Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
Mo's glory will only be at liverpool, tamaa ya pesa itamgeuza Coutinho wa piliLet’s hope Salah contract won’t disturb the squad
Mo's glory will only be at liverpool, tamaa ya pesa itamgeuza Coutinho wa piliLet’s hope Salah contract won’t disturb the squad
kama ni pesa aendeSalah is a professional if he wonna go to the best team kama watashidwana na FSG basi ku perfom at highest level ndio bora kwake ili hao Real Madrid ama PSG ama Barcelona wamjie mazima.
Most likely hata saini unless FSG alter thier wage structure of which after Diaz impact gossip has its they are lookin for Nunez from Benfica young and fit thier business mode huku Salah akiwek sokoni this June for around £50m to £ 80m.
Makombe tunayotaka are way big kukumbali distraction.
YNWA
If he agrees to a decent pay, yeahView attachment 2160387
Woow this boy.
Miaka 28 tu this magician, angefaa kama squad player akitokea benchi ni ma goli hakuna namna.
YNWA
Unyonyaji siyo sifa nzuri mkuu.kama ni pesa aende
kama ni Glory abaki.
Hii ndio model yetu, Klopp, FSG and thats what makes us different from the rest.
Gini uko analilia kurudi, maisha ya pesa yamemshinda. Coutinho aliishia kupata sonona,
Owen alienda Madrid 2004 akapishana na kombe (ISTANBUL), mpaka kesho anajiita mwana-liver ila moyoni anajua ALIBUGI
Salah hatakuwa na jipya kwetu, we jus' keep watchin' while he learns!
Ndo aina yetu ya maisha, tunacheza mpira hatuchezi pesa.Unyonyaji siyo sifa nzuri mkuu.
Maboss wa Liver ni wanyonyaji aisee,,aende tu na cha moto tutakiona.
Na nataka tukione cha moto ili wajue kuwathamini wachezaji.Ndo aina yetu ya maisha, tunacheza mpira hatuchezi pesa.
Kama mtu anaona ananyonywa anao uhuru wa kung'oa. Cha moto labda Klopp aondoke, usiwe na hofu
labda unasema hivo kwakuwa umeanza kushabika club kipindi hiki cha 'neema', haujui tulipotoka mama, usiongelee moto acha kabisa!Na nataka tukione cha moto ili wajue kuwathamini wachezaji.
Mkuu usientertain huu unyonyaji.
Kwakweli kule tulipotoka, hapana jamani, hapana kabisa. Hapafai.labda unasema hivo kwakuwa umeanza kushabika club kipindi hiki cha 'neema', haujui tulipotoka mama, usiongelee moto acha kabisa!
Nimeanza kushabikia mwaka 2000 mkuu.labda unasema hivo kwakuwa umeanza kushabika club kipindi hiki cha 'neema', haujui tulipotoka mama, usiongelee moto acha kabisa!
wathaminiwe.sasa mbona unaongea habari za moto mama, hujachoka tu?Nimeanza kushabikia mwaka 2000 mkuu.
Bado si kigezo cha unyonyaji jamani..hawa vijana wamejitoawathaminiwe.
Hahaha ule mpira mpaka sasa sijui utakua umetua wapi tena 😀😀😀Ngoja tucheze fainali
Afu nusu fainali tutamalizia na wale waliopaishia Mpira Tandahimba![]()
By th way man upo sahihi not paying above whats the club generate makes FSG model so unique kiasi sasa wengine wanatamani ku operate like em. Mostly spotting raw talents, groom em, make em super stars and sell them for a profit while enjoying maximum success on the field.kama ni pesa aende
kama ni Glory abaki.
Hii ndio model yetu, Klopp, FSG and thats what makes us different from the rest.
Gini uko analilia kurudi, maisha ya pesa yamemshinda. Coutinho aliishia kupata sonona,
Owen alienda Madrid 2004 akapishana na kombe (ISTANBUL), mpaka kesho anajiita mwana-liver ila moyoni anajua ALIBUGI
Salah hatakuwa na jipya kwetu, we jus' keep watchin' while he learns!
PERFECT, can't describe much better!By th way man upo sahihi not paying above whats the club generate makes FSG model so unique kiasi sasa wengine wanatamani ku operate like em. Mostly spotting raw talents, groom em, make em super stars and sell them for a profit while enjoying maximum success on the field.
Buy Surez for £22m sell for £75m +ads on
Buy Coutinho £8m sell for £126m
Buy Solanke £3m sell for £19m
Nk nk nk nk
Buy Robertson for £8m from relegated Hull City make him the best LB in the work.
Buy Gini from relegated Magpies make him the best LMF.
Nk nk.
FSG are lucky kua na the right guys to do all this work kuanzia profiling wachezaji, scout department, coaching department, data department na the main ASSET WA HII KLABU NI JURGEN KLOPP NA PEP LIJNDERS.
Kama wakiona Salah ni ngumu mshahara wake kulipika kwa hali ilivyo sasa kwa kweli nitasimama na FSG na no hard feelings kwa Salah kutaka alipwe zaidi ame delivers on top kwa misimu mitano na anastahili hicho anachotaka kama anaweza kupata kwingine all the best will miss him dearly his goals, assist, business merchandise anayoleta klabuni is way too big maana yeye peke anauza jezi asilimia ya jezi zote zilizouzwa kwenye duka na washirika wa Liverpool ina maana dogo ana perfom uwanjani na ana perform nje ya uwanja ooh what's a a boy.
Klopp ameeleza kwamba wao kama uongozi wametoa ofa hivyo ni Salah na agent wake waafiki ama la na so far ni kama hakuna kuafiki pengine sasa wanajaribu kutafuta soko kwingine. Kilichonistua kiasi ni kuona Salah anasema hana mpango wa kuodoka EPL angependa akihama Liverpool basi iwe hap hapa UK meaning aidha Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea wanaweza kumpa huo mshahara anaostahili basi ruhkusa anawaita wamtangazie ofa.
Kwa namna Klopp anavyokua ma macho ya wachezaji sina wasiwasi hata kiduchu uhakika wa kupata mchezaji mwingine upo. Ukitazama akina Fekir, Mbappe nk aliowa point Klopp viwango vyoa utaelewa maana kwamba Klopp is the system hivyo am at peace.
YNWA
itakuwa blunder ya karne!Mo Salah to Newcastle united loading....!
Huijui project ya Newcastle wewe kaa kimya ,Neymar mwenyewe anahitajika paleitakuwa blunder ya karne!
yani Klopp aponde take-over ya Newcastle alafu yeye atimkie hukohuko? Mo hawezi fanya huo upuuzi
anayeenda uko ni yule flop wenu Hazard!



