King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Ukiwa na washambuliaji clinical kama Son, Kane na Moura na Kocha asiyependa back passes na anayejua umuhimu wa counter attack kama Conte Manshit hawaponi kabisaHawa Spurs sijui wanawaoteaga wapi Man City Manake toka enzi za Poch huwa wanafanikiwa kuwafunga.
Chelsea wanakelele kama madebe matupuWewe umeona goli la Mane but ile assist aliyopiga Alisson kwa Salah angepiga Mendy mashabiki wa Chelsea wangishinda hapa wiki Nzima kusema Mende wao kapiga assist ya sayari ya Mars.
Bwana wee kwa sasa tuwaombee dua wabaki wazima maana mechi ni nyingi sana na muda mchache sana uliobakia. Tupo Carabao, tupo FA, tupo Champions League, tupo EPL na sasa tumepata sababu zaidi kupambana mpaka kieleweke.Yeye na Fabinho tunawahitaji kwa mechi zote zilizobakia kwenye Msimu huu.
VVD kuna mechi ya EPL hajacheza kweli?Bwana wee kwa sasa tuwaombee dua wabaki wazima maana mechi ni nyingi sana na muda mchache sana uliobakia. Tupo Carabao, tupo FA, tupo Champions League, tupo EPL na sasa tumepata sababu zaidi kupambana mpaka kieleweke.
Allison, VVD, Fabinho, Thiago hawa kwangu ndio nguzo kuu kupata mafanikio msimu huu. Thiago ni key wa stabilise pale kati, VVD ni key wa ku stabilise pale nyuma.
YNWA
Huyo jamaa ni nouma kuhusiana na liverpool....We jamaa unaijua Liverpool kama kocha msaidizi vile
Aisee ile assist ya Allison mpaka nilibaki nacheka mwenyewe maana sikuwa namsikiliza mtu akiniambia chochote.Wewe umeona goli la Mane but ile assist aliyopiga Alisson kwa Salah angepiga Mendy mashabiki wa Chelsea wangishinda hapa wiki Nzima kusema Mende wao kapiga assist ya sayari ya Mars.
Kwan klopp alikuwa kwenye hii mechi? [emoji23][emoji23]
VVD kuna mechi ya EPL hajacheza kweli?
Elliot tumuweke kundi la akina Keita , Thiago, Fabinho , Ox , Jones na Le Captain sio?Mane, Salah, Diaz, Firmino, Jota hii ndiyo real Depth kwasababu akitumia yoyote mmoja kati ya hao hakuna anayelalamika tunatulia tu na tunajiamini kama hakuna kilichotokea.
Imagine hatuna Diogo Jota na tumetulia tu kama hatuna mchezaji anayeitwa Diogo Jota [emoji16][emoji16][emoji16]
Akuu huyo yumooo kila mechi aisee EPL.VVD kuna mechi ya EPL hajacheza kweli?
Kuna dogo yupo Spain pale Athletic Bilbao anaitwa INAKI WILLIAMS huyu dogo ni Mr Fit muda wote yaaani haumii kabisa tangu naanza kumfuatilia. Kuna kipindi Klopp alimtupia jicho ikawa jamaa wanataka bei ghali sana zaidi ya Β£70m Klopp hakumfuatilia tena.Vvd Huyo anacheza mechi zote,na salah pia anacheza mechi zote, hawaumii hao.
Timu zingine wachezaji wakutegemewa hawawezi kucheza mechi zote wanaumia.ndio maana tunawaambiaga wapinzani hamna wachezaji wakuwapa ubingwa.
Mkuu Lukaku niaje. Uzito wa jezi ama price tag imekua nzito kwake.Crazy game
Manshit vs Spurs
2-3
FT
Kane anafunga goli dk ya 90+5
Hii ina maana gani kwenu
Mkila kiporo vizuri diference ya pts itakuwa 3
63 -60
April manacheza na Manshit
Hadi ifike april nadhani difference itakuwa 0
Na huo mchezo wa April 9 itakuwa fainali
HONGERENI SANA
Wewe jamani ebu mtoe Captain hapo kwamba hujaona ile assist kali ya Le Captain πππππππ...Elliot tumuweke kundi la akina Keita , Thiago, Fabinho , Ox , Jones na Le Captain sio?