Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sancho kanakula 300+ haha kweli haya maisha sio fair kabisa. Sancho sio hata robo ya output ya Salah kwa sasa.

Kufika Diaz naamini kumebadili namna mkataba huu wa Salah itakavyokua na usishangae yale ya Emre Can au Gini yakajirudia tena.

Salah akilipwa 400k kwa wiki hali inaruhusu lakini je wachezaji wengine watakumbali kubakie walipo na 100k kwa wiki wakijua fika mchango wao pia unasaidia kushinda maana Salah hachezi peke yake.

Impact ya pili ni unavyosaini mchezaji mpya ambae sio top top design kama Jota au Diaz ina maana nao sasa watakua wanadai wa saini kwa kianzio cha 150k tofauti na sasa kuna capping inakua below 100k.

Darwin Nunez anapata nafasi adimu sana kujiuza tunavyokutana nao UCL Liverpool vs Benfica yaaani hawa FSG ni wabishi balaa. Huyu ndio chagua la kwanza kusajiliwa Liverpool endapo Salah akitimkia Juventus au Barcelona. Lakini pia bei ikiwa rafiki atanunuliwa kwa sababu ku mitigate impact ya Salah akiodoka bure 2023.

Chelsea nimeona Ricketts family wanapewa asilimia kuinunua yaaani soon akina OllaChuga Oc wataanza kuona FSG model pale Darajani.

YNWA
Uo ndio upumbavu tusiotaka ..sisi ni timu ya makombe, makombe yapo damuni kwetu.
 
Hahahaha kapambane na mabepari Ricketts Family usitulee bla bla.

Yaaani mlizoea kupata wachezaji kwa bei yoyote ile sasa mnaingia kwenya anga zingine kabisa.

Thomas alikua na uhakika kumpata Hallaad lakini sasa msahau labda kama mtauza wachezaji kadhaa... Binafsi mtuuzie Gallager 😀😀😀😀🙌🙌..

YNWA
 
Sancho kanakula 300+ haha kweli haya maisha sio fair kabisa. Sancho sio hata robo ya output ya Salah kwa sasa.

Kufika Diaz naamini kumebadili namna mkataba huu wa Salah itakavyokua na usishangae yale ya Emre Can au Gini yakajirudia tena.

Salah akilipwa 400k kwa wiki hali inaruhusu lakini je wachezaji wengine watakumbali kubakie walipo na 100k kwa wiki wakijua fika mchango wao pia unasaidia kushinda maana Salah hachezi peke yake.

Impact ya pili ni unavyosaini mchezaji mpya ambae sio top top design kama Jota au Diaz ina maana nao sasa watakua wanadai wa saini kwa kianzio cha 150k tofauti na sasa kuna capping inakua below 100k.

Darwin Nunez anapata nafasi adimu sana kujiuza tunavyokutana nao UCL Liverpool vs Benfica yaaani hawa FSG ni wabishi balaa. Huyu ndio chagua la kwanza kusajiliwa Liverpool endapo Salah akitimkia Juventus au Barcelona. Lakini pia bei ikiwa rafiki atanunuliwa kwa sababu ku mitigate impact ya Salah akiodoka bure 2023.

Chelsea nimeona Ricketts family wanapewa asilimia kuinunua yaaani soon akina OllaChuga Oc wataanza kuona FSG model pale Darajani.

YNWA
Rickets ni matajiri mara 3 ya Roman
 
Punguza presha. Maana halisi ya presha waulize jamaa zetu wa Trafford na Darajani.

Tupo robo fainali Uefa twakutana na Benfica mapema April.
Tupo nusu fainali FA twakutana na Manchester City
Tuna na pointi 69 nyuma ya Manchester City wenye pointi 70 EPL na bado gemu 9 ligi iishe.
Carabao tulishinda kuwapiga Chelsea Wembley ki roho safi.

Mambo ni moto sana.

YNWA
Amen 🙏
LFC ❤️
 
Sancho kanakula 300+ haha kweli haya maisha sio fair kabisa. Sancho sio hata robo ya output ya Salah kwa sasa.

Kufika Diaz naamini kumebadili namna mkataba huu wa Salah itakavyokua na usishangae yale ya Emre Can au Gini yakajirudia tena.

Salah akilipwa 400k kwa wiki hali inaruhusu lakini je wachezaji wengine watakumbali kubakie walipo na 100k kwa wiki wakijua fika mchango wao pia unasaidia kushinda maana Salah hachezi peke yake.

Impact ya pili ni unavyosaini mchezaji mpya ambae sio top top design kama Jota au Diaz ina maana nao sasa watakua wanadai wa saini kwa kianzio cha 150k tofauti na sasa kuna capping inakua below 100k.

Darwin Nunez anapata nafasi adimu sana kujiuza tunavyokutana nao UCL Liverpool vs Benfica yaaani hawa FSG ni wabishi balaa. Huyu ndio chagua la kwanza kusajiliwa Liverpool endapo Salah akitimkia Juventus au Barcelona. Lakini pia bei ikiwa rafiki atanunuliwa kwa sababu ku mitigate impact ya Salah akiodoka bure 2023.

Chelsea nimeona Ricketts family wanapewa asilimia kuinunua yaaani soon akina OllaChuga Oc wataanza kuona FSG model pale Darajani.

YNWA
Hawa jamaa zetu wamebobea kwenye sports business, sio wageni kama hao waarabu wanaotaka kujipromote.
Wanajua namna ya kuendesha timu, sio kumwaga tu mihela. Mipango ndo kitu cha msingi.

Vyovyote itakavyokuwa kwenye swala la Mo, Liverpool itabaki kuwa mshindi.
 
Ingekua Mo ni Muingereza hii ela wangempa around 300k mpaka 350k kwa kuongeza mkataba miaka miwili na optional wa mwaka mmoja lakini kwa vile sio mtoto wa nchi ya Malkia hana namna labda kwa Mansour ama hao Magpies nk..

Watazame Sterlin, Grealish nk wanavyokula mpunga mrefu na hawana impacts ndani na nje ya uwanja.

Soon FSG wakishaona Salah hakuna uhakika wa ku saini mkataba mpya niamini watamkaanga kwa spin taarifa aonekane kabisa kwamba ni vampire anachojali ni mpunga na hawatasema alihitaji aongezewe kiasi gani mbali watakomaa dogo ni greedy hakuna kingine.

YNWA
Wala haitakuwa spin mkuu, ndo reality. Anatamaa ya hela na inaweza kumletea balaa kama atakimbilia mchele.
Historia yetu inaonyesha wazi walioiacha club kwa tamaa ya hela waliangukia pua!!
Ingekua sababu ni labda hatuna uhakika wa kucheza champions league hapo sawa, kama ilivyokuwa kwa Luis Suarez

Ogopa sana watu wanakuita King, wanakutungua nyimbo za sifa na mambo mengine mengi tu yasiyoweza kununulika, alafu unawasaliti kisa hela!! Hio laana haitokuacha
 
Mwarabu na pesa damu! Porojo wapelekee wa Ivory coast,wa Cameroon,wa Senegal,wa Nigeria,wa Ghana na wa Congo huko
 
Wala haitakuwa spin mkuu, ndo reality. Anatamaa ya hela na inaweza kumletea balaa kama atakimbilia mchele.
Historia yetu inaonyesha wazi walioiacha club kwa tamaa ya hela waliangukia pua!!
Ingekua sababu ni labda hatuna uhakika wa kucheza champions league hapo sawa, kama ilivyokuwa kwa Luis Suarez

Ogopa sana watu wanakuita King, wanakutungua nyimbo za sifa na mambo mengine mengi tu yasiyoweza kununulika, alafu unawasaliti kisa hela!! Hio laana haitokuacha
Mkuu spin zipo na wenzetu majuu wana kabisa kampuni za kufanya hizi kazi. Usiamini chochote unachosoma kwenye media ama baadhi ya maripota wengine wapo kwenye pay roll ya hawa jamaa.

Mo Salah alisema hahitaji ela nyingi assuming nyingi ni £500k kwa wiki. Mpaka sasa sio Mo Salah wala Liverpool wanaosema ofa ni hii juu ya meza zaidia ya kusoma FB, Twitter nk.

Muda utasema ndugu.

Kama atabaki nipo happy.

Kama ataodoka all the best kwake.

Kweli mkuu muda utaongea, mpaka sasa ni ngumu sana kuelezea hali halisi

Mtu muhimu sana kwangu hapo klabuni ni JK mwenyewe, wengine wanaweza kutupisha sina wasiwasi.

Mwalimu ndo kila kitu, jamaa zetu devils wameshabadili makocha mpaka wamechoka, kukwepa fedheha wameona watuchezee akili kuwa huyu wa sasa ni iterim mara apoapo ni consultant. Kiufupi hawajielewi!
 
Moto wenu wapi we umehama timu possibly arsenal
Mimi sio mzee kama Wewe , sijawahi fuatilia arsenal ..... Liverpool+ arsenal fans wake probably ni wazee kuanzia 34+ years ....Sasa Mimi usiniweke kwenye kundi la wazee nimeanza kufuatilia mpira nina miaka 17 nilikuwa mtu wa movie ,movie na Mimi mpaka Sasa hata 27 sijafika ...nimeanza kuangalia soka city ndio yupo on top mzee + Chelsea ,nisingeweza kufuatilia arsenal Wala Liverpool waliokuwa hoi ...!

Ni kama kizazi cha Sasa ,wameonza kufuatilia mpira ni city fan wengi + Chelsea ...vyuoni ,shuleni ,nimeacha fans wengi wa city ...huku tu ndio na kutana na mfans wa Liverpool+ arsenal ..!

Any way kila mtu anaishi na wakati wake ...
 
Kweli mkuu muda utaongea, mpaka sasa ni ngumu sana kuelezea hali halisi

Mtu muhimu sana kwangu hapo klabuni ni JK mwenyewe, wengine wanaweza kutupisha sina wasiwasi.

Mwalimu ndo kila kitu, jamaa zetu devils wameshabadili makocha mpaka wamechoka, kukwepa fedheha wameona watuchezee akili kuwa huyu wa sasa ni iterim mara apoapo ni consultant. Kiufupi hawajielewi!
Haha Profesa mpaka sasa hajapewa mwongozo wa hio consultant hajui majukumu yake.

Kabisa JK ndio karata pekee ya ushindi Liverpool. Hawa wote ambao leo tunawaona ni wakali wa kufamania nyavu ni kazi yake na jopo lake.

Ki ukweli wakati dogo Salah anatoka Roma ungeniambia atakua na impact kama hii ningebishaaaa kabisa tena ukisikia alikua chaguo la 3 ndio kabisaaa lakini tazama chini ya Klopp kwa 4 3 3 dogo alivyo shine vyema na kua moja ya wachezaji bora duniani kwa sasa.

Hata bei yake wakati anatua ilikua ya kawaida sana £34m+ lakini kabla ya corona bei ilipanda mpaka £150m sababu tu Klopp amesimamia show vyema kuona anapata maelekezo yakayomjenga alivyo sasa. Salah nae amejituma vya kutosha sana mpaka kufika levo ya sasa.

Wazungu husema be careful whats you wish.. Ukitazama Dembele, Griezman, Torres, Hazard, Lukaku, Coutinho, Gini, Werner, Messi nk nk utaelewa kwamba kuhama wakati mwingine inaweza kugeuka kua janga kuliko development hivyo Salah kazi kwake kufanya uchaguzi salama atue wapi. Angetua Bayern pangemfaa zaidi kuliko Barcelona au Juventus au PSG.

Ama tubadilishane na Son wa Tottenham 😂😂😂😂😂 ingekua safi sanaaa.

YNWA
 
Mimi sio mzee kama Wewe , sijawahi fuatilia arsenal ..... Liverpool+ arsenal fans wake probably ni wazee kuanzia 34+ years ....Sasa Mimi usiniweke kwenye kundi la wazee nimeanza kufuatilia mpira nina miaka 17 nilikuwa mtu wa movie ,movie na Mimi mpaka Sasa hata 27 sijafika ...nimeanza kuangalia soka city ndio yupo on top mzee + Chelsea ,nisingeweza kufuatilia arsenal Wala Liverpool waliokuwa hoi ...!

Ni kama kizazi cha Sasa ,wameonza kufuatilia mpira ni city fan wengi + Chelsea ...vyuoni ,shuleni ,nimeacha fans wengi wa city ...huku tu ndio na kutana na mfans wa Liverpool+ arsenal ..!

Any way kila mtu anaishi na wakati wake ...
Aiseee.

Haya sie wazee tupo tunawakimbiza vijana balaa. Hivi mnakwama wapi kutupiku na kutuzima kabisaaa.

Hahaha you have made my day.

Na pia Liverpool baada ya kutua Klopp imepata ma fans wengi sana kipindi hiki ma yanki kuliko kipindi kingine chochote.

YNWA
 
Salah demands £500,000 per week, which Liverpool refuses to pay but which Juventus is willing to pay
According to Gazzetta dello Sport, Mohamed Salah is seeking a weekly salary of roughly £500,000 to sign his new contract.

He wants to be the best paid player in the Premier League, according to reports, but Liverpool is unwilling to violate their compensation structure to pay him that much.

According to reports, Juventus is willing to pay that much for Egypt’s King. They are missing out on a free transfer for Paulo Dybala and want to replace him with a good goalscorer.

Juventus are looking to reclaim their dominance after a string of Champions League failures and the loss of two Serie A titles. They believe Salah is worth the asking price.

Juventus used to pay Cristiano Ronaldo similar salary, so it’s not unreasonable to assume they can do it again.

However, Gazzetta dello Sport is not the most reputable source of information, and Salah has already stated that he is not seeking “something crazy” and that he wishes to remain at Liverpool.
 
Hivi hawa Juventus hizi pesa zao wanaokota ama,na yule Aaron Ramsey wa Arsenal alikua anakula zaidi ya £350k kwa wiki pale sasa unajiuliza kwa mpira gani kulipwa hio fedha.

Kumpata Salah pekee hakutawarudisha Juventus kileleni hata kidogo mbali kujenga kikosi kwa kuwekeza kila idara na kujipa muda kama alivyo fanya Klopp alisema hana maajabu apewe muda na hakika muda umejibu. Kloop alijua quick fix za mchezaji yule na huyu haitaleta ushindani wa makombe kila msimu tofauti na hapo itakua kama kuweka nguo mpya vilaka kila ikichanika wakati haijiwezi tena.

YNWA
 
Barcelona + Juventus zinamtaka mo Salah ....

Keep watching na ubahili wenu 😂😂😂😂😂
Waleteeeee elaaaaa hahahaha eti nimesoma mahala kwamba Liverpool ni selling club hivyo Barcelona wakifika bei kwa Salah tutauza tu hahaha yaaani hii kali kuliko khaa kwani kuna shinda gani kuuza na kuwekeza tena ela hio hio klabuni. Bila mauzo ya Coutinho kweli tungekua na hiki kikosi?

Vipi nyie hamtataki dogo Salah? Au mazima kwa Hallaad?

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom