Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,273
Ila Matip huwa ananikosha namna anamove na mpira,,mbio za madaha kabisa.
Btw vijana wako vizuri aisee.
Btw vijana wako vizuri aisee.
Wakuu mwenye link ya kuweza kucheki hii game online naomba.
Tumia hii App mkuu iko vizuriWakuu mwenye link ya kuweza kucheki hii game online naomba.
Apo unapata mechi zote za leo chaguo ni lako wwWakuu mwenye link ya kuweza kucheki hii game online naomba.
Aisee kwa mara ya kwanza benchi limesheheni wachezaji wa kubadili matokeo muda wowote wakipata nafasi.Dah! Very health bench
Kikosi kimekaa ki ushindi leo, tunakemea pepo la majeruhi lipiteeeee huko mbaliiiii sana na hii timu...itapendeza kuanzia sasa mpaka mwisho wa msimu tukaedelea na benchi kama la leo...An absolute Winning lineup Bravo our Gaffer
[emoji106]
[emoji106]Apo unapata mechi zote za leo chaguo ni lako ww
Kwahiyo kuanzia sasa tunakikosi kipana? [emoji1787][emoji1787]Kikosi kimekaa ki ushindi leo, tunakemea pepo la majeruhi lipiteeeee huko mbaliiiii sana na hii timu...itapendeza kuanzia sasa mpaka mwisho wa msimu tukaedelea na benchi kama la leo...
YNWA
Tangia ubadilishe jina na wewe umekuwa mgeni humu [emoji3].
Kwa mazingira tuliyopitia kuwakosa Keita, King Mane na King Salah Afcon, Thiago majeruhi, Gomez majeruhi, Elliott majeruhi na sasa mdogo mdogo wameanza kurejea katika ubora wao niseme kikosi ni kipana ndugu Grau....Kwahiyo kuanzia sasa tunakikosi kipana? [emoji1787][emoji1787]
Kabisa
😂😂😂😂😂😂Aisee msajili wife ashabikie Liverpool haha ili angalau mkwede sawaaaaa🙈🙈..Dah! Hizi ndoa hizi zinachangamoto zake Wife ananifanyiaga Tafrani mechi za usiku zinazoanza saa 4 mpaka nimeacha kuangalia.
Hapa nilipo nimo ndani ya Net na Kasimu kangu napambana na YACINE APP naibia tu kustream online wife kajikunjulia Shuka 😂😂😂
kwanini sasa anakukataza?Dah! Hizi ndoa hizi zinachangamoto zake Wife ananifanyiaga Tafrani mechi za usiku zinazoanza saa 4 mpaka nimeacha kuangalia.
Hapa nilipo nimo ndani ya Net na Kasimu kangu napambana na YACINE APP naibia tu kustream online wife kajikunjulia Shuka 😂😂😂
Hahaha kumkimbiza Kipara hakunaga utani...Kabisa
Hatuna utani.
Btw ,nikumiss sana mkuu.
😂😂😂😂😂😂Aisee msajili wife ashabikie Liverpool haha ili angalau mkwede sawaaaaa🙈🙈..
YNWA