Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbukumbu:

Nikiwa nipo Zanzibar mwaka 1999 tukiwa tunatembea takri Kilometa 7 kwenda Kibanda Umiza Mitaa ya Shaurimoyo kuangalia Mpira tukiwa group la watu wapatao kati ya 12 mpaka 15 kwa mechi za usiku, na wastani wa kuanzia watu 3 mpaka 5 kwa mechi za mchana na jioni.

Kuna siku tulitoka kwenda kwenda kuangalia game (1999) ya Chelsea v/s Man United ambapo iliishia kwa Chelsea kushinda 5 kwa 0, ndani ya Kibanda Umiza tulikuwa watu wapatao 700 - 900 ambapo kati ya Hao Washabiki wapatao 400 tuliishabikia Chelsea ingawa sote hatukuwa Washabiki wa Chelsea bali ni Washabiki wa Arsnal na Liverpool ila tuliishabikia Chelsea kutokana na kuiombea mabaya Man United iliyokuwa imeshacheza michezo mingi na kutokufungwa kwa Muda mrefu.

Lakini katika Watazamaji mpira hao wapatao 700 - 900 kulikuwa na Mshabiki mmoja tu ambaye kwa kipindi hicho ndiye alikuwa Mashabiki wa Chelsea lialia Jamaa anaitwa Ahmed maarufu anaitwa RIDO jina litokanalo na RIDONDO (Huyu Manure wanamfahamu Vizuri ). Kwa vile anatoka mtaani kwetu mnamo mwaka 2016 ilinibidi nimuulize kwanini Takriban Wilaya nzima alikuwa Mshabiki pekee wa Chelsea? Akanijibu kwamba yeye sababu ya kuipenda Chelsea ni kwamba alikuwa Mshabiki wa Timu ya Taifa Italy kindakindaki hivyo mwaka 1996 wakati akiangalia game ya Italy alimuona Gianfranco Zola kwa mara ya kwanza akifunga goli zuri sana na mnamo mwaka 1998 katika kuangalia EPL alikuja akamuona Gianfranco Zola ndani ya Chelsea ndiyo hapo akaanza Rasmi kuishabikia Chelsea kwasababu ya Zola.

Pia kipindi hicho tunaangalia Champion League hakukuwa na Washabiki wa Real Madrid wala Barcelona.

Mnamo mwaka 2000 nikahama Zanzibar. Mwaka 2007 nikarudi Zanzibar kwenye Mtaa ulele na kibanda umiza kilekile cha ajabu nikakuta Mamia ya Washabiki wa Chelsea na Makumi ya Washabiki wa Real na Barcelona pia na baadhi ya Mashabiki wa Man City.

Kama kawaida yangu huwa siwachagi kaubishi fulani siku hiyo nikafika Kijiwe na kuanza kujadili Soccer nikawaambia Mashabiki wa Chelsea nyinyi sio Level yangu kujadili mpira! Kwa Vile nilihama muda mrefu wakadhani mimi sijui chochote kuhusu ushabiki wa Mtaa ule na kibanda umiza chetu cha asili.
Wakaanza kuropoka na kudai wengine 'Naipenda Chelsea toka enzi za Vialli', wengine 'Nilianza kubwa mashabiki wa Chelsea baada ya kusainiwa Babayaro', Mwengine 'Mimi nilianza kuishabikia Chelsea toka mwaka 1998'! Na madai mengi kabisa.
Wanazungumza hayo wakati huo mshabiki wa Chelsea alikuwa ni mmoja tu, hii inathibitisha kuwa mashabiki wa Chelsea ni Wimbi la Morinho mwaka 2005 lililofuata mafanikio na si Mapenzi ya Mpira ndiyomana kupigwa Pini Abramovic wanaanza kulialia wakihofia Timu yao kurudi ilipotoka wakati sisi tulizishuhudia Timu zetu zikiwekewa deadline ya kutangazwa kufilisika na bado tulikuwa na amani kwani hatukuhofia kuanza upya hata kama tungeanzia North League 1.

Washabiki wa Barcelona waliibuka 2004 kufuatia kutamba kwa Ronaldinho.

Washabiki wa Real walianza kuonekana mapema kidogo nadhani ni kuanzia mwaka 2003 hasahasa kwenye ile Fainali yao ya UCL baada ya kuwafunga Leverkusen kwa goli la Nuclear bomb la Zidane.

Hivyo Washabiki wa Chelsea maarufu Rent Boys wanapaswa kuwa na nidhamu wanapoongea na Wakubwa wao kwani kabla ya 2005 wao hawakuwa chochote wala hawakuwa wakijua kama kuna kitu kinaitwa EPL, wala hawakuwa wakijua kama kuna Timu inaitwa Chelsea.
Mkuu liverPUNGA Kwan unaumia nn kuhusu Chelsea na unatumia nguvu nyingi Sana aisee...
 
so kwa walio zaliw miaka ya 95 na kuendelea hwatakiw kuzungumzia mpira or kuipenda chelsea mimi nmeanza kushabikia chelsea 2004 nilipenda chelsea coz of colour so mtu anaposema chelsea fans wanafata mafanikio uwa najiuliza kwa kizz kilichonz kupata akili wakat chelsea infany vizur hawastaili kuwa mashabiki, coz mashabik wa liverpool wao t ndo wanajiona realfans they own football
mapenzi ya ushabiki wa mpira ni hisia za mtu mwenyewe so uwez judge wote walihama timu fuln
so unavosema watu waliham 2005 kumbuka pia kuna vijana wamezaliwa miak 95 na kuendelea nao wanamapenzi n mpira
Anasahau pia kuna vijana WA 95 au 96 ...mtu upo na miaka 10 unaiona Chelsea inawaka chini ya mourinho na kina drogba na lampard alikuwa anataka tuwashabikie kina Ryan Babel au
 
Dah hatariii hii kiongozi...naona kila wakikwepana inashindikana naona hadi FA wamekutana sasa si ajabu ata UEFA wakakutana final pia...japo vijamaa vya chelsee vinajifanya vinawataka liver ili walipe kisasasi cha Carabao cup.

Kitu ambacho wanashindwa kuelewa ni kuwa ndio wanawakaziaga nyie lakini wanacheza pira bovu na watu tunataka entertainment futbol...ngoja tusubiri hizi fixture za kiume april 10 na 17 hapo.

View attachment 2158661
View attachment 2158663
Tobaa
Hii draw imekaaje tena wakuu?
Siyo kwamba fainali ndio tungecheza na city.

Eti nkamu wegman
 
hii battle yetu na City inanikumbusha battle ya chelsea na united 2008, ligi ,uefa na fA na chelsea aliporwa kwote, mechi muhimu kwetu kumfunga City ni ya Ligi kuliko hiyo ya FA, au tukikutana fainali CL
 
Tobaa
Hii draw imekaaje tena wakuu?
Siyo kwamba fainali ndio tungecheza na city.

Eti nkamu wegman
Kulikua hamna Draw nkamu Saint Anne , Mapema mwezi huu ilishachezeshwa Draw ya Quarter Final ndio tulipangiwa hao Nottingham Forest (Mabingwa Mara 2 wa UEFA) baada ya kuwapiga Norwich.
Hatua ya Semi Final mechi hazipangwi kwa draw, Jinsi timu zinavyokutana kwenye hii hatua ndio kama juzi tulivyokua tunaelekezana kwenye UEFA kama unakumbuka 😀😀.
Screenshot_20220321-122152.png

Semi Final hapo ni mbili, Chelsea Vs Palace na City Vs Liverpool mshindi kwenye kila mechi ndio anaenda Fainali.
 
Kulikua hamna Draw nkamu Saint Anne , Mapema mwezi huu ilishachezeshwa Draw ya Quarter Final ndio tulipangiwa hao Nottingham Forest (Mabingwa Mara 2 wa UEFA) baada ya kuwapiga Norwich.
Hatua ya Semi Final mechi hazipangwi kwa draw, Jinsi timu zinavyokutana kwenye hii hatua ndio kama juzi tulivyokua tunaelekezana kwenye UEFA kama unakumbuka .
View attachment 2159114

Semi Final hapo ni mbili, Chelsea Vs Palace na City Vs Liverpool mshindi kwenye kila mechi ndio anaenda Fainali.
Duh
Hii draw kuna namna haikukaa vizuri dah.

Ingechezeshwa vizuri ilitakiwa Hawa city tukutane nao tu fainali.

Wao wangecheza na Chelsea
Sisi na palace
Wangewatoa Chelsea,tuwatoe palace afu tukutane sasa wanaume wa shoka.
 
Sio mbaya sana , wacha tucheze fainal na man city halafu tukamalizie nusu fainal na chelsick
 
Kwann unamuogopa City? Ninyi si Vibabu vya enzi na Enzi. Mnajua mpira kuliko wote duniani komaeni mtoe City tukutane Fainali
 
Kwann unamuogopa City? Ninyi si Vibabu vya enzi na Enzi. Mnajua mpira kuliko wote duniani komaeni mtoe City tukutane Fainali
City hatumuogopi
Tunamtoa mapema sana na tunaingia fainali

Ila sasa sikutaka fainali yetu tucheze na vilaza.
Timu ya kinyonge ndio tutacheza nayo fainali...Fainali ilitakiwa tucheze na City...
Chelsea na Palace wanyonge sana.
 
Sio mbaya sana , wacha tucheze fainal na man city halafu tukamalizie nusu fainal na chelsick
Kwa kweli ratiba imekaa kinyume
Ratiba ya Fainali wameiweka nusu fainali,ya nusu fainali ndo fainali

Sasa eti final tucheze na palace au Chelsea,,hakuna Mpira hapo..tutacheza netball maana watakula bao za kutosha.
 
Kulikua hamna Draw nkamu Saint Anne , Mapema mwezi huu ilishachezeshwa Draw ya Quarter Final ndio tulipangiwa hao Nottingham Forest (Mabingwa Mara 2 wa UEFA) baada ya kuwapiga Norwich.
Hatua ya Semi Final mechi hazipangwi kwa draw, Jinsi timu zinavyokutana kwenye hii hatua ndio kama juzi tulivyokua tunaelekezana kwenye UEFA kama unakumbuka 😀😀.
View attachment 2159114

Semi Final hapo ni mbili, Chelsea Vs Palace na City Vs Liverpool mshindi kwenye kila mechi ndio anaenda Fainali.

Kwa hali ilivyokuwa inasemekan chelsea walivyopewa tu palace WALIFURAHI NA WAKAPOST FASTA MAANA WALIOGOPA KUBADILISHIWA OPPONENT, 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama siyo mnyonge si angeshinda.

Sasa fainali acheze Liver na Chelsea
Au City na Chelsea
Si itakuwa fainali ya kinyonge sana maana mshindi tayari anaonekana
Mlishinda kimchongo goli sahihi la Chelsea lilikataliwa.Alafu pernat haina mwenyewe yoyote anaweza kukosa.msimu huu hamjaifunga Chelsea na huo uwezo wa kuifunga Chelsea hamna.
 
Kama siyo mnyonge si angeshinda.

Sasa fainali acheze Liver na Chelsea
Au City na Chelsea
Si itakuwa fainali ya kinyonge sana maana mshindi tayari anaonekana
This time tukikutana FA umeisha.

Save this comment. Maana UCL hatuwezi kukutana,

Imagine mnategemea TAA ndio awazuie watu kama akina Alphoso Davies.

Kama nawaona Bayern wavyoufanyia mazoezi huo uchochoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom