Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waleteeeee elaaaaa hahahaha eti nimesoma mahala kwamba Liverpool ni selling club hivyo Barcelona wakifika bei kwa Salah tutauza tu hahaha yaaani hii kali kuliko khaa kwani kuna shinda gani kuuza na kuwekeza tena ela hio hio klabuni. Bila mauzo ya Coutinho kweli tungekua na hiki kikosi?

Vipi nyie hamtataki dogo Salah? Au mazima kwa Hallaad?

YNWA
Huwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
 
Binafsi aende TU anakotaka ilaasiende bure walete £ M100 -120 siyo mbaya tutanunua salah mwingine toka benfica

Hata salah mwenyewe anajua Liverpool n klopp na s yeye Bila klopp leo angekuwa middle class player

Salah n mtu muhimu pale Liverpool wakishindwana sio mbaya naye n binadamu anamahtaji yake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa
Wapo wanaodhani liverpool bila Mo itaporomoka wasijue kuwa engine ya club ni mwalimu

Tumekuza vipaji vya watu kama Robertson na Trent, tushindwe kummunda Salah mwingine?

Hapa mi naona kabisa huyu pharao kama anataka mchele mrefu sana ni ticket yake ya kusepa. Hawezi kututingisha
Wamuongezee kulingana mapato yanavyoruhusu na sio vingine.

Saivi ukimcheki Minamino ni Kama Salah mwingine anakuja kopi raiti kabisa!
Yule dogo Elliot nae ni balaa nyingine sasaivi watu hawaoni tu.

Hapa 'makombe yeyu', ataetaka kusepa pia 'pesa zetu', mwendo wa kubana natumizi pia ni jadi yetu hatuigi mishahara.

Wanaobonga mingi ni washabiki hewa wa Chelsea na Man City wasiolewewa chochote kuhusu soka kwa malkia, watoto wa juzi tu!

Watani zetu wa jadi wanaelewa kabisa tupo on the right track na wakimuona huyu mzee wetu wanakumbuka enzi za babu yao, aliondoka Beckham akaondoka Cr7 lakini chuma bado kiliendelea kutikisa
 
Liver ni zaidi ya MO
Ila kuna magoli ya MO yameiondoa Liver from ordinary. Akitoka. Mtakuwa mnapigania top 4 sio ubingwa tena
Chelsea alipotoka Diego Costa hadi sasa tunafight top 4, wewe fikiria tungekuwa na MO Salah hapo mbele, unadhani kwa magoli 20+ ya MO si tungekuwa mbali sana?
 
Nyie Salah mlimuona garasha mkamuuza leo kaja kwetu mnamsujudu, bado tu huoni impact yetu?
 
Salah amehudumu vizuri katika muda wake klabuni, ametupa taji la UCL, EPL, UEFA Super Cup, Club World Cup, Carabao Cup, na sasa anaenda kutupa FA Cup na EPL nyingine.
Kwanini tuwe na kinyongo akitaka kusepa? Hatudaiani, tutampa baraka zetu na kumtakia kila la heri na pesa ya mauzo tutachukua!
 
Waleteeeee elaaaaa hahahaha eti nimesoma mahala kwamba Liverpool ni selling club hivyo Barcelona wakifika bei kwa Salah tutauza tu hahaha yaaani hii kali kuliko khaa kwani kuna shinda gani kuuza na kuwekeza tena ela hio hio klabuni. Bila mauzo ya Coutinho kweli tungekua na hiki kikosi?

Vipi nyie hamtataki dogo Salah? Au mazima kwa Hallaad?

YNWA
Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!

Lakin inategemea mapenzi ya Salah mwenyewe ,siku akisema live kama Kane kuwa anapendezeshwa na city hatuwezi kumuacha mzee
 
Nabaki na msimamo wangu I will support what is best for all parties. YNWA
Salah amehudumu vizuri katika muda wake klabuni, ametupa taji la UCL, EPL, UEFA Super Cup, Club World Cup, Carabao Cup, na sasa anaenda kutupa FA Cup na EPL nyingine.
Kwanini tuwe na kinyongo akitaka kusepa? Hatudaiani, tutampa baraka zetu na kumtakia kila la heri na pesa ya mauzo tutachukua!
 
Huwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
Kwetu so far waliwachukua Mascherano, Phil na Suarez sisi tulimnyakua Luis Garcia na akatupa UCL na Super Cup na FA

Arsenal wamebeba wengi kuliko kwetu; Henry, Fabregas, Thomas Vermalen, Alex Song, Hleb na Van Broncost
 
Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!

Lakin inategemea mapenzi ya Salah mwenyewe ,siku akisema live kama Kane kuwa anapendezeshwa na city hatuwezi kumuacha mzee
Ataenda popote lakini sio kwa wale Mashetani!
 
Kabisa
Wapo wanaodhani liverpool bila Mo itaporomoka wasijue kuwa engine ya club ni mwalimu

Tumekuza vipaji vya watu kama Robertson na Trent, tushindwe kummunda Salah mwingine?

Hapa mi naona kabisa huyu pharao kama anataka mchele mrefu sana ni ticket yake ya kusepa. Hawezi kututingisha
Wamuongezee kulingana mapato yanavyoruhusu na sio vingine.

Saivi ukimcheki Minamino ni Kama Salah mwingine anakuja kopi raiti kabisa!
Yule dogo Elliot nae ni balaa nyingine sasaivi watu hawaoni tu.

Hapa 'makombe yeyu', ataetaka kusepa pia 'pesa zetu', mwendo wa kubana natumizi pia ni jadi yetu hatuigi mishahara.

Wanaobonga mingi ni washabiki hewa wa Chelsea na Man City wasiolewewa chochote kuhusu soka kwa malkia, watoto wa juzi tu!

Watani zetu wa jadi wanaelewa kabisa tupo on the right track na wakimuona huyu mzee wetu wanakumbuka enzi za babu yao, aliondoka Beckham akaondoka Cr7 lakini chuma bado kiliendelea kutikisa
Kwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai
 
Mimi ningekuwa pep ningemchukua Salah ,huyu ni machine , powerful,high energ ,Hana injury za kijinga ,one vs one akitokea pembeni ni hatari ,kucheza match zote epl non stop ni kitu cha kawaida .. ,anaweza kukupa 20+ goal kwa msimu ...! Nataman pep atupie jicho kwa Salah ....!

Lakin inategemea mapenzi ya Salah mwenyewe ,siku akisema live kama Kane kuwa anapendezeshwa na city hatuwezi kumuacha mzee
Money talks bhana sitoshangaa kabisa akitua Manchester City kwa kipara maana angalau kwenu mshahara wa 400k itakua sio tatizo tofauti na alipo sasa.

Kuhusu dogo kua machini ni ukweli haswa anakua kujilinda, anajituma mazoezini, anajituma kwenye games na uhakika wa kutupia goli 20+ na ma assist kama yote.

Kama mlikua tayari kumpokea Messi kabla hajakaangwa na Barcelona mbona hii ya Salah asubuhi mna maliza hii ishu mkiamua.

YNWA
 
Huwa naonga Kama chaka la Barcelona la kununua wachezaji wazuri ni Liverpool na chaka la R Madrid ni Man U kwahiyo hili linanipa uhakika wa mashaka kuwa kipenzi chenu Wana Liverpool (Salah) Kama vile atabebwa na Barca.
Bwana wee hii ilikua zamani enzi hizo wana mapesa kama yote kwa mfano sasa wamguse Diaz haha wacheue £150m weee dhubutu huo ubavu hawana.
Barcelona kwa sasa wanategemea mikopo kufanya hata manunuzi ama wachezaji wapunguze mishahara ili hata wasajiliwe na La Liga.
Salah mwenyewe ni once in a life time kumpata kwa hali ilivyo sasa kwamba amebakisha mwaka mmoja tu aodoke bure hivyo Liverpool kwa sasa hatuna advantage kukomaa bei zaidi ya kukumbali around £50m kama Barcelona wakileta hio ofa otherwise wangekuja 2020 mbona wangetoa mpunga wa maana around £100m.

Nimeona na Rashford nae anashauriwe asepe zake Manchester United atimkie Barcelona kwa bei chee sasa kutokana na kiwango chake kua chini.

Kingine baada Auba kutua kwa mafanikio Barcelona imeamsha upya tumaini kwamba wanarejea kwenye ubora wake.

Kwetu mashabiki tunasema kila mmoja apate anachostahili.

YNWA
 
Mpe SOMO huyo kijana

FB_IMG_1648408132707.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom