Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Nilipomuona yuko kwenye benchi nilitarajia anaweza kupata dakika 10-15 ili kumrekebisha na arudi kwenye ubora wake akapata mpira mara mbili na alionekana ana control nzuri na bao lilikuwa zuri. Pia alionekana kutoogopa na hakuonekana kuwa na wasiwasi wowote kuhusu kuuniza jeraha lake. Anyway tunafurahi karudi akiwa kwenye ubora wa huu.
Yeah leo dogo alikua jasiri ngumu kujua hata kama alikua amekaa miezi yote hii kwa daktari...

Amerudi wakati mwafaka sana maana mechi zipo nyingi EPL, UCL, FA, Carabao fainali tunahitaji kikosi kipana chenye quality Thiago, Elliott, Diaz imekaa powa sana.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom