Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Yeah mkataba wake ndio unaisha lakini sio bure kwa vile wamemkuza wenyewe wapo entitled kupewa mkono wa asante.. Makumbaliano ilikua walipwe £5m plus adds on ingefikia around £8m na Fulham walishakumbalina na dogo pia alishakumbali na ili kuweka mambo sawa Liverpool wakawapa dogo Neco Williams kwa mkopo ili ku seti mambo ya kumnasa Carvalho...

Ni suala la muda.

Japo hatupo peke yetu wapo pia Barcelona, Dortmond, Sevila, Manchester United, Tottenham Nk wanamnyemelea kimya kimya

YNWA
Fabio is an exceptional talent.

Initially, Fulham wanted 5m kwasababu atakuwa free this summer, na hawataki kuingia kwenye tribunal kama ilivyokuwa kwa Elliot, nadhani maendeleo ya Elliot now yamefanya wajione walifanya deal mbovu, sasa sisi wenyewe ndiyo tulizingua, kama tungebid £5m tangu mwanzo wa transfer window, Fulham wasingeleta ugumu, na it was clear kuwa tulikuwa tunajiandaa kumpata through tribunal fee kwenye summer transfer window, but Klopp decided to act now baada ya Dortmund kuonesha strong interest, na Dortmund huwa hawa-miss kwenye ku-coup young talents (Sancho, Jude etc), so we decided to place a bid in a panic mode, Fulham knew na wakaamua ku-raise fee mpaka £10m, ambapo hatukuwa na jinsi zaidi ya kukubali in the end, but kwa bahati mbaya tulikuwa tumechelewa kwenye paperworks, i think Julian Ward alifikiri kwenye Championship kuna room ya kuomba extension ya muda kwenye ku-finalize deal, but unfortunately request yetu ikapigwa chini as it doesnt work kwenye championship.

Why Klopp anatoa £10m kwa young kid from Championship ambaye atakuwa free in the summer? well, Fabio is under 24, and sheria za England (sijajua kwingine), zinasema mchezaji ambaye ni under 24 akimaliza mkataba wake na club iliyokuwa ina-mmiliki itatakiwa kupewa compensation fee ya kum-develop, sasa kama kama Club mpya itakayomsajili itashindwa kufikia makubaliano ya compesantion fee na club ya awali, ndiyo issue inaenda tribunal ambapo commission itaamua yenyewe compensation fee, kwenye issue ya Elliot fulham wantex £8m, we refused to badge na issue ikaenda tribunal, sasa scenario ni tofauti, Fabio kwa bahati mbaya amevutia macho ya clubs nyingi sana, especially Dortmund, na hatujui mpaka summer itakuwaje, sasa kwa Dortmund ni rahisi kwasababu ni foreign club and he can move there for FREE, wakati in England kama tusipokubaliana fee na Fulham tutaenda tribunal, which itakuwa a waste of time, kwasababu Fabio reps wont want that, Fulham wont want that and even us hatutaka kupoteza muda kwenye tribunal, then you have Dortmund ambao wanaweza kum-sign for free kabisa, and they can use Jude development at Dortmund, then can show him how much Sancho is earning at Utd baada ya wao kum-develop, so you dont want that kind of competition, thats why we gave in na kubid £10m, na deal haijacollapse, ni kwamba paper-works hazikutoka on time, because we left it too late, plan now ni kuwapa Fulham £10m, ili kusiwe na tribunal process, sign a pre-agreement deal with Fabio, and wait until summer to complete the remaining touches, but everything is under control.
 
So, Mane, baada ya msimu huu atakuwa amebakiza msimu mmoja at LFC, na mpaka sasa hakuna new talks za mkataba mpya.

What are FSG plans? sell him in the summer au kumuacha Mane a-run down his contract?

Kama FSG wakimu-offer Mane a new contract watamuhakikishia minutes za kutosha in the future? especially now understudy wake (Luis Diaz) amesajiliwa? Mane ni aina ya wachezaji ambao wanaamini katika minutes za kutosha, kum-bench Mane lazima uwe na sababu za msingi sana, but we cant lie to ourselves now, LUIS DIAZ ni Mane replacement, i dont know how klopp atafanya, but its clear now, Luis Diaz will replace Mane when he eventually leaves, you see Jota now ni starter over Firmino, so things are starting to shape themselves, so it depends Diaz atatumia muda gani kum-dethrone Mane, personally naombea Mane, Firmino, Salah wote wapate new contracts, well it seems Salah ndiyo main priority now, but it wont be bad kama Mane na Firmino wakipata 2 years-contract each, having Salah, Mane, Firmino, Jota, Diaz as your attacking options is breathtaking, but we both know FSG, na pia Mane ana big ego, hatakubali kuwa benched na Diaz at any point of his LFC career, ni sticky situation but as a coach lazima upende kuwa na aina hii ya headache, Pep Guardiola ana depth kubwa sana kwenye attack, wachezaji wote kwenye attack yake can be considered kama undroppable kwenye team zingine, so for the next two seasons za mwisho za Klopp haitakuwa mbaya kama akipatiwa hii depth (Salah, Mane, Jota, Diaz, Firmino), he deserves it.

Ngoja tuone how it will unfold, naona jana Mane kaanza jokes za kukubali move ya Marseille, yes i know he supports them as a fan, but the timing is alarming, ukichukulia hakuna talks za new contract, and FSG tunaowajua hawawezi kutoa more than £40m kwa Luis Diaz bila kuwa na plans za ku-refund hiyo pesa, na nahisi summer kutakuwa na suprises.

Now, i know FSG wanaleta kiburi kwenye mazungumzo ya mkataba mpya wa Salah, because Clubs ambazo Salah angewish kwenda (Madrid, Barca & maybe Bayern), are either struggling financially, or wont pay £100m for a 30 year-old, Madrid wants Mbappe, he will be free but he will cost a lot kwenye wages, Barcelona are out of the picture and i dont think Bayern are interested, and i dont think Salah will fancy a serie A move, maybe PSG, i dont know.

But, you know, Laporta (Barcelona president), tried to be clever, he wanted Messi kupunguza mshahara wake zaidi ya ule aliokubali kupunguza, and he thought angekubali kama kusingekuwa na team nyingine yeyote inayomuhitaji, at that time ni Man City tu ndiyo walikuwa na strong interest, but Laporta manipulated the spanish media and most of all the Messi camp kuonesha kuwa everything is under-control, so Man City decided to walk away and signed Grealish for £100m, few hours after it was reported kuwa City wame-agree deal na Grealish for a recording breaking fee, na ambaye anacheza the same role kama ya Messi, laporta called Messi father na kumwambia kuwa they cant register Messi wages, the news broke out, Laporta thought ameshinda vita na anambakiza Messi at Barcelona despite matatizo makubwa ya kiuchumi Barcelona, because hana option na kum-sign Messi unasign the whole PACKAGE, then out of nowhere PSG called.

So, FSG can act smart kwenye hii deal ya Salah, but ishu inaweza kuturn-out kuwa bitter, hasa kwa upande wa Club, we cant lose Salah now, especially if you want to let Mane & Firmino run down their contracts or God forbidding, sell one of them in the summer.
 
Whats ua take World Cup Qualifier [emoji1211] vs [emoji1093]... On 23rd and 29th March 2022.

Am going with Senegal [emoji1211].

YNWA
I think Senegal will beat Egypt.

Egypt are just not good now.

I think Senegal are a good structured team, they have a good spine (Mendy-Kaldou-Gueye-Mane), atleast wanaweza ku-offer competition kwenye World Cup.
 
MF DEPTH.

Fabinho, Thiago, Elliot, Keita, Henderson, Ox, Jones, Milner and (Fabio).

Good on paper, as kuna four talented MFs kwenye whole setup (Fabinho, Thiago, Elliot, Keita)

BUT, Thiago & Keita are injury prones, so kwenye our 4 bach of talented MFs we have 2 reliable MFs (Fabinho & Elliot)

Oxlade is a very good squad player, he can be our new Milner, a very versatile player, he can pay as a CM, LW/RW, RB, WB, so its so good to have him in the squad, we cant sell him.

Jones, needs a LOAN.

Henderson, should be a bench player going forward, he cant be a starter now, and lets not lie to ourselves anymore, Henderso is not the same player anymore even for his own standards, his pace has gone, his physical aspects of the game vimepotea, he's costing us games after games, goal lile la Lookman zidi ya Leicester was on him, goal la Pulisic dhidi ya Chelsea was on him, and simply because he cant track his runners, you watch Henderson of 2014/15 na unaona kabisa traits zake zote muhimu alizokuwa anategemea hazipo now, he cant play as RCM anymore, he offers no protection kwa his RB and no attacking ounce to his RW or the entire attacking force, and now akipoteza mipira kwenye dangerous areas anashindwa kabisa ku-retreave kwasabu pace yake imeenda na maji, Henderson anajulikana kwa ku-lack holp up play, so pace yake ilikuwa inamsaidia sana kwenye pressing na ku-recover second balls, but now hana traits zote hizo, so kwa aspect hiyo anatakiwa awe ana-sit in the middle, au kucheza kama second feeder kwa Fabinho, ili ku-limit his movements, maana akicheza kama RCM ni lazima apande ili ku-impact our attacks, sasa shida inakuja akipoteza mipira, kui-recover inakuwa ishu, na pia akipanda anamuacha Trent akiwa vulnarable kabisa, wakati he needs to balance going forward, tracking runners, setting high line press na kudefend the half spaces from the right flanks, and its not even a tougj job because you Fabinho, Thiago/Keita in the middle, who can recycle possession at their own will, jana mmeona impact ya Elliot at RCM, but people will still want Henderson to start over him kwasababu ni senior na captain hata kama performance yake imekuwa mbovu msimu huu.

Milner, a good pro, a good human being, mkataba wake ukiisha napenda abakie at LFC kwenye bench la ufundi, but kama atataka kurudi Leeds Utd, then i wish him all the best.

Having said that, we need a new established CM, someone who can play as 6/8 (Tchouaméni, Jude & Bissouma), we need an injury-free CM, ambaye atakuwa anacover void ya Thiago & Keita wakiwa out, i mean najua kuwa Fabinho, Thiago & Elliot ndiyo itakuwa our starting MF soon, but Thiago cant last a month or 2, na keita ambaye anaweza kucheza role ya Thiago nae ana matatizo ya injury, so ikitokea siku Both Thiago/Keita wasipokuwepo tuwe na strong CM ambaye anaweza kucover roles zao vizuri, na hata kama Fabinho asipokuwepo wawepo watu wenye uwezo kama wake wa ku-cover his role.

I dont think we need any addition kwenye our backline, maybe kama Matip/Gomez wakitaka kuondoka, and i know Gomez is not happy right now, but i see him and Konate in our future plans, hope he stays, dont know kwa upande wa Trent backup, but i think Klopp ana hope kubwa sana kwa Bradley, Neco situation is tricky, anaweza kuomba kuondoka in the summer.

So we need Fabio and another CM in the summer kwenye eneo la MF.
 
Fabio is an exceptional talent.

Initially, Fulham wanted 5m kwasababu atakuwa free this summer, na hawataki kuingia kwenye tribunal kama ilivyokuwa kwa Elliot, nadhani maendeleo ya Elliot now yamefanya wajione walifanya deal mbovu, sasa sisi wenyewe ndiyo tulizingua, kama tungebid £5m tangu mwanzo wa transfer window, Fulham wasingeleta ugumu, na it was clear kuwa tulikuwa tunajiandaa kumpata through tribunal fee kwenye summer transfer window, but Klopp decided to act now baada ya Dortmund kuonesha strong interest, na Dortmund huwa hawa-miss kwenye ku-coup young talents (Sancho, Jude etc), so we decided to place a bid in a panic mode, Fulham knew na wakaamua ku-raise fee mpaka £10m, ambapo hatukuwa na jinsi zaidi ya kukubali in the end, but kwa bahati mbaya tulikuwa tumechelewa kwenye paperworks, i think Julian Ward alifikiri kwenye Championship kuna room ya kuomba extension ya muda kwenye ku-finalize deal, but unfortunately request yetu ikapigwa chini as it doesnt work kwenye championship.

Why Klopp anatoa £10m kwa young kid from Championship ambaye atakuwa free in the summer? well, Fabio is under 24, and sheria za England (sijajua kwingine), zinasema mchezaji ambaye ni under 24 akimaliza mkataba wake na club iliyokuwa ina-mmiliki itatakiwa kupewa compensation fee ya kum-develop, sasa kama kama Club mpya itakayomsajili itashindwa kufikia makubaliano ya compesantion fee na club ya awali, ndiyo issue inaenda tribunal ambapo commission itaamua yenyewe compensation fee, kwenye issue ya Elliot fulham wantex £8m, we refused to badge na issue ikaenda tribunal, sasa scenario ni tofauti, Fabio kwa bahati mbaya amevutia macho ya clubs nyingi sana, especially Dortmund, na hatujui mpaka summer itakuwaje, sasa kwa Dortmund ni rahisi kwasababu ni foreign club and he can move there for FREE, wakati in England kama tusipokubaliana fee na Fulham tutaenda tribunal, which itakuwa a waste of time, kwasababu Fabio reps wont want that, Fulham wont want that and even us hatutaka kupoteza muda kwenye tribunal, then you have Dortmund ambao wanaweza kum-sign for free kabisa, and they can use Jude development at Dortmund, then can show him how much Sancho is earning at Utd baada ya wao kum-develop, so you dont want that kind of competition, thats why we gave in na kubid £10m, na deal haijacollapse, ni kwamba paper-works hazikutoka on time, because we left it too late, plan now ni kuwapa Fulham £10m, ili kusiwe na tribunal process, sign a pre-agreement deal with Fabio, and wait until summer to complete the remaining touches, but everything is under control.
Dortmond is bad news man. Their development for this kids is just another level maana they have the evidence to back its up kuanzia Dembele, Sancho, Haaland, Jude nk. There is no way we can win against this Germans maana watamwambia give us 2 years we make you a star and all the big teams will be after you earning crazy wages tazama Sancho Manchester United boy is being paid more than any player in our team haha he pockets £350k in a week and cost over £60m to sign and boy still 21 yrs old.

Pona yetu hapa ni kumnasa dogo with pre agreements contract which is allowed aafu Juni asaini mazima..

Tribunal hua pasua and its leaves bad blood between the teams involved.. Its was written mwanzoni its like Fulham didn't want us to get Fabio due to Elliott saga how its unfolded Fulham hawakufurahishwa so its like walitaka wamkose wao na pia sisi tumkose aisee but seems wakala wake Mendes has some good contacts Liverpool hivyo at last they had to listen and it's was in the best interest tuwalipe any amounts above £5m was good business for them.

On the bright side we are so in the race and we are favourites mpaka sasa kumnasa. Dogo playing as a 10 or 8 will dope man and its still 19years haha.. Klopp rebuilding take shape. Signed Konate, signed Jota, signed Diaz, 'signed' Fabio.. All of them with loads of years ahead wakiwa kwenye peak ki ufupi on Klopp revolution we are on the right track man. At least hata sasa we can tuna a bit depth ya kikosi kwamba bila Mane na Salah we are scoring and earning points huu ni mwanzo mzuri japo bado but so far so good.

YNWA
 
MF DEPTH.

Fabinho, Thiago, Elliot, Keita, Henderson, Ox, Jones, Milner and (Fabio).

Good on paper, as kuna four talented MFs kwenye whole setup (Fabinho, Thiago, Elliot, Keita)

BUT, Thiago & Keita are injury prones, so kwenye our 4 bach of talented MFs we have 2 reliable MFs (Fabinho & Elliot)

Oxlade is a very good squad player, he can be our new Milner, a very versatile player, he can pay as a CM, LW/RW, RB, WB, so its so good to have him in the squad, we cant sell him.

Jones, needs a LOAN.

Henderson, should be a bench player going forward, he cant be a starter now, and lets not lie to ourselves anymore, Henderso is not the same player anymore even for his own standards, his pace has gone, his physical aspects of the game vimepotea, he's costing us games after games, goal lile la Lookman zidi ya Leicester was on him, goal la Pulisic dhidi ya Chelsea was on him, and simply because he cant track his runners, you watch Henderson of 2014/15 na unaona kabisa traits zake zote muhimu alizokuwa anategemea hazipo now, he cant play as RCM anymore, he offers no protection kwa his RB and no attacking ounce to his RW or the entire attacking force, and now akipoteza mipira kwenye dangerous areas anashindwa kabisa ku-retreave kwasabu pace yake imeenda na maji, Henderson anajulikana kwa ku-lack holp up play, so pace yake ilikuwa inamsaidia sana kwenye pressing na ku-recover second balls, but now hana traits zote hizo, so kwa aspect hiyo anatakiwa awe ana-sit in the middle, au kucheza kama second feeder kwa Fabinho, ili ku-limit his movements, maana akicheza kama RCM ni lazima apande ili ku-impact our attacks, sasa shida inakuja akipoteza mipira, kui-recover inakuwa ishu, na pia akipanda anamuacha Trent akiwa vulnarable kabisa, wakati he needs to balance going forward, tracking runners, setting high line press na kudefend the half spaces from the right flanks, and its not even a tougj job because you Fabinho, Thiago/Keita in the middle, who can recycle possession at their own will, jana mmeona impact ya Elliot at RCM, but people will still want Henderson to start over him kwasababu ni senior na captain hata kama performance yake imekuwa mbovu msimu huu.

Milner, a good pro, a good human being, mkataba wake ukiisha napenda abakie at LFC kwenye bench la ufundi, but kama atataka kurudi Leeds Utd, then i wish him all the best.

Having said that, we need a new established CM, someone who can play as 6/8 (Tchouaméni, Jude & Bissouma), we need an injury-free CM, ambaye atakuwa anacover void ya Thiago & Keita wakiwa out, i mean najua kuwa Fabinho, Thiago & Elliot ndiyo itakuwa our starting MF soon, but Thiago cant last a month or 2, na keita ambaye anaweza kucheza role ya Thiago nae ana matatizo ya injury, so ikitokea siku Both Thiago/Keita wasipokuwepo tuwe na strong CM ambaye anaweza kucover roles zao vizuri, na hata kama Fabinho asipokuwepo wawepo watu wenye uwezo kama wake wa ku-cover his role.

I dont think we need any addition kwenye our backline, maybe kama Matip/Gomez wakitaka kuondoka, and i know Gomez is not happy right now, but i see him and Konate in our future plans, hope he stays, dont know kwa upande wa Trent backup, but i think Klopp ana hope kubwa sana kwa Bradley, Neco situation is tricky, anaweza kuomba kuondoka in the summer.

So we need Fabio and another CM in the summer kwenye eneo la MF.
Imagine Henderson is this bad and yet tunae mpaka 2025. Edwards and Klopp on this one they failed. Henderson is a shadow of himself. The current of Henderson performance is glimpse of what we are gonna see as days goes by. To me i see the problem is like he try to impress so much, instead of sticking to gaffers plan he try as much to be seen instead of just letting gaffers game plan take load. This season TAA leads on tackles, blocks nk ni kwa sababu he is being left on his own to do all the chores man wakati Henderson playing on right hand side supposed to support the boy and we are lucky TAA age inampa that will to do all that and still creates for Salah and crew to score.. To be honest huyu angekua tu sub kwa sasa period. But knowing Klopp we may have to wait sana kwa hilo.

Bissouma to me is ready made. Wont cost much more than £40m and comes loaded with EPL experience and boy is rarely injured. Age pia imekaa powa sana kwake. If not him then Neves wa Wolverhampton haha boy is good. Have seen tunatajwa kwa Kessie from Ac Milan but any day of the week i will take Bissouma. Hata Gerrard asked about the boy akaambiwa not January haha sio bure its because he has something man.

Jones endapo tutapata new CM basi he need a loan kwa kweli itamsaidia sana.

Gomes hana furaha as he has falled below Konate now on the pecking order that normal maana he wonna reclaim his starting line up but with Matip being this good sio akitoboa aisee...

MosDef man mbona kwa Keita mie nishasema he is finished man. Sioni he can turn his Liverpool career. So many injuries, loss of form, hana confidence yaaani i just feel for this baller. If RB can take him tuwape ela watupe Nkunku 🙈🙈 versatile player and still 24yrs kwangu naona itakua deal powa though in my dreams haha...

Milner already taking his coaching classes and what a human being. We are passed his output now maana unaona kabisa akiwa uwanjani moyo unataka mwili unagoma kabisa. Kabisa its been almost 7 years since he came. Great 7 years.

Am reading itakua a very bizy June 2022 for the club regarding players coming in and out. Seems the noises the social media has done us good with FSG reacting this way to back Klopp.

My dream MF will be Fabio Fabinho Bissouma or Elliott Fabinho Bissouma.

With only this two boys Fabio and Bissouma joining and we are sorted

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom