Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,275
Kama wewe tu ulivyonisusaBabe umensusa
Kama wewe tu ulivyonisusaBabe umensusa
Ile 1st half dakika za mwisho ,kuna kampira wamecheza liverpool yaani🥰aawww nikajikuta nafuraaahi.Liverpool Inacheza Mpira Mtamu Nyiee.
Usiwachukulie powa wale wa Brazil wewe haya.Subiri tumalizane Kwanza na CWC halafu turudi kuchukua nafasi yetu pendwa. Kwa Sasa endelea kutamba tu😀😀
CFC💙💙💙
Hivi huyo wife anazijua kweli mechi za liver zilivyo za kibabe?Unataka nilazwe Sebuleni? 😂😂
Aisee yaani maHb halafu na mpira wanajua..Hahaha Matip wako naona namba kashaimiliki mazima sasa.... Julian anazidi kukuvuta zaidi kuwatazama ma HB wako wakifanya yaoo...
Asante Mkuu. Pamoja sana. Am humbled.
YNWA
Ewaaa
Duuh sikumbuki tukipigwa nyumbani na ugenini.Hii mechi tusingekuwa kuwa full mkoko wangetupiga tena maana walikuwa wagumu.
Mkuu nikumbushe timu ambayo ilitufunga nje ndani hapo kwenye Epl kwa hivi karibuni.
Hata Leo nilikuwa najua tu tutashinda maana hatufungwagi mara mbili kwenye ligi sisi yaani tufungwe nyumbani na ugenini?.
Westham na wenyewe tutawafanya kitu mbaya pale anfield maana atufungwagi nyumbani na ugenini.
Huyu dogo nampenda jamani.View attachment 2115618
The creator second only to KDB the great.
Since TAA made his debut ametengeza nafasi 150 za kufunga magoli akiwa nafasi ya pili EPL wa kwanza akiwa KDB.
Whats a boy.
YNWA
Hahaha unaangalia mpira safi vijana safi aaa Anfield ndio nyumbani kabisaa..Aisee yaani maHb halafu na mpira wanajua..
Hapo sijamtaja Fabinho,,huku VVD ,
Kajota nako kahb kiaina🥰
Mungu wetu fundi sana jamani🥰
YNWA
Kila kitu safi yaaniHahaha unaangalia mpira safi vijana safi aaa Anfield ndio nyumbani kabisaa..
YNWA
Na umri wake sasa miaka 23 imagine ina miaka mingiiii sana kutuletea hii burudani yaaaaani...Huyu dogo nampenda jamani.
Ila kanajua kulenga kona haka🔥
Hahaha kushabikia Liverpool raha soka safi na ma HB wako kibao...Kila kitu safi yaani
Napata zangu raha tu.
Leo ngoja nimalizie 2nd Half aisee🥰🥰🥰
Umri unamruhusuNa umri wake sasa miaka 23 imagine ina miaka mingiiii sana kutuletea hii burudani yaaaaani...
Huyu TAA nina uhakika atavuja rekodi za Daniel Alves creator in chief haha
YNWA
Halafu eti kuna watu hawaishabikii liver ila wapo timu za ajabu ajabu kama man u.Hahaha kushabikia Liverpool raha soka safi na ma HB wako kibao...
YNWA
Football is a game of numbers bro... At some cases we forego the stat like for Henderson but for the front guys numbers do matter, either score create, win ball higher up the pitch nk....Aside from numbers(Jota in this case) that Joao is something else though
Hahaha Mkuu Liverpool ni class haha... Sababu ni nyingi pia wakati Ligi ya EPL inanaza kuonyeshwa bongo timu zilizokua kwenye fire ni Manchester United, Arsenal wakaja Chelsea baada ya Roman kutua...Halafu eti kuna watu hawaishabikii liver ila wapo timu za ajabu ajabu kama man u.
Au huoni kama umenisusa!
Mkuu hii imekaa powa sana yaaani sasa angalau depth inaanza kuonekana...Mane ni best player lakini ajiangalie sana mbele ya Luis Diaz atakuja kumueka Bench ashangae.
Tazama numbers za Diaz Crosses, Passes and Shots utaona yupo mbali sana na Mane.
Amuangalie Bobby alivyotupwa nje ya Fence na Jota.