Huyo dogo alijituma sana, ni zao bora la Liverpool kwenye ugoli kipa. Mimi sikuwa na wasiwasi nae kabisa sijui kwanini tu.Mkuu me sikupenda kuwekwa huyo dogo golini nilikuwa nawasiwasi sana nilikasilika sana.
Nilikuwa nataka allison ndio akae golini.ila dogo kafanya vizuri tu.
Dunia nzima inajua kama ile game chelsea aliotea mzee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwani Kwenye UEFA huyo Chelsea alikufanyaje ndani ya dakika 90?
Huyu bwana namsubiri kwa hamu nimkaange na takataka lake la kuitwa Chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]OllaChuga Oc njoo huku anakuita Madam Liverpool [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
YNWA
[emoji3590][emoji3590]Juzi katoka sub tu na Chelsea wakaanza kushambulia kwa kasi. Aliwa pin sana mpaka anatoka walishukuru.
Dogo kivulege anasumbua balaa hakuna mpira uliopigwa kwake akakosa kuufuata aisee mentality yake sio ya kawaida.
Anakimbiza mpaka kivuli cha mpira Hahaha yaaani huyu nadhani tuseme ameletwa kuchukua kazi ya Bobby na sio Mane kama inavyoonekana. Kushambulia yupo vizuri lakini pia tukiwa hatuna mpira ana press moja matata sana.
Huyu bei yake sasa Real Madrid wakimtaka ni £100m hahaha.
YNWA
Our VVD[emoji108]
Nini maana ya kuotea? Kufungwa ni kufungwa tu, haijalishi aliotea au la.Dunia nzima inajua kama ile game chelsea aliotea mzee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kabisa inapobidi kama vile lazima wote wawajibike na Klopp iliwaadaa kabisa kwa yatakoyanayo siku ile.Our VVD[emoji108]
Nilijifunza kuwa kumbe bao mabeki wanapaswa kujua kufunga
Na makipa pia wanapaswa kujua kufunga
Yaani kuwa mchezaji ni lazima ujue kucheza angle zote .
Chaliifrancisco huyu jamaa yetu OllaChuga Oc hujamuona hapo Unga Ltd akiwa hoi na kipigo kweli.Huyu bwana namsubiri kwa hamu nimkaange na takataka lake la kuitwa Chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Klopp hili kashalitolea maamuzi alisema "the gains are more than the risk".. Kwamba ukikaba almost uwanja katikati ni rahisi ku regain mpira pindi unavyokua under pressure lakini pia alisema unavyoweka high line inawapa wachezaji wetu muda mwingi kuweka kibanda upande wa upinzani hivyo kua rahisi kuanzisha mashambulizi kwa haraka zaidi. Ukumbuke Klopp anatumia 4 3 3 attacking hivyo yeye anachojua na kua half ya upinzani lakini hilo unalosema sio tu Jumapili mbali gemu nyingi tu MF ikisinzia kiasi basi ujue tunateseka mno..Tumeshinda ila honestly sikuridhishwa na ukabaji wetu hasa kipindi cha pili, tulikabia macho sana, tuliwaruhusu sana chelsea kutengeneza nafasi nyingi za watu VAR ikafanya yake, Klopp aifanye timu iwe compat ili hata mpinzani kupiga on target iwe tabu, mchezo wetu ni kama wa bayern munich wapinzani wanatufikia sana.
ila still bado KEITA ni failed project, keheller, pale tunahazina ya golikipa, DIAZ, msimu ujao watu wajipange
Counter attack gani hata nyie mlikuwa mnavizia, defense yetu sie zile za akina leeds mnaenda tu kama mnaingia public toilet za stendi. Honestly game ilikuwa kubwa na hakuna upande wenye kujidai walicheza vizuri zaidi ya mwenzake. PeriodO-0 HT. Hii tumecheza vizuri. Japo kuna uzembe, chelsea wanavizia counter watupige.
Diaz ni shoka isee.
Ila Leeds wameporomoka kwa kasi ya 5G. Wamegawa pointi kama njugu bora yule babu katimuliwa wacheze mfumo unaoedana na wachezaji walionao wazima.Counter attack gani hata nyie mlikuwa mnavizia, defense yetu sie zile za akina leeds mnaenda tu kama mnaingia public toilet za stendi. Honestly game ilikuwa kubwa na hakuna upande wenye kujidai walicheza vizuri zaidi ya mwenzake. Period
Pole sanaYaani wanawake bhana ukiwa umetulia zako unaangalia mpira ndio anaanza kukusemesha semesha sijui huwa wanatafuta nini tu [emoji23][emoji23][emoji23]
A nakumbukia AfconKamuogopa Mendy
[emoji23] hako kakepa walivyokasalia Sala zote,wamekazunguka nako kanaviringisha Mpira kwenye jezi Huku kanasali nikawaza tu kuwa Leo moto utawakaKabisa inapobidi kama vile lazima wote wawajibike na Klopp iliwaadaa kabisa kwa yatakoyanayo siku ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kepa walimwadaa kudaka wakasahau kuna kupigaaa hahaha yakamkuta.
Ni muda wetu wa Liverpool tumechekwa sana, tumeteswa sana, tumesemwa sana mara ooh 1 man team (Salah) sasa unajiuliza zile penati zote alipiga Salah peke yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Klopp ni levo zingine wakati anajenga kikosi wapo waliomuona kama mpita njia lakini sasa nimeona mpaka Rio Ferdinand akiwashauri Manchester United wafuate mbinu za Liverpool kurudi kileleni hivyo wajipe kama miaka miwili kurudi kwenye kushindana na kuwania EPl au UCL yaaani ukiona sworn enemy akina Rio, Neville wanasema jambo njema kuhusu Liverpool ujue jamaa zangu tupo kwenye laiti traki.
YNWA
Nileteeeni OllaChuga OcChaliifrancisco huyu jamaa yetu OllaChuga Oc hujamuona hapo Unga Ltd akiwa hoi na kipigo kweli.
YNWA