Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Today is a tough day…. Mane and Salah face off kwenye ucl qualifier

Not the best of scenarios
 
Mkuu nimeangalia game nying zetu na Liverpool lakin pep ukiachana na ile ya mane kula red tukawapiga 5 ,game nyingine tumeshindwa kuwatawala kama tunavowamiliki Chelsea wakiingia kwenye 18 zetu ,unakuta tunawapigia mpira mpaka unaona kabisa hata wakiongeza dakika nyingine 90 Chelsea hawezi pata goli ...

tukiwa tunacheza na Chelsea unaona kabisa pep akimuweka TT kwenye 18 huwa hachomoki Hadi 90min unaona kabisa Chelsea kamilikiwa kila kitu .....ila game na Liverpool huwa naangalia nimeshika mbupu aisee ,huwa natamani mpira uwahi kuisha mapema ,kwani Kuna namna flan liverpool mnatuwezea , midfielder zenu huwa zinakuwaga strong physically ,yaani huwa game inaikuwa haieleweki flani ....! Hii inatokea hasa kwenye must win game kama CL ....any way wacha tuone this time...
Ujue chelsea huwa ina sura mbili
Chelsea ya kwenye league huwa nitofauti na ile unayokutana nayo kwenye knockout or final

Wakat wa sarri mlituadhibu kisawasawa kwenye league ila kwenye carabao cup mambo yalikuwa tofauti tho mlishinda kwenye penalt.

So usishangae hata leo hii tukikutana kwenye knockout ukatolewa.

Linapokuja swala la knockout/final tegemea kuona tim tofauti kabisa first eleven inaweza kuwa sawa kama ya kwenye league ila tactics huwa tofaut.
Kwenye game za mtoano/finali huwa tuko serious zaidi ya unavyofikira na stats zinaonesha hizo
 
Ukweli ni kwamba hata mie binafsi gemu vs Pep sinaga kabisa amani ya ushindi mpaka dakika ya mwisho.

Tukumbali tukatae Pep ni mwalimu aisee yaaani Manchester City ni moja ya timu wanaojituma kusaka mpira wakipoteza possession yaani utasakwa balaa na tena high up the pitch. Kwa hili nampa Pep big up ndio maana akikukama kwa kweli huchomoki maana mpira unakua unachezewa side yetu muda mwingi na hakika tutaachia tu nafasi maana Kipara hua anasisitiza nidhamu muda wote bora mpira urudi kwa kipa kuliko kupeleka headless attack hilo kwake halipo katazame walivyomchapa Manchester United hivi karibuni ama FA dhidi ya Southampton ndio utajua kipara kwenye kumiliki mpira na actual passes side ways back ward ndio mwenyewe hapo ni uvumilivu ndio silaha.

Sasa ishu anavyokutana na Liverpool mtihani anaupata kwa sababu kwanza Liverpool kuna sprinters wa kutosha, Liverpool defence inaanzia mbele sio jambo la mabeki hapana pale tunapoteza mpira kwa Mane muda huo huo anaanza kuusaka hata kama atakimbia mpaka golini kwetu kuusaka atakimbia na sio yeye tu ni collective responsibility kwa kila mchezaji.

Ukitazama matokeo ya Liverpool vs Manchester City hua ni slim margin of error hutokea ili mmoja apoteze hivyo gemu muda mwingi hua ina balance na ukiatazama wote ni waumini wa high line of defence ambayo hua ni almost mita 40+kutoka kwa kipa na hapo muda mwingi wanategmea kuwatega ma forward offside.

Hilo la MF zetu hua physical ni kweli. Hatuna MF wenye mojo ki vile minus Thiago ambae uzima ni changamoto muda mwingi. Kama Henderson kazi yake kuu ni kuvuruga mipango kwa kuziba channels ili kuwapa Thiago na Fabinho wepesi wa kucheza planned game kwa mechi husika.

Klopp kwa sasa amekua flexible hata kwenye mfumo. Muda mwingi naona ni 4 3 2 1 na unaleta mafanikio makubwa especially akiwepo Firmino. Na ndio maana tupo na pointi 69 sasa sababu Klopp kashaamua angalau sasa ana depth hivyo ana luxury kiasi kubadili mfumo hali inavyoruhusu.

Otherwise Ethad ndio mechi kali ya msimu haha. Pale Pale duuh itakua full attacking na bila red card usishangae ikaisha sare.

YNWA
 
Hao watu jamani kweli Salah na migoli yake na kuibeba LFC apewe laki mbili mshahara wa wachezaji wa viwango vya kawaida

Ingekuwa hatuna hela sawa lakini hela zipo.

Hakuna anaetaka salah haondoke ila jamaa wakigoma kutoa hiyo hela ndio tunasema hakuna namna ila hatupendi haondoke kabisa.timu iko vizuri wanataka tena kuialibu
 
Ujue chelsea huwa ina sura mbili
Chelsea ya kwenye league huwa nitofauti na ile unayokutana nayo kwenye knockout or final

Wakat wa sarri mlituadhibu kisawasawa kwenye league ila kwenye carabao cup mambo yalikuwa tofauti tho mlishinda kwenye penalt.

So usishangae hata leo hii tukikutana kwenye knockout ukatolewa.

Linapokuja swala la knockout/final tegemea kuona tim tofauti kabisa first eleven inaweza kuwa sawa kama ya kwenye league ila tactics huwa tofaut.
Kwenye game za mtoano/finali huwa tuko serious zaidi ya unavyofikira na stats zinaonesha hizo

Sawa huwa mnatufunga ,lakini game nyingi za chelsea sinaga wasiwasi kabisa ,huwa tunawamiliki kisawasawa ,tu achezea half yenu ,yaani huwa mnatufunga kwa minor error tu za kawaida ....lakini game inavokuwa pressing ,passes ,movement penalty box , unakutaa tumedominate ...huwa mnatufunga ndio ila nakuja kuaamin baada ya muda kuisha kuwa mmetufunga ...coz tunakuwa tumewamudu kabisa Ila goli tu ndio hakuna ....
 
Mkuu nimeangalia game nying zetu na Liverpool lakin pep ukiachana na ile ya mane kula red tukawapiga 5 ,game nyingine tumeshindwa kuwatawala kama tunavowamiliki Chelsea wakiingia kwenye 18 zetu ,unakuta tunawapigia mpira mpaka unaona kabisa hata wakiongeza dakika nyingine 90 Chelsea hawezi pata goli ...

tukiwa tunacheza na Chelsea unaona kabisa pep akimuweka TT kwenye 18 huwa hachomoki Hadi 90min unaona kabisa Chelsea kamilikiwa kila kitu .....ila game na Liverpool huwa naangalia nimeshika mbupu aisee ,huwa natamani mpira uwahi kuisha mapema ,kwani Kuna namna flan liverpool mnatuwezea , midfielder zenu huwa zinakuwaga strong physically ,yaani huwa game inaikuwa haieleweki flani ....! Hii inatokea hasa kwenye must win game kama CL ....any way wacha tuone this time...
Na alimpiga kipara mara 3 msimu uliopita na uefa juu
 
Na alimpiga kipara mara 3 msimu uliopita na uefa juu

Chelsea huna tofauti na crystal palace ,au stono huwa mnatukazia tu mnaotea ila moto wetu mnaujua ...Mimi binafsi nikikutana na Chelsea huwa naona kitonga ...kuliko Liverpool ...mfumo wetu ni WA kuwanyanyasa na kuwatesa ila kufunga ndio inakuwa hakuna ,..
 
Hao watu jamani kweli Salah na migoli yake na kuibeba LFC apewe laki mbili mshahara wa wachezaji wa viwango vya kawaida
Sancho kanakula 300+ haha kweli haya maisha sio fair kabisa. Sancho sio hata robo ya output ya Salah kwa sasa.

Kufika Diaz naamini kumebadili namna mkataba huu wa Salah itakavyokua na usishangae yale ya Emre Can au Gini yakajirudia tena.

Salah akilipwa 400k kwa wiki hali inaruhusu lakini je wachezaji wengine watakumbali kubakie walipo na 100k kwa wiki wakijua fika mchango wao pia unasaidia kushinda maana Salah hachezi peke yake.

Impact ya pili ni unavyosaini mchezaji mpya ambae sio top top design kama Jota au Diaz ina maana nao sasa watakua wanadai wa saini kwa kianzio cha 150k tofauti na sasa kuna capping inakua below 100k.

Darwin Nunez anapata nafasi adimu sana kujiuza tunavyokutana nao UCL Liverpool vs Benfica yaaani hawa FSG ni wabishi balaa. Huyu ndio chagua la kwanza kusajiliwa Liverpool endapo Salah akitimkia Juventus au Barcelona. Lakini pia bei ikiwa rafiki atanunuliwa kwa sababu ku mitigate impact ya Salah akiodoka bure 2023.

Chelsea nimeona Ricketts family wanapewa asilimia kuinunua yaaani soon akina OllaChuga Oc wataanza kuona FSG model pale Darajani.

YNWA
 
Timu inayofukuzana na kina Astonvilla na Everton kwa Makombe inakuwaje na Mafanikio makubwa kuliko Timu nyingine?

Hebu kwanza jisogeze angalau umfikie Arsenal ndiyo uanze kuwa na Ndoto za kumfikia Liverpool.
Kaka ungetafuta timu nyingine lakini siyo Arsenal , Arsenal? hapo umebugi ebu tafuta timu nyingine ya kuitolea mfano tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom