baada ya huwo ubakaji mnaosema mliufanya UEFA hiyo 2008 na 2009 bado mlitoka kapa
We unaonekana bado mtoto.Huyo Messi wakati barca wanakufa 4-0 2018/19 kwani hakuwepo uwanjani
Hao mliowapiga kwenye Knock out ilikuwa ni Barca ya Guardiola?We jamaa naona unang'ang'ania sana hio 2008, vp ndo ulianza kufatilia mpira nini?
Mesi dinho deco xavi puyol marquez, hawa tuliwalaza na viatu pale Nou Camp kwenye mtoano wakiwa mabingwa watetezi!
Kuwa na heshima kijana, liverpool sio saizi yako nenda kapambane na city.
Mlitupa eh?Mwehu sana huyu anasahau sisi ndo tuliwafanyia fadhila tukawapa Torres akawabeba, vinginevyo ungekuta wanatamba na hiki kimoko Cha mwanafunzi wa Klopp!
FSG wameleak kuwa Mo anata 500/400k? Umeona wapi hii? Mtafaruku ni kum-mock JK baada ya kusema 'everything is well', Unaanzaje kushindana na Klopp hadharani?
Kileleni ni kuwin treble if possible a quadruple inayo-include UCL na EPL, hapo ndo wote watasema we are the Top Football club in Europe without a doubt, when was the last time we had this?
Klopp halipi mishahara sawa lakini ni nani anaesema juu ya contract ya Mo kwa hadhara? Lini umesika hao jornos wskizungumza na CEO?
Liverpool was the most feared kipindi cha Bob Paisley akiwa na kina Dalglish na Ian Rush, hayo ndo majina makubwa kupita yote klabuni mpaka leo.
Nikisema dark ages nareffer hapa kwakua sisi sio wa kucompete tu tuseme tuko vizuri, we have to win the major titles consistently!
Kwa hiyo hiki ukichoandika hapa ndio mwisho wa akili yako?
Watu kama akina John Terry wamecheza na Prime Lionel Messi. Na siyo huyu Messi wa sasa matakataka mnayehisifia.
Shukuruni Mungu nyinyi ng'ombe hamjakutana na moto wa barca between 2008 mpaka 2012. No wonder mnaongea kama mmekatwa vichwa.
Kwanza kuwazungumzia barca ya miaka hiyo ni kuwaonea. Nadhani kama ulikuwa umezaliwa utakuwa unaukumbuka ubakaji uliofanyiwa na Chelsea 2008 na 2009 kwenye UEFA.
Halafu saiv useme drogba mchezaji wa kawaida?
You guys are joke.
Hiyo bado haimfanyi VVD kuwa beki bora.Kipindi bado upo Kindergarten unafundishwa a,e,i,o,u.
- Kati ya mwaka 2000 au 2001 Barcelona ikiwa na kina Rivaldo na Pep Guardiola niliipiga nikabeba Uropa.
- Mwaka 2007 Barcelona ikiwa na Xavi, Iniesta, Messi, Etoo, Puyol, Pique na yeyote unayemfahamu wewe nilimpiga ndani ya Camp Nu.
- Mwaka 2019 Barcelona ikiwa na Messi, Suarez na Coutinho niliipiga nikabeba UCL.
- Mwaka 2005 Niliipiga Chelsea yenye huyo Terry, Lampard na Drogba nikabeba UCL nikiwa na Beki Carragher wala sio VVD.
- Mwaka 2007 nikapiga tena Chelsea yenye Drogba, Terry na Lampard nikafika fainali UCL nikiwa na Beki Agar wala sio VVD.
Sasa wewe mwaka 2008 na 2009 uliponifunga ulipata nini Ndugu zaidi ya kuwasafisha wengine njia?
Kuna mengi huyajui lakini tutakuelewesha taratibu Dogo.
Tuoneshe tuzo za hawa beki maandazi wakoHiyo bado haimfanyi VVD kuwa beki bora.
Ile tabia yake ya kusindikiza mtu kufunga goal haimtofautishi yeye na magwaya.
Tumuache Thiago Silver, I will Rudiger over hiyo takataka yenu VVD.
Huyo huyo Messi wa 2018/2019 Alishinda BallondorWe unaonekana bado mtoto.
No wonder hujui Messi au Barca ilikuwa na Moto kipindi gani.
Sasa 2019 Barca ilikuwa timu?
Hii iliyoliwa Goal 8 na Bayern hebu kuwa serious.
Hahahah tuzo kati ya Vilaza.Tuoneshe tuzo za hawa beki maandazi wako
Ballon D'Or tuzo ya mchongo saivHuyo huyo Messi wa 2018/2019 Alishinda Ballondor
Yah VVD aliwashinda hao vilaza wako wa chelwowoHahahah tuzo kati ya Vilaza.
Embu kwanza pitisheni Bakuli tuwachangie nauli ya kwenda Madrid msije Pata aibu ya kama Biashara unitedIla ni mchezaji wa kawaida sana.