Akilizao haziko vizuri kabisa yaani Man U msimu uliopita walifanya vizuri wakajua watafanya vizuri msimu huu tena, chelsea hii haina huwezo wakuchukua ubingwa kwa mechi 38 wachezaji wake wanaumia umia sana.
Sisi mara nyingi hawatuamini kabisa,baada yakupa zile point 97 wakasema wachezaji watakuwa wamechoka sana msimu ujao hatuwezi kuchukua ubingwa ,Msimu uliofata tukachukua ubingwa wakakosa chakusema.
Kwa wengine wakifanya vizuri msimu mmoja wanaaminiwa kuchukua ubingwa msimu ujao ila sio kwa sisi.
Kwa msimu uliopita kwa upande wangu wachezaji walikuwa wamechoka sana maana ilikuwa msimu wa tatu tuko vizuri.
Msimu ujao watatukataa tena,hiyo ipo hata hapa bongo.