Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kama kweli FSG walichelewa kumuongeza mkataba Salah wamuuze kwa highest bidder basi nimeamini hawa jamaa hawatakaa wabadilike milele. Yaaani uuze top performer upate mpunga wa maana kisa tu anadai ela zaidi kutokana na anacholeta klabuni hakiedani na anachopata sasa. Ina maana Salah kibiashara wanachukulia powa kana kwamba wakimleta Raphinah basi itakua vile vile mhmh sio rahisi hata Salah hakutoka Roma akiwa loaded na ma endorsement nk nyingi zimemfuata baada ya ku perfom vyema kila msimu kwa timu inayojiuza kibiashara ina maana ni perfect marriage baina na Liverpool na Salah. Kwa taarifa hizi sasa itakua hawa FSG corona iliwavurugia mipango ya kumtia sokoni Salah.Captain, suala la FSG kutaka ku-make profit kwa Salah halijaanza leo, lipo kwenye cards kwa muda mrefu sana, na ndiyo maana hata mazungumzo ya huu mkataba mpya walikuwa wanayachelewesha maksudi tu, but kujifanya wapo clever sana kunaenda ku-backfire now, maana Salah amebakiza mwaka mmoja tu na haoneshi nia yeyote ya kutaka kuondoka at LFC, na kama hatapata mkataba ataondoka for free, ndiyo maana FSG are busy trying to divide him na fans, leaking vile lies kuwa anataka BIG wages, sasa mchezaji ambaye anataka kubaki at the Club na kashasema wazi, ata-demand vipi hizo BIG wages ambazo zitampa disadvantages kwenye nia yake ya kubaki at LFC?
You have a top 3 best player in the world right now begging to stay, but you want to sell him for a profit because umeona PSG wanaweza kuwa desperate Mbappe akiondoka, this is not how a big club should be runned.
Salah is not slowing down anytime soon, use him, use his prime years, he still wants to offer his prime years with us, why are we refusing? reason ya FSG ni ipi? why would.you let number one attacker kwenye EPL aondoke? it doesnt make sense.
At least ningewaelewa FSG kama Salah angekuwa kishachuja AU yeye mwenyewe ana-force a move, but the thing is vyote hivyo havipo.
And, imekuwa ni ishu inayojirudia under FSG, kila star player anaondoka, anaondoka na bad image na kuonekana Villain, look at Torres, Sterling, Can, Wijanaldum, Suarez and even Coutinho, lazima wawe labelled as Villains, lazima fans wawe divided, hii yote ni njia ya FSG kujifanya hawana makosa kabisa, mfano tu kuna watu wanaamini kabisa Salah wants 500k p/w, na tayari washaanza kumuita greedy na other bad names, hawafikirii kabisa, na kwa bahati mbaya ikitokea Salah akiondoka, maneno hayo hayo ndiyo yatatoka kwa FSG through local jornos, kuwa jamaa alitaka 500k, tukashindwa kufikia na akaamua kuondoka, thats how FSG wanaplay hii game, imekuwa kama hivi for years, sasa kulikuwa na haja ya gani ya kum-label most humble player kwenye our Klopp's era (WIJNALDUM) kama greedy and ungrateful, unajua msimu wake wa mwisho Wijnaldum alikuwa anapata hate comments nyingi sana kutoka kwa fans kwenye his social media, kwasababu ya upuuzi wa FSG, mtu ana-demand haki yake, kama huwezi kuifikia mwambie huwezi then m-part ways kwa amani, siyo unaanza kumchafua ili wewe usionekane tatizo.
Now, Trent anapokea 180k p/w, mkataba wake unaisha 2025 i think, bado atakuwa very young, na mpaka sasa he is considered kama one of the best RB of his generation and bado anaendelea ku-improve kila siku, without Trent kwenye team yetu we create NOTHING, he is one of the most important players in the squad, sasa kama anapokea 180k, you think he will demand just 200k in 2025? No he will DEMAND more kulingana na kazi anayofanya LFC na his status on a global level, sasa ikifika time yake naye tutamuwekea zengwe? tutapoteza WC players wangapi kwa upuuzi wa FSG? kama Club imewa-outgrow waiuze kwa relatable investor, LFC kwasasa ni top 3 most followed/watched football club on earth, and Top 5 biggest soccer brands on earth with a lot of endorsements/deals, as a owner you need to up your pace and run with it, kuna price ya kulipa ukifikia level kama hizi, na tangu LFC ianzishwe haijawahi kufikia level kama hii brand wise.
Kila siku tutakuwa tuna-label our WC players kuwa ni greedy wakitaka they're well deserved pay-rise.
You cant get another SALAH kwenye transfer market, use him until he's done for good, build the new attacking line around him, tengeneza msingi mpya kupitia yeye, use his remaining peak years kutengeneza new attacking stars.
Ni kweli sokoni kwa sasa itakua mtihani sana kupata winga machachari kama Salah alete impact magoli ma assist biashara na utulivu wa Mo Salah. Tukumbushane dogo hua hana mambo mengi ni family man hana kashfa za kijinga na katika yote haumi hovyo kila msimu uhakika wa kupiga gemu 40+ anao tangu ametua hii kwa kweli ni kadi moja adimu sana kuingia nayo kwenye meza ya mazungumzo kwa wakala wa Salah.
In layman language si wachukue mshahara wa Origi na Karius wa top up kwa Salah😂😂😂😂tumalize hayaa maneno na iwe closed case. Kuliko hizi spinning zao mara hivi mara vile wamalizana chap. Mauzo ya jezi tu kwa last season jezi ya Salah pekee ama merchandise yenye jina lake ilichangia mauzo ya asilimia 42 ya mauzo yote Liverpool, pengine bila adhari za corona angeuza zaidiiii... ina maana bila Salah kuwepo mauzo ya merchandise kwa timu ingekua ela kudichu sana lakini haya kwao hawayaoni. Ikumbukwe kwamba Nike wanawalipa Liverpool asilimia 30 ya mauzo ya jezi ukiachana na ile £30m wanayo pata kwa msimu na so far Salah is the king of sales yeye pekee anawaingizia Nike ela nyingi tu.
Pep kwa sasa fununu ni kwamba anamfuatilia Halland khaa huyu dogo wa kimpata na huku sie Salah anasepa tutakua tumerudi hatua 5 nyuma kuleta ushindani vs Manchester City. Ni ngumu kuelewa nini kinapangwa na FSG juu ya maisha bila Salah binafsi hua naona hawa jamaa wa nadhani Klopp anafanya miujiza na hawa wachezaji yaaani nikukumbuka January 2021 naishiwa pozi wakati Klopp yupo hoi anataka reinforcement jamaa wanamletea Kabak na Davies yaaani pale sijawai kuelewa waliwaza nini ule usajili wakijua fika Klopp alihitahi usajili wa kuleta impact muda ule ule nwa muda utasema kama kweli wanamwachia dogo asepe zake bure ama watamuuza sie mashabiki yetu macho.
Nishasema kwa Salah no hard feelings kutaka alipwe zaidi just like Gini hivyo atakafanya mamuuzi anaodoka wala sina chuki nae zaidi ya kum wish all the best anapokwenda anachokiacha klabuni Liverpool is more great na anaodoka akiwa proper legend.
Kwa taarifa hii sasa ni vyema tujiadae kwamba kila mchezaji atakaekua anadai nyongeza akiwa na resale value basi soko linamhusu kabisa. FSG mentality yao ni mid table. Huwezi kua na timu Top 10 Duniani kwa mapato na mvuto wa biashara aafu ung'anga'anie ma policy ya miaka hioooo tunajikingoja kuingia Top 4. Kwa maoni yangu ni kwamba FSG wanataka wao wabaki na ela zaidi huku wakilipa kiduchu typical beparis khaaa.
Trent pengine ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa hio 300k kwa wiki in 2025 maana as things stand being a Scouser noises will be more kuliko hawa wengine.
Nwa FSG are banking on Klopp hata bila Salah wanaona the man will find a way to navigate na tubakie kushindana na Pep etc. Itakua wenyewe hawaamini from being a mediocre team languishing hukooo 8th na within 5 years tenure ya Klopp Liverpool has increased in kila kitu kuanzia value ya club rumoured to be around £2+b, fans, business partners paying cool chums kua associated na Liverpool, world class players kuhitaji kutua Liverpool, kimsingi Klopp has made this Yankees trillionares haha maana success on the pitch transpires to attract top class companies kuwekeza klabuni hata Nike hawakuja tukiwa hukooo nafasi ya 8 hapana walikuja baada ya kuona Klopp na vijana wake sio level za kawaida.
If i was to rate top performers who have made this possible FSG kua walivyo na for last 2 seasons nitaanza in the right order top performers ni Salah, Allison, VVD, Trent, Robertson, Fabinho, Matip, Gini, Firmino, Origi, Gomez, Henderson, Milner, Kelleher, Ox, Keita, Shaqir, Adrian, Jota, Takumi, Diaz nk nk..
YNWA
