King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,463
- 7,457
Hii imeekwa kitaalamu sanaAtletico Madrid's Champions League opponents this season have been Porto, Liverpool, AC Milan, Manchester United and Manchester City.
18 European Cup titles between them and Man City.
Oh asante Sana kwa maelezoYNWA
Sawa nkamu[emoji23]Ambapo hujaelewa we uliza tu usione aibu [emoji23][emoji23]
Tupo wengi humu nisipo kujibu mimi basi watakujibu wengine.
YNWA
Oh nimeelewa mkuuUkitoka hatua ya makundi ni kuingia 16 bora na Robo Fainali tu ndiyo Draw inachezeshwa.
Baada ya Robo hakuna tena kuchezeshwa Draw bali kila Stage imeshapangwa kuwa nanai atakutana na nani.
Pia sio kila Timu inaweza kukutana na kucheza na Timu yoyote! Kwenye 16 bora Timu zinazotoka Nchi moja haziwezi kukutana, na Viongozi wa Makundi hawawezi kukutana.
[emoji1787]UEFA wanakosea Sana
Walitakiwa kuchukua team zote 7 wachanganye wachezaji waje kucheza na Liverpool.. Kuteletea benfica ni kumuonea
Tuleteeni Bayern.
Karim benzema hajawahi kuniangusha kabisaTuna imani na Benfica hawatotuangusha.
Oh asante Sana kwa maelezo
Mwaka 2005 Liverpool walipeleka ofa ya Β£12 million lakini ikishidikana kwa sababu Benfica walitaka mpunga zaidi.Hapa ndipo Simao sambrosa ina malizika dk 90 anaona wahuni wa liverpool wanashangilia akawa anajiuliza hv liverpool ndio wameshinda?
Huyu Simao tulimtaka sana akiwa benifica
Kwako
Captain Marvelous π
Duuh hii ndio naipata sasa. Aliumia gemu ya Arsenal damn.Fri, 18 Mar 2022 10:39:25 GMT
Liverpool's Trent Alexander-Arnold will be out for several weeks with a hamstring problem, manager Jurgen Klopp has confirmed.
The England defender, 23, suffered the injury during Wednesday's Premier League win at Arsenal.
It means he will also miss England's friendlies against Switzerland and Ivory Coast next week.
"Trent is out with a hamstring, so he cannot be part of England too," said Klopp.
"Not good news, we will see how long that takes."
Joe Gomez and veteran James Milner are the likely candidates to replace Alexander-Arnold, but Klopp admits neither possess the same skillset as the England international.
"Of course to replace Trent is difficult but possible," added Klopp, whose side travel to Nottingham Forest in the FA Cup quarter-final on Sunday.
"I don't know any player who plays like Trent, so its difficult to find a one-to-one replacement.
"We have Milly [Milner], Joe, theoretically we can change the system as well, these kind of things. So we have a couple of options.
"When you look in the past when Milly has had to step up he has done incredibly well. And if not maybe we have a young solution."
Klopp's side host Watford in their first Premier League game back after the international break on 2 April, before a pivotal trip to title rivals Manchester City the following week, either side of the first leg of the Champions League quarter-final.
The Merseysiders are currently second in the Premier League, one point behind City.
πππππYaaani hatutaki stori sie tunachojua ni maadalizi mechi inayofuata na sasa ni FA ugenini.Kabisa
Tunachojali ni point 3 tulizopata..hayo mambo mengine ni stori zakeπ
Duuh usife moyo mapema hivi cha msingi Kipara aache kwenda mbio sana kutafuta Headlines za magazeti maana hizi UCL zilizopita Semi na Fainali ni upangaji wake wa kikosi kumpagawisha mpaka anakwenda lesi balaa anaharibu.Team zinye uwezekano wa kubeba CL..
Iiverpool ,buyern Chelsea ......Hizi mbwa zisipochukua CL basi Tena [emoji23][emoji23][emoji23] city na Madrid sio solid Sana in term of knock out stage ...
Sisi man city ni wazee wa marathon...! ila epl tupo nayo ,....
MuhahoTuna imani na Benfica hawatotuangusha.
Man we thrive where there is presha ya kutosha.kwenye karatasi kweli tuna mechi ngumu sababu tuna wapinzani wengi kuliko Man City, yani city ukitoa upinzani na united hawana timu zingine za upinzani wa jadi, sisi tuna Nyumbu, Everton na Spurs huwa hawa tukicheza nao hasa london marefa wanakua upande wao, ila uzuri wanatua ghetoni
Klopp ana kazi naye hiyo ni trick tu ili national timu asiitwe. πππDuuh hii ndio naipata sasa. Aliumia gemu ya Arsenal damn.
Angalau kuna siku kadhaa mpaka tukutane na Watford EPL awe amekaa sawa kwa kweli.
YNWA
Aisee kwa ule ukuta hata ungetupiga 10 roho safii hatukua na neno.
π³π³π³πππππππHahahaha jamani Klopp kama Klopp.Klopp ana kazi naye hiyo ni trick tu ili national timu asiitwe. πππ
Huu ni ujanja tu huyu atarudi kwenye epl akiwa fit anataka asiende kuumia kwenye team ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TAA hanaga historia ya kucheza vzuri team ya taifaFri, 18 Mar 2022 10:39:25 GMT