Jamaa wapo kibiashara sana, ila kumuachia Salah au mane haitopendeza.Mkuu tuna wamiliki wachumi balaa. Amini usiamini huu ununuzi wa Diaz unamengi sana nyuma ya pazia aisee. Usije shangaa Salah, Mane wakanyimwa nyongeza ya mikataba yao ama ukaona Mane amepewa mkataba mpya na pengine wamlipe £180 au £200 kwa wiki na waongeze miaka miwili ina maana mpaka 2025.
Kwa Salah FSG wanatega hivi, Mbappe atasaini mkataba mpya PSG kama ndio FSG wanaweza kumuuza Salah Real Madrid, ama je Barcelona kuna pesa wanategemea je wanaweza kumshawishi Salah atue kwao.. FSG wanamtega Salah kwa kuangalia movement za wachezaji wengine ambao ni Mbappe na Haaland. Timu zenye uwezo wa madai ya Salah ni PSG, Real Madrid, Manchester City na Juventus labda kwa baadae akiona vipi Chelsea na Barcelona wakipata hela.
Hili sakata la Salah ndio kwanza asubuhi labda watonywe mapema movement za Mbappe na Halaand zipo hivi na hivi.
Firmino naona ni rahisi kupata kama akihitaji kwa vile dogo hua hana makuu hata ya dakika uwajani hanuni asipopangwa wala sub na pia hata mshahara wake sio ishu kubwa kwa £180k,wakimpa miaka 2 inamtosha.
YNWA
Ki ukweli FSG sio kwamba hawataki Salah, Mane, Firmino wabakie Anfield mbali ile policy yao ya sell to buy ndio inawabana. Ukumbuke Klopp katua 2015 na mpaka sasa ana EPL moja tu haswa kutokana na ufinyu wa kikosi alichokua nacho angalau sasa ana depth kiasi bila Mane, Salah tuna uwezo wa kushinda mechi, sasa Klopp hakuja Anfield kusidikiza Kipara Pep awe anachukua EPL kama anavyofanya. Hivyo lengo kuu ni kua na kundi la wachezaji watakaocheza kama ambavyo mwalimu anataka Salah na Mane ni mfano bora kabisa kwamba Klopp ni mwalimu haswa walikuja hapa wakiwa hawana majina na stat za kimataifa lakini ndani ya miaka mitano sasa almost wamewekwa kwenye ramani ya mpira katika levo za juu. Hivyo ni hasara kwa klabu pia kuwaachia wakiwa bado wana mengi sana ya kuleta Liverpool kuanzia magoli, ma assist nkJamaa wapo kibiashara sana, ila kumuachia Salah au mane haitopendeza.
Dah! Laptop siinakula Sana bundle?Me natumia kama web naangalia kwenye laptop.
Laptop mkuu si inakula Sana bundle?Me natumia kama web naangalia kwenye laptop.
Huyo unaye muongelea huwa anaangalia mprira kwakutumia sofascore [emoji23][emoji23]Olachuga akisoma hii atapata 'hati ataki' mkuu hebu punguza makali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mfunua pichu za wadada huyo [emoji2]Eti haangalii mpira.
Mwanaume mzima afu haangalii mpira,,sijui anaangalia nini sasa!
Dunia ina maajabu hii mkuu.
Dah! Laptop siinakula Sana bundle?
Dah! Ngoja na mimi niwe natumia pc maana nisipo jiunga kifurushi kikubwa DSTV huwa natumia sim.Hapana mkuu,nilijiunga gb 1.5 nimeangalia mechi yote na bado haikuisha.
Mkuu Laptop/PC haili sana bundle, utofauti wake na simu ni kidogo sana, kitu kinacho matter in quality ya streaming link ikiwa HD basi itakula bundle sana na ikiwa SD basi itakula kidogo. Mfano binafsi ikitokea nimetumia Laptop kuangalia game kwa link ya SD basi kwa 90 minutes zote sitotumia zaidi ya 500MB ila kwa link za HD huwa inafika hadi 800MB.Dah! Ngoja na mimi niwe natumia pc maana nisipo jiunga kifurushi kikubwa DSTV huwa natumia sim.
Mkuu cheki settings za Pc yako mfano kama umeruhusu automatic updates baasi hapo bando huwa linaliwa sana maana drivers zinakuwa zinajirun na kutumua bando kuweka mambo yake sawa na System kiujumla .Dah! Laptop siinakula Sana bundle?
mpira wa maneno ndio unakujaga kuwaponza.Kwani Leo tulikubaliana tunaamka sangapi???
Ahahhhhhhh guys najua mko na furaha mob..
IPO hivi kama tukishinda mechi zetu zote zilizobaki tayari n mabingwa EPL hahhhahhh it sound good..
Tujiandae kusherekea ubingwa wa 20 wa EPL Na kurudi kwenye ufalme wetu tulioporwa na NyumBu kimiujiza..
Sherehe zitaanza jumapili hii tr 27 pale mjini Wembley ambapo Chelsea atalia kilio cha mbwa mwizi baada ya hapo tunampiga Norwich kwenye FA ili tuzidi kuikalibia faninali Go Milani chaali. Ahahahahahah.. Hawana hamu tena na majogoo ya jiji imebaki kukamilisha tu ratiba, bahati mbaya watakuja kumalizia ratiba yao Anflied teh teh teh teh....
Hiyo UEFA nazani tutacheza na Bayern au PSG final hahahhahahhh raha sana.. Mwaka wetu ni huu.
munaanza kuwa kama mashabiki wa manure, mukishinda tumechi tuwili tutatu basi munaanza kutangaza na ubingwa😂😂😂😂Olachuga akisoma hii atapata 'hati ataki' mkuu hebu punguza makali. 😂😂😂
nyie subiri jumapili ndio mutajua hamujui ..Unampiga leeds mchovu ndio unajiona una kikosi cha kubeba kombe mbele yetu.?!Tupo na jamaa yangu wa Kaskazini OllaChuga Oc hahaha yaaani atajua hajui.
Itakua gemu powa sana kocha wao kashakua mtalaam wa fainali.
Bila Kovacic pale kati watapwaya maana dogo ni bonge la MF akisimama na Kante hua wanatuvuruga sana.
Itakua vita ya German vs German.
YNWA
aah wapi wewe ..Raha ya mpira ucheki live score bwana ..Sometime live hainogi😂😂😂Huyo unaye muongelea huwa anaangalia mprira kwakutumia sofascore [emoji23][emoji23]
Hakika dakika 90+ zitaamua ama ikiwa mpaka dakika 120 tupo tayari..nyie subiri jumapili ndio mutajua hamujui ..Unampiga leeds mchovu ndio unajiona una kikosi cha kubeba kombe mbele yetu.?!
#CFC💙💙💙
Sawasawa uzuri hatuna maneno mingi....munaanza kuwa kama mashabiki wa manure, mukishinda tumechi tuwili tutatu basi munaanza kutangaza na ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri jumapili tuwanyonyoe kwa chupa nyie kuku.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hamna mtu ambaye huwa ananifurahisha kama ww.aah wapi wewe ..Raha ya mpira ucheki live score bwana ..Sometime live hainogi[emoji23][emoji23][emoji23]