Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Sijua tunakwama wapi wanatokasa balaaMbona hivi jamani tunasakwa na tochiiiii...
YNWA
Sijua tunakwama wapi wanatokasa balaaMbona hivi jamani tunasakwa na tochiiiii...
YNWA
Super tall matip[emoji7][emoji91]
Mbona hivi jamani tunasakwa na tochiiiii...
YNWA
Boy is a fighter any day of the week.Mpaka dakika ya 79 tunaongoza 3-0. Come full time 3-3 [emoji23][emoji23]
Ila Suarez ukiachilia mbali tabia zake za kishenzi ni mchezaji mfia timu yani alikuwaga anataka kushinda tu hataki habari nyingine. Ni wachezaji wachache sana ma fighter kama Suazombie.
Ohooo kama msomali fulani vile..Super tall matip[emoji7][emoji91]
Jamaa ana body nzuri na shingo yake[emoji91]
Hatuna utulivu nadhani hawa jamaa wamebadili mfumo chap kipindi cha pili.Kwenye mpira ni kawaida mkuu, hawana chakupoteza saizi wanaamua wapambane. Lakini ushindi huko pale pale.
Namuelewa sana jamaa kusema ukweli.Ohooo kama msomali fulani vile..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Hahaha nakusoma Kops...Namuelewa sana jamaa kusema ukweli.
Combination ya wazazi wake ilitoa kitu[emoji91]
Kumbe hadi England timu zinapitisha mlungula chini kwa chini
Tupo ugenini na hawa jamaa msimu huu kwao hawafungiki kirahisi aisee.Sijua tunakwama wapi wanatokasa balaa