Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Ni wakati wako Miss Liverpool.Gari ishawaka moto ni kukanyaga wese tu![]()
Shine.
On way to the top.
Enjoy.
YNWA
Ni wakati wako Miss Liverpool.Gari ishawaka moto ni kukanyaga wese tu![]()
Ulishinda ngapi?Cheki na kepa
Ana majibu sahihi
Liverpool wonUlishinda ngapi?
Magoal yalifungwa dakika ya ngapi?
Acha kurukaruka.
Ushindi wa ujanja ujanja.Liverpool won
Hutaki acha
Naona ushageuka nabii na mtabiriUshindi wa ujanja ujanja.
Mwisho wako unakuja.
Ushindi wa ujanja ujanja.
Mwisho wako unakuja.
Huyo rent boys umemfunga mara ngapi?
msimu huu?Idadi sawa na Washabiki wenu
Timu inajiuza haihitaji madalali wa kihuni.Vipi mumeshapata Mteja wa kununua Timu?
Kwshapatikana mteja???Timu inajiuza haihitaji madalali wa kihuni.
Ngoja tucheze fainaliNi wakati wako Miss Liverpool.
Shine.
On way to the top.
Enjoy.
YNWA
