Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Taki kesho ana goli lake.
Haya makombe ana jambo nayo kwa vile EPL hapati namba.
Klopp anakomaa sana sub 5 zirejee kama kwingine hii itakua powa kwa Taki and crew kupata dakika.
YNWA
Taki kesho ana goli lake.
Bobby no wonder Klopp rate the boy highly hana makuu wala bwebwe yeye ni real professional hata pale yupo on fire aafu Klopp akaamua kumtoa hua hanuni wala nini yeye ni all smiles... Sasa tazama jamaa zetu Salah, Mane, Henderson yaaani hawa namba ikinyanyuliwe utaona wanavyonuna na maneno ya chini chini sasa unajiuliza mwenye mamlaka ya mwisho ya kikosi ni Klopp na sio wachezaji yaaani binafsi hua wananikera balaa wakati mwingine.Bobby ndiye Mchezaji asiye na kiburi na mwenye nidhamu zaidi kuliko mchezaji yoyote wa Liverpool.
Hakufanya ukakasi alipoambiwa ampe Jezi namba 11 Mo Salah, wala hajanuna alipopokonywa namba na Diogo Jota.
Imagine Sadio Mane angeambiwa nayeye ampe Jezi namba 10 Diogo Jota halafu namba namba yake ichukuliwe na Diaz uone kama hata Wiki itamaliza Hajang'oa Viti uwanjani.
Au Hendo namba yake ichukuliwe na Keita kama hajampasua Klopp.
mimi niko Chugastan tu chali angu nakula makush 😀😀😀Chalianguu bado hujarudi kutoka UAE?
Poa chalii tukutane tu UEFA ili game tucheki wote arifmimi niko Chugastan tu chali angu nakula makush 😀😀😀
Ustadh uwasimuelewi kabisa ni kisikia story za yeye na msikitiniBobby ndiye Mchezaji asiye na kiburi na mwenye nidhamu zaidi kuliko mchezaji yoyote wa Liverpool.
Hakufanya ukakasi alipoambiwa ampe Jezi namba 11 Mo Salah, wala hajanuna alipopokonywa namba na Diogo Jota.
Imagine Sadio Mane angeambiwa nayeye ampe Jezi namba 10 Diogo Jota halafu namba namba yake ichukuliwe na Diaz uone kama hata Wiki itamaliza Hajang'oa Viti uwanjani.
Au Hendo namba yake ichukuliwe na Keita kama hajampasua Klopp.
View attachment 2157636
Hawa ni baadhi ya wachumbuzi walivyotabiri bingwa EPL na Top 4 itakavyokua. Ajabu kwa hawa hapa hakuna alietabiri Liverpool anaweza kua bingwa.
Haya maisha yanakwenda kasi balaa.
Tutaelewana.
Ina maana kampuni za bet Liverpool akiwa bingwa zitakua matajiri balaa maana wale wanaoweka bet mwanzoni mwa msimu za nani bingwa wengine hua wanaangalia hawa wachambuzi aafu ndio wanabeti sasa imekula kwao hali inavyokwenda sio kabisa kwa hao wengi.
YNWA