Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwanini useme asingedaka?
Angedaka je?
 
Where are you my friend ollaChuga..
Ulisema utatufunga mdomo kumbe ulikua unazuga...
Sasa umekimbia kama Hussein Bolt unachanja mbuga...
Pole sana kama umeumia njoo unipige nipo mwanza buzuruga...
Teh teh teh teh teh teh teh...
 
Jana kulikuwa hakuna sababu ya Tuchel kufanya sub ya kipa. Ukizingatia mendi alikuwa na Spirit since mwanzo wa mchezo. Akaingixa Kepa aliyekuwa na wenge. TT jana kavurugwa but ndiyo mchezo

Sifuatiliagi sana Mechi zenu lakini nimewasikia baadhi ya Washabiki wa Chelsea wakisema kuwa ile Tactic ya jana ya TT kumbadilisha Kipa ilishawahi kufanya kazi kwa kuleta Matokeo Chanya kwenye Mechi 3.
Hivyo kwa Uwiano huo TT jana hajakosea hata kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…