Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,528
- 235,273
Ewaaa liver baba lao..Hahaha Mkuu Liverpool ni class haha... Sababu ni nyingi pia wakati Ligi ya EPL inanaza kuonyeshwa bongo timu zilizokua kwenye fire ni Manchester United, Arsenal wakaja Chelsea baada ya Roman kutua...
Kwa sasa Mkuu tunajizolea mashabiki wengi tu baada ya kumpata Klopp.
Mashabiki wa Manchester United hata vibanda umiza walishakimbia maana hata Watford anajichapia tu tena nyingi tu.
Wa Arsenal bado wapo kwenye laiti track kujenga upya kikosi baada ya kosea kosea za madirisha kadhaa ya ununuzi..
Liverpool kwa sasa ni kama Bugatti hahaha envy of many..
View attachment 2115709
YNWA
Tuendelee sasa mkuu na zile nondo zetu,ulikuwa unanichambulia wachezaji.