Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,273
Afadhali tuHendo Le Captain hata benchi simuoni [emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]
Afadhali tuHendo Le Captain hata benchi simuoni [emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]
Wacha nicheck mechi sasa
Afadhali tu
Tuchel ndani ya mwaka mmoja ameingia fainal tano.
Ma champion tuko final uko arabuni Muna taarifa?
🤣Kumbe na wewe unamjua
Mpira haupenyi kabisa golini😒Hii game ni ngum aisee
Jamaa wanabana balaa, ila Jota kafanya yakeMpira haupenyi kabisa golini[emoji19]
Naumwa jinoMarahaba mama mchungaji
Hongera kwa gori moja
uko poa lkn?
Ahsante mama mchungaji,Naumwa jino
Napooza maumivu na mechi
Nimekumiss.
Nitakuwa kibogoyo😂Ahsante mama mchungaji,
Nimekumiss pia,
pole sana kwa maumivu ya jino, dawa ya jino ni kuling'oa