mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Nilivyoona tu unashabikia arsenal NILIAMUA KUKUSAMEHE BURE....Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Sawa MKUU,muda NI mwl MZURISiku mtakaokutana na city ndio mtajua hamjui.
Wivu unamsumbua achana naeMkuu lazima ukubali Liverpool wako vizuri,kwenye mechi 4 mlizokutana nao mmepata point 1 tu lakini mnakuwa wabishi eti Liverpool ya kawaida?
Mashindano yote mpaka Saizi Liverpool kapoteza mechi 3 tu, hiyo timu unayoisifia imepoteza mechi ngapi mashindano yote? Ni zaidi ya mechi tatu imepoteza lakini bado unaisifia kisa Liverpool kakufunga na hutaki kukubali.
Umefungwa na Liverpool Mechi 2 ukiwa nyumbani kwako bado unalazimisha Liverpool wakawaida kweli?
Kama timu yako haipo hapo,KAA UKIJUA UNASHABIKIA TIMU NDOGO...
Ona huyu[emoji3]Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Kiama[emoji23]
Kwani sisi ndio mara ya kwanza kukutana na City? Alafu wewe ni shabiki wa City au Arsenal?Nilivyoona tu unashabikia arsenal NILIAMUA KUKUSAMEHE BURE....
mechi zetu zilizobaki ni dhidi ya timu kubwa tu, wakati wenzetu wamemaliza nao!Kwa ushindi huu wa jana skysports wanasema title charge is TRULY ON FOR COPS!!!
View attachment 2153670
Naam!...ata mie nakubali kwamba the RACE HAS OFFICIALLY BEGAN...now lets see who will finish first across the winner line.
View attachment 2153672
Ila huyu Firmino ni wa muhimu sana japo ni kama haonekani vile
Inasikitisha!!!Mechi 4 hamjafunga hata goli moja View attachment 2153948
Kaskazini jua kali sana lazima apagawe yule chalii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ollachuga anasema Carabao ni kikombe Cha uji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mechi zetu zilizobaki ni dhidi ya timu kubwa tu, wakati wenzetu wamemaliza nao!
bado tuna
everton
spurs
manyu
Wolves bila baunsa Traore kwetu ni wepesi sana.Ngumu hapo ni wolves na city
Hao wolves hawafai aiseee
Aisee tunachojali sie ni pointi 3 ugenini Emirates hayo ya Manchester City kutufunga ama kumfunga sio wakati wake.Ni kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Mkuu unashabikia Manchester City?Kwa hali ilivyo...ile jana arsenal alitakiwa kuifanya kazi kubwa kuliko uwezo wake na hatimaye wameshindwa...SASA SISI CITY HII SHUGHULI TUTAIFANYA WENYEWE tareh 10-April...HATUTAKI TIMU NYENGINE KUJINASIBU ETI ZINAWEZA KUMTULIZA LIVER!...Narudia tena shughuli za wanaume zitafanywa na wanaume wenyewe nasio wavulana.
Tutamwongezea mikujo ya uso mpaka awe na likizo ndefu June 2022.Subiri tuje kuwanyoosha.
Na sisi Kwa level tuliyofikia;hatutaki kucheza tena na wanyonge.
Tunamtaka kipara tumnyooshe.
HaxhekeshiMimi kabla sijamsoma sana nilimchukulia hivyo,ila nilipokuja kumzoea nikagundua ni mtu mmoja wa mizaha sana[emoji1787]
Na nikimsoma nacheeeka
Kuna muda nisipomuona namiss uwepo wake kwa kweli.
Kuna namna anachekesha jamaa.
Anamtetea but the kid can do better
Poa shekhi yahyaNi kweli mmeshinda ila mpira mliocheza ni wa kawaida sana sidhani kama mna ubavu wa kushindana na city na mkikutana nao ndio mtajua hamjui
Hakuna uwanja mwepesi kwa Liverpool kama Ethad yaaani sijui wale mashabiki wa Ethad hua ni mabitozi ama namna gani yaaani kuna kipindi hata Pep mwenyewe aliwai kutoa maneno makali kwamba hawapati sapoti ya mashabiki Ethad match day kama timu zingine hapo najua alimaanisha Liverpool 🤣🤣...Ofcourse najua mechi za ubingwa hazina cha home or what...ndo maana nikasem itakuwa 50/50. But city wenyewe wanasem kitendo cha nyie kuja etihad haitakuwa rahisi kushinda pamoja na huo moto wenu, ngoja tuone...KIMSINGI HIYO GAME INAWEZA IKAWA KALI KULIKO ATA FAINALI YA UEFA MSIMU HUU!
View attachment 2153749