King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Haijalishi kama atafunga au atatoa Assist lakini hivi mechi kwa Harvey Elliot ni kubwa sana, hakupaswa kuingizwa bado hajawa na experience ya kucheza game kubwa na nzito kama hii.
Si wangeziondoa tu tupige penalty yaisheHizi dakika 15 za mwisho huwaga mbaya sana
Klop anapanic kinyamaNawaona macoacher pande zote 2 wanavyopata tabu aloo![]()
Nimeshangaa ameingizwa huyu dogoHaijalishi kama atafunga au atatoa Assist lakini hivi mechi kwa Harvey Elliot ni kubwa sana, hakupaswa kuingizwa bado hajawa na experience ya kucheza game kubwa na nzito kama hii.
Vipi mkuu mbona umeanza kuagaHii fainali ni zaidi ya ile Super Cup aisee yaaani unatamani mpira usiishe ubakie hivi hivi haha.
Thanks Thomas Tuchel
Thanks Klopp
Thanks wachezaji wa timu zote mbili.
Burudani kali sana.
Na asante pia kwa mashabiki wa timu zote.
YNWA
Huoni hata wa Chelsea anapanic..Klop anapanic kinyama
Game haitabiriki Hadi sasa.Kabisa yaani yeyote ashinde basi
Huenda TT akamuingiza Kepa kwa ajili ya Matuta
Nipo bhanaaa ila duh bonge la gemu.Vipi mkuu mbona umeanza kuaga
Mendy out,kichwa kinaumaNipo bhanaaa ila duh bonge la gemu.
Mendy si mchezo aisee.
YNWA