Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Mnooo
Waambie hao watu hii Liverpool inakupa raha balaa na pale dogo Matip ametupia na goli ndio rahaaa.Yaani Matip jamani😍😍😍😍😍😍
Ngoja niangalie hapa,nitapagawa mbele za watu
Zege halilaliGame after game
Kuna mmoja ameshangaa nacheka mwenyewe situlii,ikabidi aangalie kinachonichekesha.Waambie hao watu hii Liverpool inakupa raha balaa na pale dogo Matip ametupia na goli ndio rahaaa.
YNWA
Tupo na jamaa yangu wa Kaskazini OllaChuga Oc hahaha yaaani atajua hajui.Ndio tunacheza na Chelsea eeh?
Na Henderson yupo??
Ebu msajili bhana ajiunge na Majogoo wa jiji apate burudani za kutosha.Kuna mmoja ameshangaa nacheka mwenyewe situlii,ikabidi aangalie kinachonichekesha.
Nikamuonyesha namna mwamba ametupia goli🙌🙌🙌🙌
Mimi naamini katika kloppTupo na jamaa yangu wa Kaskazini OllaChuga Oc hahaha yaaani atajua hajui.
Itakua gemu powa sana kocha wao kashakua mtalaam wa fainali.
Bila Kovacic pale kati watapwaya maana dogo ni bonge la MF akisimama na Kante hua wanatuvuruga sana.
Itakua vita ya German vs German.
YNWA
Eti haangalii mpira.Ebu msajili bhana ajiunge na Majogoo wa jiji apate burudani za kutosha.
YNWA
Hahaha jamani hobby, burudani zipo nyingi kama haangalii kazi kwako kumsajili hahaha.Eti haangalii mpira.
Mwanaume mzima afu haangalii mpira,,sijui anaangalia nini sasa!
Dunia ina maajabu hii mkuu.
Mwanaume mzima hana hobby na mpira????Hahaha jamani hobby, burudani zipo nyingi kama haangalii kazi kwako kumsajili hahaha.
YNWA
Tutakwenda sawa nao. Msimu huu tushakutana mara 2 na tukagawana pointi sasa hii ya Jumapili lazima apatikane mshindi.Mimi naamini katika klopp
Wacha tuone..
Am sure tutawavuruga tu hivyohivyo hata kwa mbinde
😂😂😂😂Wapo wengiii sana. Wengine wao wanapenda za Bongo yaaani ma juu wala humuoni kufuatilia burudani wanazotoa akina Mane na Salah.Mwanaume mzima hana hobby na mpira????
This is unfair🤣🤣🤣
Yaani wanaenda kinyume😂😂😂😂Wapo wengiii sana. Wengine wao wanapenda za Bongo yaaani ma juu wala humuoni kufuatilia burudani wanazotoa akina Mane na Salah.
YNWA
FSG wanasubir niniUmeona. Yaaani ukiwa na kikosi kipana hakuna mchezaji anaetaka asugue benchi ile false 9 kaicheza vizuri sana.
Jana Mane alicheza vizuri sana. Yeye na Diaz walikua wanazunguka uwanja kusaidia timu. Ki ukweli Mane tangu atoke Afcon na kombe lake naona limempa push fulani kuongeza bidiii.
Kwa uchezaji huu wa Mane, Salah, Diaz hata pengo la Jota magoli au Firmino halipo tena,tupo vizuri.
Jana Diaz na Mane walifanya recovery ya mpira mara nyingi sana. Hii ndio team yako tunayohitaji.
YNWA
Milner huyu nadhan akiwa leeds
Swadata miaka hiooo ya 2002 mpaka 2004 vile.Milner huyu nadhan akiwa leeds
Mkuu tuna wamiliki wachumi balaa. Amini usiamini huu ununuzi wa Diaz unamengi sana nyuma ya pazia aisee. Usije shangaa Salah, Mane wakanyimwa nyongeza ya mikataba yao ama ukaona Mane amepewa mkataba mpya na pengine wamlipe £180 au £200 kwa wiki na waongeze miaka miwili ina maana mpaka 2025.FSG wanasubir nini
Mpe Mane mkataba mpya
Mpe Salah mkataba mpya
Mpe Bobby kamakataba ka muda mfupi.