Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🧐🧐🧐🧐🧐Hawa Fifa hawana huruma kabisa.
Ndio nini sasa tutakosa uhondo wa kijana wetu mmoja kule Qatar..

Haya mambo bhana hata Europe World Cup play off matata sana inasubiri kati ya Portugal na Italy yaaani hapo mmoja atakosa safari...

Ningependa watue Mane Qatar haha Salah atulie tuna mission kumshusha kipara kutoka Himalayas...

YNWA
Hahaha yani ni shida hapo unashindwa hata kuchagua nani aende nani abaki ila mimi naona bora Mo aende.

Ana jambo lake mwaka huu Balon d'Or 😂😂
 
Hahaha yani ni shida hapo unashindwa hata kuchagua nani aende nani abaki ila mimi naona bora Mo aende.

Ana jambo lake mwaka huu Balon d'Or 😂😂
Hahaha hii Ballon d'or hua changamoto sana usishangae atakaeshinda hata asifike semi faino kombe la Dunia.

Mo atakua kashafika 30 umri hivyo atulie tuliiiiiiii nwa ngoja tuone pazuri ni kwamba uhakika wa kua mmoja wao Qatar upo sasa...

YNWA
 
Screenshot_20220122_195052_com.android.chrome_edit_21993281605497.jpg

DullyJr na Aaron Arsenal remember the man remember the name Diogo Jota...

But guys damn that Martineli kid is full package...

YNWA
 
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🧐🧐🧐🧐🧐Hawa Fifa hawana huruma kabisa.
Ndio nini sasa tutakosa uhondo wa kijana wetu mmoja kule Qatar..

Haya mambo bhana hata Europe World Cup play off matata sana inasubiri kati ya Portugal na Italy yaaani hapo mmoja atakosa safari...

Ningependa watue Mane Qatar haha Salah atulie tuna mission kumshusha kipara kutoka Himalayas...

YNWA
Lakini angalau tuna uhakika wa kumwona mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom