Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acheni kujipongeza pongeza kama walevi walionunuliana k can't bar ....Kama mnaweza njooni huku juu kileleni wanaume tulipo ....
 
Upande wa Robbo na Diaz ulikua na amsha amsha kama vile wamecheza wote kwa msimu au misimu kadhaa.

Hii itamuamsha Mane.

Mane ni best player lakini ajiangalie sana mbele ya Luis Diaz atakuja kumueka Bench ashangae.
Tazama numbers za Diaz Crosses, Passes and Shots utaona yupo mbali sana na Mane.

Amuangalie Bobby alivyotupwa nje ya Fence na Jota.
 
Mane ni best player lakini ajiangalie sana mbele ya Luis Diaz atakuja kumueka Bench ashangae.
Tazama numbers za Diaz Crosses, Passes and Shots utaona yupo mbali sana na Mane.

Amuangalie Bobby alivyotupwa nje ya Fence na Jota.
Mkuu nilitegemea utasema Mane kwa sasa sio regular starter tena maana kwa huo mwendo wa Diaz aaah sioni Mane anatokea wapi, maybe kwa vile Klopp anamaakili yake.
 
Joel Matip vs Leicester

• 92/101 (91%) passes (1st in game)
• 2 chances created (2nd)
• 1 assist (1st)
• 119 touches (1st)
• 1/1 dribble
• 2/2 aerial duels
• 2/2 tackles
• 3 clearances (=1st for LFC)
• 3 interceptions (2nd for LFC)

What a performance [emoji122]

Huyu jamaa tulimpata bure.
Tunasubiri goli lake lile la ku'dribble
Matip Jana alikua superb sana
 
Adjustments.jpg
 
Screenshot_20220211_091759_com.android.chrome_edit_191225154227069.jpg


Huyu akishajua rhythm ya timu atakua balaa...VVD anasema ilimchukua miezi 6 kujua kucheza the Liverpool way chini ya mwamba Klopp.

Kwanza ajue kingereza ili aweze kuongea powa na wachezaji wenzie..

Diaz ni natural talent na itakua kweli akiwa Porto kama alivyosema alikua anaangalia mechi za Liverpool maana sio kwa moto ule aisee..

YNWA
 
Screenshot_20220211_092253_com.android.chrome_edit_191317410748930.jpg

Wooow huyu mwamba ni habari nyingine..

Ki ukweli ili tushinde makombe msimu huu lazima huyu dogo abakie ni mzima wa afya..

Anavyosoma mpira especially tukishambuliwa na especially kumsaidia Matip ambae jana mara kama 3 hivi alikua out of pace out position is just top level instinct by Fabinho..

Fabinho na Allison ndio kete ya ushindi wa makombe msimu huu.

YNWA
 
Screenshot_20220211_092355_com.android.chrome_edit_191343898285384.jpg


Diaz naona match day yupo jirani na Milner.

Milner anaongea ki Spanish powa kabisa hivyo ana jukumu la kumkaribisha dogo ajisikie yupo nyumbani kabisa na hakika performance ya jana imetuma ujumbe hajaja kua benchi warmer huyu... Mane Mane watch this space.

Street football kid. Design kama Bobby enzi hizooo. Mishe kama zote.

Ile jezi 23 hua sio ya masihara kabisa ni ya ma legends Carragher, Fowler, Shaqir, Emre Chan.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom