Naked truth king of Egypt deserve more than 300K
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app
#On his numbers on the field he deserve
#On his impact business wise he deserve akiuza asilimia 42 ya mauzo ya jezi zote kwa msimu uliopita. Kwa nyongeza ni kwamba Nike wanawapa Liverpool £30m kwa msimu mkataba wa jezi na pia hawapa Liverpool asilimia 30 ya kila jezi inayouzwa. Anawaingizia FSG mamilioni ya ela yaaani mpunga wa maana.
#Hana makuu hana drama zozote kuichafua klabu
#haumii hovyo hovyo.
#Uhakika wa kupiga assist 10+ na goli 20+ kila msimu upo.
#Lakini je alipwe hio £500,00 kwa wiki atakua ndio mchezaji analipwa ghali Uingereza.
# KDB wana mpango wa kumpa 400k na Raheem around 390k.
Mishahara bora EPL ipo hivi.
1. Kevin De Bruyne (Man City) – £385,000 kwa wiki.
2. Cristiano Ronaldo (Man Utd) – £385,000 kwa wiki.
3. David De Gea (Man Utd) – £375,000 kwa wiki.
4. Jadon Sancho (Man Utd) – £350,000 kwa wiki.
5. Raphael Varane (Man Utd) – £340,000 kwa wiki.
6. . Jack Grealish (Man City) – £300,000 kwa wiki.
7. Raheem Sterling (Man City) – £300,000 kwa wiki.
8. N’Golo Kante (Chelsea) – £290,000 kwa wiki.
9. Paul Pogba (Man Utd) – £290,000 kwa wiki.
10. 10. Thomas Partey (Arsenal) – £250,000 kwa wiki.
Wachezaji wanaolipwa zaidi Liverpool kwa wiki.
1. VVD analipwa £220,000.
2. Thiago analipwa £200,000.
3. Salah analipwa £200,000
4. Fabinho analipwa £180,000
5. Trent analipwa £180,000
6 Bobby analipwa £180,000
7. Allison analipwa £150,000
8. Henderson analipwa £140,000
Wachezaji wanaolipwa kiduchu Liverpool aafu wanapiga kazi balaa.
1) Robertson analipwa £100,000 kwa wik
2) Mane analipwa £100,000 kwa wiki
3) Jota analipwa £90,385 kwa wiki
4) Matip analipwa£100,000 kwa wiki
5. Diaz analipwa 90,385 kwa wiki.
FSG hawana mpango wa kukopa ama kujikopa walipe mishahara kama Manchester United nk wanavyolipa. Wao ni mapato ya klabu ndio yalipe wachezaji, wafanya kazi nk. Mapato pia ndio yanatumika kununua wachezaji wapya kama akina Konate nk
FSG wao wanawekeza tu kwenye asset kama viwanja vya mazoezi, gym, kupanua uwanja nk.
Tutawaelewa.
Tetesi ni kwamba kwa mapato ya Liverpool wanaweza pia kumlipa Salah anachokitaka bila kuadhiri mapato ya klabu na maisha yakasonga.
Tetesi zaidi wanaona kumbe bora wasikurupuke endapo Mbappe hata saini nyongeza na hatatua Los Blonco basi bora aje Liverpool ana umri wanaotaka, ni serial winner ana mvuto wa biashara nk.
Kingine wanajua bila Salah kuja Liverpool asingefika alipo kwa mafanikio alionayo kama angebakia Roma hivyo wanaona wanaweza kumpata mchezaji mwingine asiekua staa na wakamjenga kama walivyofanya kwa wengine kwa sababu wanaamini chini ya Klopp hakuna kinachoshidikana.
Hii ngoma bado asubuhi.
YNWA