Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mane false 9 ameipiga fresh kuna saa alikua anacheza kama middle 8 anashuka kuchukia ngoma kwa kina matip
Umeona. Yaaani ukiwa na kikosi kipana hakuna mchezaji anaetaka asugue benchi ile false 9 kaicheza vizuri sana.

Jana Mane alicheza vizuri sana. Yeye na Diaz walikua wanazunguka uwanja kusaidia timu. Ki ukweli Mane tangu atoke Afcon na kombe lake naona limempa push fulani kuongeza bidiii.

Kwa uchezaji huu wa Mane, Salah, Diaz hata pengo la Jota magoli au Firmino halipo tena,tupo vizuri.

Jana Diaz na Mane walifanya recovery ya mpira mara nyingi sana. Hii ndio team yako tunayohitaji.

YNWA
 
Screenshot_20220224_095414_com.android.chrome_edit_19566297878783.jpg

New dribbler in town.

Hahaha na bado anaedelea kupewa tips za kucheza Liverpool way.

Huyu dogo ki ufupi kaja pia kaletwa kimkakati kumshusha Salah kwenye madai ya mshahara aisee maana sio kwa mishe zile yaaani mwanzo mwisho hachoki wala nini, haogopi kujaribu yupo Street Football zaidi. Hawa FSG sio watu powa kabisa wana tactic balaa. Kabla Diaz hajaja Salah alikua ndio kawashika vizuri FSG lakini sasa naona baada ya ujio wa Diaz hawa FSG sasa wana pakuanzia kumshusha mshahara pengine atue mpaka hio 300k kwa wiki.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom