Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,922
Hivi nini kilizuia Manchester City awafunge Southampton, Crystal Palace.Mkuu haina haja ya kuogopa hawa kuku lazima tuwale Supu...ukiangalia vizuri utaona jana despite their win against arse8 at emirate...utaona arsenal alishindwa tu kufanya zile clinical finishing lakini alicheza mpira mzuri na takwimu almost the same tu...sioni cha kuogopa sana dhidi ya Cops!!!
View attachment 2153760
Tulikupiga 11Tunataka tupewe ninyi liverkuku ili tuwatoe mapema ..muendelee kupambania epl ..au munasemaje wazee😀😀😀
Kwahiyo chelsea mshatolewa kuwania ubingwa epl?Tunataka tupewe ninyi liverkuku ili tuwatoe mapema ..muendelee kupambania epl ..au munasemaje wazee😀😀😀
Draw ni kesho.Draw kesho?
Boby is one of great lfc storySadly ndio iko hivyo. Ukweli kwa sasa hakuna anaeona umuhimu wa Firmino ila ile role yake ya false 9 ndio imetufikisha hapa tulipo na ndio imemfanya Salah akawa Salah na Mane akawa Mane
Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
kihualisia sisi hatupo kwenye mbio za ubingwa tena. Sisi tunatetea taji letu uefa. hivyo tunahitaji kupewa nyie livakuku ili tuwale kichwa mapema.Kwahiyo chelsea mshatolewa kuwania ubingwa epl?
unazungumzia zile penati mkuu?Tulikupiga 11
mkuu kwa sasa tumeishakubali hatuwezi tena kuwakuta tena ..kwa sasa tunakazania kutetea ubingwa wetu wa uefa japo ma giant ndio yamebaki ..ila tutatusua tu kibabeView attachment 2153788
Vile OllaChuga Oc ameamka asubuhi nakukuta hatujapoteza mechi ya jana na kustuka kumbe msimamo wa Ligi tunawaacha pointi 10 sasa.
YNWA
Angalieni tusijewapiga 11 nyingine, Klop sio mtu poakihualisia sisi hatupo kwenye mbio za ubingwa tena. Sisi tunatetea taji letu uefa. hivyo tunahitaji kupewa nyie livakuku ili tuwale kichwa mapema.
Mkuu hii staili ya nywele ya Anod inahitaji mambo gani maana nimeipenda aiseLiver ya sasa ipo moto mno mkuu.
City msijiaminishe sana.
Ona tulivyokimbia hadi tunapishana point 1.
Lolote linaweza kutokea ..Ngoja tusubiri muda.
Duh hata usisokote hiyo midread..utatisha.Mkuu hii staili ya nywele ya Anod inahitaji mambo gani maana nimeipenda aiseView attachment 2154573
Afadhali umekubali😂😂mkuu kwa sasa tumeishakubali hatuwezi tena kuwakuta tena ..kwa sasa tunakazania kutetea ubingwa wetu wa uefa japo ma giant ndio yamebaki ..ila tutatusua tu kibabe
This is Chelsea💙💙💙
Cnms ntaingia na kapelo[emoji23]Duh hata usisokote hiyo midread..utatisha.
Pale cnms na huo msokoto wapi na wapi?(kidding)
Nenda saloon mkuu,watakusokota ..muhimu fuga nywele kichwani na hela zisikosekane za kuzifanyia repairment and maintenance hizo dreads.