Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mlishinda kimchongo goli sahihi la Chelsea lilikataliwa.Alafu pernat haina mwenyewe yoyote anaweza kukosa.msimu huu hamjaifunga Chelsea na huo uwezo wa kuifunga Chelsea hamna.
Kama hatujaifunga tulishindaje?
Kwamba Yale magoli ya penati hukuyaona


Penati kukosa mwenyewe ndio ujue atakayekosa ndio kilaza wa mechi sasa.
 
Adjustments.jpg
 
Kwa hali ilivyokuwa inasemekan chelsea walivyopewa tu palace WALIFURAHI NA WAKAPOST FASTA MAANA WALIOGOPA KUBADILISHIWA OPPONENT,
Ninyi ndiyo mliogopa kukutana na Chelsea any wei hakuna shida naami tutakutana na wewe au City final. Na sizani kama utamfunga City two times within a week?
 
This time tukikutana FA umeisha.

Save this comment. Maana UCL hatuwezi kukutana,

Imagine mnategemea TAA ndio awazuie watu kama akina Alphoso Davies.

Kama nawaona Bayern wavyoufanyia mazoezi huo uchochoro.

Hivi wewe mpira mbona unaucheza mdomoni.mnasemaga TAA hajui kukaba Klopp kasema atawabutua maana TAA dogo ameonesha anaweza kuzuia alina ubishi hilo.

Huna uwezo wa kumfunga Liverpool wewe.bayern tuliyoifunga na kwenda kuchukua ubingwa ilikuwa bora kuishinda hii.
 
Hivi wewe mpira mbona unaucheza mdomoni.mnasemaga TAA hajui kukaba Klopp kasema atawabutua maana TAA dogo ameonesha anaweza kuzuia alina ubishi hilo.

Huna uwezo wa kumfunga Liverpool wewe.bayern tuliyoifunga na kwenda kuchukua ubingwa ilikuwa bora kuishinda hii.
Kwa hiyo ubora wenu wa kipindi kile ni sawa na wa sasa hivi?
 
Kwa hiyo ubora wenu wa kipindi kile ni sawa na wa sasa hivi?

Sasa hivi tuko vizuri kuliko kipindi kile kipindi tulikuwa hatuko vizuri ndio maana tukapewa Bayern,hakuna aliyetegemea kama tutashinda arienz arena pale lakini tulishinda 3-1 .
 
Hahaha punguzaneni kwanza yeyote kati ya nyie takataka na man shitye tunamngoja final FA hahahaha

Mafanikio ya Tuchel..ndani ya matatizo..😂
Won two cups ..CWC, Uefa SuperCup,
Carabao final
Uefa qwata final,
FA semi final,

FA final is loading ...

Hahahaha it Chelsea Things 😂😂😂😂
#CFC💙💙💙
 
Kumbukumbu:

Nikiwa nipo Zanzibar mwaka 1999 tukiwa tunatembea takri Kilometa 7 kwenda Kibanda Umiza Mitaa ya Shaurimoyo kuangalia Mpira tukiwa group la watu wapatao kati ya 12 mpaka 15 kwa mechi za usiku, na wastani wa kuanzia watu 3 mpaka 5 kwa mechi za mchana na jioni.

Kuna siku tulitoka kwenda kwenda kuangalia game (1999) ya Chelsea v/s Man United ambapo iliishia kwa Chelsea kushinda 5 kwa 0, ndani ya Kibanda Umiza tulikuwa watu wapatao 700 - 900 ambapo kati ya Hao Washabiki wapatao 400 tuliishabikia Chelsea ingawa sote hatukuwa Washabiki wa Chelsea bali ni Washabiki wa Arsnal na Liverpool ila tuliishabikia Chelsea kutokana na kuiombea mabaya Man United iliyokuwa imeshacheza michezo mingi na kutokufungwa kwa Muda mrefu.

Lakini katika Watazamaji mpira hao wapatao 700 - 900 kulikuwa na Mshabiki mmoja tu ambaye kwa kipindi hicho ndiye alikuwa Mashabiki wa Chelsea lialia Jamaa anaitwa Ahmed maarufu anaitwa RIDO jina litokanalo na RIDONDO (Huyu Manure wanamfahamu Vizuri 😅). Kwa vile anatoka mtaani kwetu mnamo mwaka 2016 ilinibidi nimuulize kwanini Takriban Wilaya nzima alikuwa Mshabiki pekee wa Chelsea? Akanijibu kwamba yeye sababu ya kuipenda Chelsea ni kwamba alikuwa Mshabiki wa Timu ya Taifa Italy kindakindaki hivyo mwaka 1996 wakati akiangalia game ya Italy alimuona Gianfranco Zola kwa mara ya kwanza akifunga goli zuri sana na mnamo mwaka 1998 katika kuangalia EPL alikuja akamuona Gianfranco Zola ndani ya Chelsea ndiyo hapo akaanza Rasmi kuishabikia Chelsea kwasababu ya Zola.

Pia kipindi hicho tunaangalia Champion League hakukuwa na Washabiki wa Real Madrid wala Barcelona.

Mnamo mwaka 2000 nikahama Zanzibar. Mwaka 2007 nikarudi Zanzibar kwenye Mtaa ulele na kibanda umiza kilekile cha ajabu nikakuta Mamia ya Washabiki wa Chelsea na Makumi ya Washabiki wa Real na Barcelona pia na baadhi ya Mashabiki wa Man City.

Kama kawaida yangu huwa siwachagi kaubishi fulani siku hiyo nikafika Kijiwe na kuanza kujadili Soccer nikawaambia Mashabiki wa Chelsea nyinyi sio Level yangu kujadili mpira! Kwa Vile nilihama muda mrefu wakadhani mimi sijui chochote kuhusu ushabiki wa Mtaa ule na kibanda umiza chetu cha asili.
Wakaanza kuropoka na kudai wengine 'Naipenda Chelsea toka enzi za Vialli', wengine 'Nilianza kubwa mashabiki wa Chelsea baada ya kusainiwa Babayaro', Mwengine 'Mimi nilianza kuishabikia Chelsea toka mwaka 1998'! Na madai mengi kabisa.
Wanazungumza hayo wakati huo mshabiki wa Chelsea alikuwa ni mmoja tu, hii inathibitisha kuwa mashabiki wa Chelsea ni Wimbi la Morinho mwaka 2005 lililofuata mafanikio na si Mapenzi ya Mpira ndiyomana kupigwa Pini Abramovic wanaanza kulialia wakihofia Timu yao kurudi ilipotoka wakati sisi tulizishuhudia Timu zetu zikiwekewa deadline ya kutangazwa kufilisika na bado tulikuwa na amani kwani hatukuhofia kuanza upya hata kama tungeanzia North League 1.

Washabiki wa Barcelona waliibuka 2004 kufuatia kutamba kwa Ronaldinho.

Washabiki wa Real walianza kuonekana mapema kidogo nadhani ni kuanzia mwaka 2003 hasahasa kwenye ile Fainali yao ya UCL baada ya kuwafunga Leverkusen kwa goli la Nuclear bomb la Zidane.

Hivyo Washabiki wa Chelsea maarufu Rent Boys wanapaswa kuwa na nidhamu wanapoongea na Wakubwa wao kwani kabla ya 2005 wao hawakuwa chochote wala hawakuwa wakijua kama kuna kitu kinaitwa EPL, wala hawakuwa wakijua kama kuna Timu inaitwa Chelsea.
Cheki hili takataka la liverkuku linaumia kwa sababu ya mafanikio yetu.😂😂😂

Unadhani timu za wenzetu zinakufaga kama zenu za mchangani? em acha nshamba wewe..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom