Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,888
Definitely yupoo.Yes kwa nyuma kule kuna mtu ana tshirt ya rangi ya njano kaeka mikono kichani. Picha juu haypo
YNWA
Definitely yupoo.Yes kwa nyuma kule kuna mtu ana tshirt ya rangi ya njano kaeka mikono kichani. Picha juu haypo
Hata chelseafc hatuna stress team yetu still inafanya vizuri kuhusu hayo makelele yanayoendelea nje ya nchi ni changamoto za kawaida sisi wengine ni wafia team hatuwezi kuhama abadaniAtungulie kwanza OllaChuga Oc, aafu wafuate ryana fan, John dillinger, Hziyech22 nk tunawakaribisha mji wa majogoo yaaani huku hakuna stress za klabu kufutwa ama kutupwa Northern league hukooo daraja la 10.
YNWA
Nini sasa??Acha zako wewe
Kwahyo ulianza kushabikia Liverpool Una miaka minne[emoji23]....hii Mbona kama chai kama wazee WA Kula kimasiharaWe mtoto unanikosea adabu[emoji23]
Mwaka 2000 nilikuwa na 4yrs
Chai yake iko wapi mkuu??[emoji23]Kwahyo ulianza kushabikia Liverpool Una miaka minne[emoji23]....hii Mbona kama chai kama wazee WA Kula kimasihara
Pole sana naona hii mada bado inakuandama. Huo umri no mdogo sana na pia lazima ulikuwa hujitambui kishabiki na ndio maana nikasema lazima ulikuwa ukishabikia timu yeyote inayokufurahisha kwa jezi au upepo tu wa kaka zakoChai yake iko wapi mkuu??[emoji23]
Mbona nilishaelezea huko juu
Kuna mdau alisema watu wa umri huo ambao bado akili ni Changa huwa wanashabikia timu yoyote,Mimi nikasema kwamba nilishabikia timu moja,,pia kutokana na influence ya kaka zangu walikuwa wanashabikia hiyo timu.
Yawezekana ilikuwa Kwa ajili ya zile jezi na influence ya kaka zangu ila ndio ilikuwa njia ya kuingia huko.Pole sana naona hii mada bado inakuandama. Huo umri no mdogo sana na pia lazima ulikuwa hujitambui kishabiki na ndio maana nikasema lazima ulikuwa ukishabikia yimu yeyote inayokufurahisha kwa jezi au upepo tu wa kaka zako
Hakika ni upepo tu.Hata chelseafc hatuna stress team yetu still inafanya vizuri kuhusu hayo makelele yanayoendelea nje ya nchi ni changamoto za kawaida sisi wengine ni wafia team hatuwezi kuhama abadani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah Mbappe aje liver?? Hao FSG wasituone sisi akili zetu ni kama za wapiga Nyet0
Salah kama atasepa asepe tu masna Hao FSG niwabinafsi sana.Dah hawa matajiri hawa jamani yaani leo hii Mshahara wa 200k kwa wiki ni Mshahara wa katikati maana zama zimebadilika sasa kweli umpe mshahara wa kati na kati Mohammed Salah Looooool!
Hata chelseafc hatuna stress team yetu still inafanya vizuri kuhusu hayo makelele yanayoendelea nje ya nchi ni changamoto za kawaida sisi wengine ni wafia team hatuwezi kuhama abadani
Ninyi Liverpool ni takataka..
Over my dead body sitakaa nishabikie haya majogoo yenye utitiri.
Never.
Toka umezaliwa ni timu gani umeiishuhudia ina mafanikio makubwa kimpira kwa pale Uingereza?Badilisha tu ID uje Liverpool Rent Boys hawatokutambua.
Basi consider yourself deadOver my dead body sitakaa nishabikie haya majogoo yenye utitiri.
Never.