King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Milna wa nini sasa au anamchongo na kocha?
Huyu bado tunaye sana tu manake mpaka mwakani atacheza Liverpool
Milna wa nini sasa au anamchongo na kocha?
Wana mchongo wao hawa sio bureHuyu bado tunaye sana tu manake mpaka mwakani atacheza Liverpool
Seama tangu angie MilnaDakika 10 za mwisho (from 85' to 90 + 5') zimekuwa chungu kwetu
Itaniuma sana Salah kuondoka, kiukweli Salah anaipenda sana Liverpool ila sasa ubahili utamfanya jamaa asepeSasa si wameuongezee Hela abaki jamani
Mbona wanakuwa wabahili hivi![]()

Jamaa mpuuzi sana anaanza kuleta matusi shenzi type.Dogo
Haya hatuyataki
You better return kile msibani kwenu mkapeane pole
Please
Leo hiii mnamdaharau Salah kisa form ya jota na DiazFair enough, we have recouped every penny spent on Salah, plus trophies and profit due to the team performance…. Hakuna marefu yasiyo na ncha
Unfortunately, mshahara haubebi makombe!!
He will follow the likes of Suarez, Torres, coutinho, emre etc.
A true meaning ya timu and not a bunch of stars

Hatutaki kuharibu payroll ya team...Leo hiii mnamdaharau Salah kisa form ya jota na Diaz
Salah will leave this club na pengo lake halitazibika ...
Team nyingine zina keep Legend nyie ni kudump tu eti mnabania pesa![]()
We ni kiazi kweliLeo hiii mnamdaharau Salah kisa form ya jota na Diaz
Salah will leave this club na pengo lake halitazibika ...
Team nyingine zina keep Legend nyie ni kudump tu eti mnabania pesa![]()
Leo hiii mnamdaharau Salah kisa form ya jota na Diaz
Salah will leave this club na pengo lake halitazibika ...
Team nyingine zina keep Legend nyie ni kudump tu eti mnabania pesa![]()
Shida ya klopp huwa ni emotional guy kumfokea Salah kazingua sana man management
Aisee...Kelleher WA bure: carabao
Kepa WA mamilioni: FA, Europa cup, super cup...
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app