Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Liverkuku anakaaKarata yako unampa nani?
Liverkuku anakaaKarata yako unampa nani?
Kabisa yaani,wanacheza wanaume🙌🙌Tukiweka ushabiki pembeni hii ni moja ya fainali ya kiume sana.
Naweza sema ni fainali bora ya msimu wa 2021-2022.
Hongera kwa timu zote mbili.
Kabisa yaani yeyote ashinde basiAu basi tu, yeyote ashinde hii game
Mi wakifika kwenye matuta nalala maana sitaki kudhalilika mimi.Nitashindwa kabisa kuangalia hizi dakika 15 za muda wa nyongeza na matuta.