Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Minamino kumlinganisha na Salah ni matumiza mabaya ya akili mkuuBado hujamuona vizuri iko siku utakubali maneno yangu





Minamino kumlinganisha na Salah ni matumiza mabaya ya akili mkuuBado hujamuona vizuri iko siku utakubali maneno yangu





Yaani MO akisepa hawa watapoteana humuKwamba ukimcheki minamino NI kama Salah mwingine kopi ryt....kmmk walai![]()
Mimi nilidhani kule mwanzo ulikosea kubonyeza button kumbe uko serious. Inabidi upimwe mkojo. DuhhBado hujamuona vizuri iko siku utakubali maneno yangu
Kama Henderson kazi yake kuu ni kuvuruga mipango ..Ukweli ni kwamba hata mie binafsi gemu vs Pep sinaga kabisa amani ya ushindi mpaka dakika ya mwisho.
Tukumbali tukatae Pep ni mwalimu aisee yaaani Manchester City ni moja ya timu wanaojituma kusaka mpira wakipoteza possession yaani utasakwa balaa na tena high up the pitch. Kwa hili nampa Pep big up ndio maana akikukama kwa kweli huchomoki maana mpira unakua unachezewa side yetu muda mwingi na hakika tutaachia tu nafasi maana Kipara hua anasisitiza nidhamu muda wote bora mpira urudi kwa kipa kuliko kupeleka headless attack hilo kwake halipo katazame walivyomchapa Manchester United hivi karibuni ama FA dhidi ya Southampton ndio utajua kipara kwenye kumiliki mpira na actual passes side ways back ward ndio mwenyewe hapo ni uvumilivu ndio silaha.
Sasa ishu anavyokutana na Liverpool mtihani anaupata kwa sababu kwanza Liverpool kuna sprinters wa kutosha, Liverpool defence inaanzia mbele sio jambo la mabeki hapana pale tunapoteza mpira kwa Mane muda huo huo anaanza kuusaka hata kama atakimbia mpaka golini kwetu kuusaka atakimbia na sio yeye tu ni collective responsibility kwa kila mchezaji.
Ukitazama matokeo ya Liverpool vs Manchester City hua ni slim margin of error hutokea ili mmoja apoteze hivyo gemu muda mwingi hua ina balance na ukiatazama wote ni waumini wa high line of defence ambayo hua ni almost mita 40+kutoka kwa kipa na hapo muda mwingi wanategmea kuwatega ma forward offside.
Hilo la MF zetu hua physical ni kweli. Hatuna MF wenye mojo ki vile minus Thiago ambae uzima ni changamoto muda mwingi. Kama Henderson kazi yake kuu ni kuvuruga mipango kwa kuziba channels ili kuwapa Thiago na Fabinho wepesi wa kucheza planned game kwa mechi husika.
Klopp kwa sasa amekua flexible hata kwenye mfumo. Muda mwingi naona ni 4 3 2 1 na unaleta mafanikio makubwa especially akiwepo Firmino. Na ndio maana tupo na pointi 69 sasa sababu Klopp kashaamua angalau sasa ana depth hivyo ana luxury kiasi kubadili mfumo hali inavyoruhusu.
Otherwise Ethad ndio mechi kali ya msimu haha. Pale Pale duuh itakua full attacking na bila red card usishangae ikaisha sare.
YNWA






Chaaa!Bado hujamuona vizuri iko siku utakubali maneno yangu



😂😂😂😂😂Le Captain hahahaha buyo sababu na miguu mirefu na bodi bodi kiasi basi yake ni kusimama tu kwenye danger channels ili kuwapa opponent kibarua kupitisha mipira yao. Akiamka powa hii kazi hua anaifanya powa kabisa ila sasa muda mwingi hua anazidiwa maana ana overdo majukumu yake mpaka anaharibu na next online anakua bald baddest man Fabinho ambae ni cool ruler hahaha rarely the boy disappoint.Kama Henderson kazi yake kuu ni kuvuruga mipango ..
![]()
Kuna haja ya kumpumzisha kapteni letu sasaLe Captain hahahaha buyo sababu na miguu mirefu na bodi bodi kiasi basi yake ni kusimama tu kwenye danger channels ili kuwapa opponent kibarua kupitisha mipira yao. Akiamka powa hii kazi hua anaifanya powa kabisa ila sasa muda mwingi hua anazidiwa maana ana overdo majukumu yake mpaka anaharibu na next online anakua bald baddest man Fabinho ambae ni cool ruler hahaha rarely the boy disappoint.
YNWA

Yaani MO akisepa hawa watapoteana humu
Kushindwa kung'amua hili sio ulemavuMinamino kumlinganisha na Salah ni matumiza mabaya ya akili mkuu![]()
Wakati Mo yupo kwenu ama Roma ulijua ana uwezo huu?Mimi nilidhani kule mwanzo ulikosea kubonyeza button kumbe uko serious. Inabidi upimwe mkojo. Duhh
Unaona ajabu sana eti?Chaaa!
Mkuu uko siriazi?
Hakuna mwanaliver humu aliyesema Mo anataka 500K, hiyo ililetwa humu kuonyesha namna waandishi wanajaribu kuchonganisha kambiLabda niwaulize Liverpool wenzangu! Hii munayosema Salah anadai mshahara wa £500K per week mumezitoa wapi taarifa hizi?
NOTE: Si Salah, si Timu wala si Wakala wake aliyeweka Hadharani Conditions za Negotiation ya New Contract lakini Wajuma mumeshaibuka na madai kuwa Salah anataka £500K/week.
Wengine wamefika mbali zaidi kwa kumshambulia Salah kupitia hii £500K ya kusadikika.
Tuweni Makini na hizi Propaganda za Kibaguzi dhidi ya wasiokuwa Waingereza.
Kauli kama hii ninaikumbuka siku ambayo Coutinho anataka kwenda Barcelona.
Pia ninaikumbuka siku ambayo MO anakwenda AFCON.
Wacha tuendelee kuisikia
Hakuna mwanaliver humu aliyesema Mo anataka 500K, hiyo ililetwa humu kuonyesha namna waandishi wanajaribu kuchonganisha kambi
John Barnes is "not convinced" that there is any truth to the rumours suggesting that Mohamed Salah is demanding £500,000-a-week in any new contract at Liverpool, with the Reds legend seeing that speculation sparked by Cristiano Ronaldo's lucrative deal at Manchester United.
A Portuguese superstar has returned to English football on big terms, with a bar being raised when it comes to pay packets in the Premier League.
Inevitably, there are now reports of Salah demanding even more money in his extension talks at Anfield, with an Egyptian forward currently tied to terms through to 2023, but Barnes believes a compromise will be reached below the figures being bandied about.
What has been said?
Liverpool icon Barnes spoke, "Firstly, it’s important to say that these numbers are just speculative and so far, no one has confirmed that Salah has actually asked for £500k-a-week.
"His contract is expiring in 2023 so of course negotiations are underway but with that, as always, comes huge speculations as to what a player is demanding and these figures tend to spiral.
"Does he expect a pay increase? Yes - most likely, and rightly so, but whether he expects more than double of what he’s earning today is a completely different question. And truth to be told, I’m not convinced.
"But Salah is approaching 30 so any decisions made can’t be about his value in four or five years and what they can sell him for then; instead, it needs to be about what he brings to the table right now, which is a lot, and what he can do to help Liverpool to finish at the top of the table again. And that value, in my opinion, outstrips his value in the transfer market.
"Furthermore, different to many other clubs, Liverpool’s players get on really well which shows when they play - it’s a real team sprit and togetherness and that, in some regards, is priceless as it doesn’t happen very often.
"But also, Salah seems to be happy at Liverpool. He’s always full of energy, appetite and desire. And that to me suggests he’s happy where he is and I do think that within the next couple of months, his new Liverpool contract will be signed."
Are Liverpool playing a risky game?
![]()
Jurgen Klopp has already seen a number of senior stars commit to new deals this summer, with the likes of Alisson, Trent Alexander-Arnold, Andy Robertson, Virgil van Dijk and Jordan Henderson putting pen to paper.
Salah is next in line, with Mane also working on a deal until 2023, and Liverpool are eager to get more agreements in place.
Digging deep to retain the services of key men could lead to others raising their demands, but Barnes believes Liverpool will find a way of keeping everybody happy while ignoring the outside noise being generated by the business of rivals.
He added: "Salah, together with Mane and [Roberto] Firmino, have created an attacking trio that’s feared by most other teams; and to have these three excellent players, who each bring so much to Liverpool as individuals, but also as team members, makes all three of them very hot commodities and players that Liverpool want to hang onto. So if that means paying them more to stay with the club, it’s most likely worth it… as long as it’s within reasons.
Mimi sifurahi wala sitapendezwa na Salah akiondoka unless management ishindwe kulipa kiasi kile Salah anahitaji. Kwa mpira wa sasa wachezaji wa Liverpool ni watu ambao wanapambana na wamepata mafanikio makubwa ukiangalia kuchukua makombe makubwa ambayo kila mtu anafahamu EPL, Carabao, UCL n.k
Tukubali tukatae hao wachezaji washakuwa world class players lazima wa-demand a lot of money ukiangalia mchango wa salah compared na mtu kama Sancho au Grellish na kiasi wanacholipwa ni tofauti sana. Kuna vitu vinatokea kwenye propaganda kuhusu wachezaji wa kingereza na wasio wa kingereza kuna treatment tofauti wakati wa mikataba ikiwa upande wa muingereza treatment inakuwa tofauti sana, suala la Salah tuliangalie vizuri ndugu zangu, huyu salah mpaka hapa alipofika leo ni misimu mitano ndiyo imemjenga kuwa hapa aliposasa Je? Tuko willing tumuuze Salah kwa kuopt mchezaji mwingine ambaye atatubidi tumpe muda wa miaka kadhaa huku tukiwa hatuna guarantee ya kuperfom kama alivyo Salah.
Kikubwa tumeshaonja ladha ya makombe, world class players hatuko tayari kuwapoteza wachezaji wetu kirahisi kama ilivyokuwa hapo zamani kisa kukosa makombe au top four tumpe Salah anachohitaji kama anavyosema haitaji hiyo amount kuuubwa but mpunga uongezeke.
Mwisho Liverpool ni kubwa kuliko mtu yeyote sio wachezaji au hata kocha wote ni waajiriwa na siku moja wataondoka na Liverpool ipo pale miaka na miaka. YNWA
Ni kweli unachosema Albaab tuweze kutoka huko timu imeingiza faida kubwa sana miaka hii mitano iache janjajanjaTatizo linasababishwa na timu nyingine kumlipa mchezaji mshahara mkubwa kuliko mchezaji wetu ambae ana kiwango kikubwa pengine kuliko wote happy premier league.
Hii inamfanya mchezaji wetu aone kama hela anayolipwa ni ndogo, (200k Sterling sio pesa ya kitoto!)
Hakuna taasisi inayopanga kiwango cha mishahara kwa wachezaji premeir league, ligi ya marekani MLS ndo ina mfumo huu na ipo centralized timu zikiendeshwa kama franchises.
Chelsea wachezaji wamelipwa mafedha ya kumwaga, kumbe fedha hizo ni haramu
United wanakopa kila siku na wala hawashindi mataji, faida yao ni mashabiki lukuki waliojitwalia kipindi cha babu yule kitu ambacho na sisi tunapaswa kuona ni mfano wa kuigwa!
Kwaio kinachofanyika ni kumanage situation. Tumevurugwa na mishahara ya wapinzani ambao hawafanyi ya maana uwanjani, tunatatua vipi hili sakata ndio akili nyingi inatumika!
Mwisho wa siku hata akienda hatutapoteana, ila atakapotembea JK uwezekano wa kupigwa na dhoruba ni mkubwa sana!!!
Kabisa ndugu.Labda niwaulize Liverpool wenzangu! Hii munayosema Salah anadai mshahara wa £500K per week mumezitoa wapi taarifa hizi?
NOTE: Si Salah, si Timu wala si Wakala wake aliyeweka Hadharani Conditions za Negotiation ya New Contract lakini Wajuma mumeshaibuka na madai kuwa Salah anataka £500K/week.
Wengine wamefika mbali zaidi kwa kumshambulia Salah kupitia hii £500K ya kusadikika.
Tuweni Makini na hizi Propaganda za Kibaguzi dhidi ya wasiokuwa Waingereza.