Mawazo yako pia mimi nimeizingumzia LFC yangu kama mshabiki, usinipangie cha kusema.
Ushaanza uchawi mapema kabisakwa uchezaji wa kovacic ataenda kupata tuu red card
Ndugu huko ulaya sio kama bongo ya mo na Simba ungelielewa Hili wala usingetoa hiyo commentView attachment 2131585
OllaChuga Oc njoo huku usaidie timu yako kulipa deni la Mrusi yaaani mmekwisha mtaanza kupitisha kibakuri soon mchangiwe. Ona sasa anawadai Paudi bilioni 2 khaa.
Hii timu ichukuliwe tu na Malkia iwe mali ya Wananchi hakuna namna.
Ila huyu jamaa ni genius sana yaaaaani kusikia chokochoko bungeni kwamba mali zake zichukuliwe fasta huyoo kuwatia kwapani.
YNWA
Nilielewa kiasi chake sema Mr Blue wa Kaskazini aka OllaChuga Oc lazima nimtie baridi ndugu ajikute yupo ligi daraja la 7 hukoo England .Ndugu huko ulaya sio kama bongo ya mo na Simba ungelielewa Hili wala usingetoa hiyo comment
Naamini mwaka wetu huu.Mkuu hao chelsea tunawamaliza mapema kabisa naona wamekuja kupiga kelele kwenye uzi wetu tunawaacha tu wapige kelele.
Hawana timu ya kutufunga hao. Liverpool tuko moto sana ngoja waone wanafikiria tuna tania,tutawashangaza hao hawata amini.
Wale wazee hawana tofauti na wazee wa team zetu za kariakoo wameendelea kumkazia na wamemuambia kama atataka kujenga abadilishe jina la uwanja na uwe jina lingine tofauti na stamford bridgeNilielewa kiasi chake sema Mr Blue wa Kaskazini aka OllaChuga Oc lazima nimtie baridi ndugu ajikute yupo ligi daraja la 7 hukoo England .
Nafahamu sio rahisi ki hivyo ndio maana hata Boris mwenyewe suala la Roman anajikanyanga.
Hivi mkuu ile ishu wa Stamford Bridge iliishia wapi kujenga uwanja mpya bado wenye uwanja wao wanamkazia Roman ama ndio jaja wambane auze timu.
YNWA
Duuuh ila ni roho mbaya na mambo ya maslahi tu hakuna kingine, walinitisha walivyosema hauna bei kabisa yaani na humo yupo pia Jonh TerryWale wazee hawana tofauti na wazee wa team zetu za kariakoo wameendelea kumkazia na wamemuambia kama atataka kujenga abadilishe jina la uwanja na uwe jina lingine tofauti na stamford bridge
Plan ilikuwa ya kuexpand stamford bridge ila baada ya mgogoro wa russia na uk n abramovich kushindwa kurenew visa yake, mpango ukasimamishwa.Nilielewa kiasi chake sema Mr Blue wa Kaskazini aka OllaChuga Oc lazima nimtie baridi ndugu ajikute yupo ligi daraja la 7 hukoo England .
Nafahamu sio rahisi ki hivyo ndio maana hata Boris mwenyewe suala la Roman anajikanyanga.
Hivi mkuu ile ishu wa Stamford Bridge iliishia wapi kujenga uwanja mpya bado wenye uwanja wao wanamkazia Roman ama ndio jaja wambane auze timu.
YNWA
Duuh mwenyewe Roman anakataa hana uhusiano wowote na Putin na haaminiki kabisa hio kauli yake. Hata sasa baadhi ya watu UK wanasema akemee Urusi kuvamia Ukraine aafu yeye kama kawaida kauchuna.Plan ilikuwa ya kuexpand stamford bridge ila baada ya mgogoro wa russia na uk n abramovich kushindwa kurenew visa yake, mpango ukasimamishwa.
Yeah plan, ilikuwa kuanzia msim huu 2021-22 kama sijakosea tulikuwa tunamove stamford bridge kwa mda. Sema ndio vile migogoro ya kidiplomasia akajikuta nayeye anapigwa kakomaliwaDuuh mwenyewe Roman anakataa hana uhusiano wowote na Putin na haaminiki kabisa hio kauli yake. Hata sasa baadhi ya watu UK wanasema akemee Urusi kuvamia Ukraine aafu yeye kama kawaida kauchuna.
Huyu jamaa yuko smart sana sio mtu wa maneno.
Ingekua hii ishu ya visa ni sorted naona Darajani mngepata Arena moja matata sana.
YNWA
hahahaha mrusi huyu unamjua wewe😂😂😂View attachment 2131585
OllaChuga Oc njoo huku usaidie timu yako kulipa deni la Mrusi yaaani mmekwisha mtaanza kupitisha kibakuri soon mchangiwe. Ona sasa anawadai Paudi bilioni 2 khaa.
Hii timu ichukuliwe tu na Malkia iwe mali ya Wananchi hakuna namna.
Ila huyu jamaa ni genius sana yaaaaani kusikia chokochoko bungeni kwamba mali zake zichukuliwe fasta huyoo kuwatia kwapani.
YNWA
Alionyesha njia kwa wawekezaji na baada ya kununua Chelsea wengine wamefuata na kuja Liverpool, Arsenal, Manchester City, Manchester United nk.hahahaha mrusi huyu unamjua wewe😂😂😂
Huyu ameisumbua sana uingereza na mpaka kesho atawasumbua.
Huyu ndio mastermind wa Putin mzee, watu kama hawa wamebaki wachache duniani yani.
Chelsea itaendelea kuwepo hata Roman akiondoka ..Timu za wenzetu ziko imara achana na upumbavu wetu wa bongo
Duuh poleni sisi pale Anfield ujenzi unakwenda powa kabisa kuanzia msimu wa 2023 uwanja wa Anfield utakua na uwezo wa kuchukua watazamaji 61,000+ baada ya kukamilika.Yeah plan, ilikuwa kuanzia msim huu 2021-22 kama sijakosea tulikuwa tunamove stamford bridge kwa mda. Sema ndio vile migogoro ya kidiplomasia akajikuta nayeye anapigwa kakomaliwa
Wakuu Lovern achezea timu gani sahivi nimeona kaalikwa na Salah
No penalty....