Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
wamemtoa Arsenal round ya 3, wakamtoa leicester 4-1 round ya nneAchana na hizi story za kijiweni pambaneni na hali yenu, Nottingham Forest wanawanendesha mchakamchaka
wanamakombe mengi zaidi ya UEFA kuliko nyie
hawa ni baba zenu mnatakiwa kuwaamkia nyie simbilisi
