Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Huyu mwamba ana balaaMendy ni bonge la kipa aisee
Huyu mwamba ana balaaMendy ni bonge la kipa aisee
Angekuepo kwenye hii mechi ingekua ni habari nyingine aiseeKaumia kwenye warm up
Diaz dah! Hatukukosea kumsajiliO-0 HT. Hii tumecheza vizuri. Japo kuna uzembe, chelsea wanavizia counter watupige.
Diaz ni shoka isee.
Kule kwa Diaz wanakaba/marking na wachezaji watatu wa Chelsea.O-0 HT. Hii tumecheza vizuri. Japo kuna uzembe, chelsea wanavizia counter watupige.
Diaz ni shoka isee.
Tena shoka la chuma tupuO-0 HT. Hii tumecheza vizuri. Japo kuna uzembe, chelsea wanavizia counter watupige.
Diaz ni shoka isee.
Bhana gemu ngumu sana huyu kipa Mendy ni balaa sana kaokoa point blank shot ya Mane yaaani itakua sevu ya msimu ile.Leo ni leeeeeo🔥🔥🔥❤❤❤
Kabisa hikika hawa wachezaji wanaowafanyia profiling wanajitahidi sana kutuletea mafaita tupu ni bahati kwetu.Tukimtoa TAA na wengine wengine wachache,the rest maisha yao yalikuwa ya msoto.
Ndiyo maana wanajua nini wanafanya❤
Chelsea mkuu sio wepesi hivyo wanasemaga vs Liverpool its means more yaaani.Hizi fainal sio za kukosa nafasi za wazi
Salah amekosa bao la wazi..kulaleki nimetamani kupasukaKabisa hikika hawa wachezaji wanaowafanyia profiling wanajitahidi sana kutuletea mafaita tupu ni bahati kwetu.
YNWA
Kamuogopa MendySalah amekosa bao la wazi..kulaleki nimetamani kupasuka
Labda kwaajili ya penaltyGuys hivi mechi kama hii Milner anahitajika?
YNWA
Alipiga vibayaKamuogopa Mendy
Akapumzike aarggghhhhrGuys hivi mechi kama hii Milner anahitajika?
YNWA