Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,894
Msijikaushe man utd tunacheza leo
Mim siwezi fuatlia takataka ikiwa inachezaMsijikaushe man utd tunacheza leo
Keep watching ,this si football
Jana kapiga soka la kiwango cha juuuCoutinho yupo on fire sana pale villa park.
Sikuhizi napitwa na mambo mengi sana hapa
Dah, nshazoea la KING NGWABATangia ubadilishe jina na wewe umekuwa mgeni humu [emoji3].
Huyu ni King Ngwaba kama King Ngwaba.Dah, nshazoea la KING NGWABA
Dah! Very health bench
Dah! Very health bench
Tuna bigger squad now,Quality ndogo ya squad ilituumiza sana.Dah! Very health bench
Hendo Le Captain hata benchi simuoni [emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]Tuna bigger squad now,Quality ndogo ya squad ilituumiza sana.