Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Liverpool VPN Achana na kuwaambia watu waoe njoo kwenye uzi pendwa huku.
Habari nzuri sana. Ni kama usaijili mpya.View attachment 2087219

Huyu dogo msimu ujao lazima tumbebeHabari nzuri sana. Ni kama usaijili mpya.View attachment 2087219
Mimi huwa naskiziaga matokeo tu Yani ..apa nim bana zangu makaghari nasubiri mbungi liishe nijue Kama tumeshinda au laa..huyu mwamba kwanza sidhani kama huwa anaangalia mechi
![]()
tutaupiga mwingi Kloop anapaswa ajifunze kwenye hii game ya leo .Huna uwezo wa kumfunga Brighton jiadae kukimbia humu kama kawaida yako.
YNWA
Leo
tutaupiga mwingi Kloop anapaswa ajifunze kwenye hii game ya leo .
Leo
tutaupiga mwingi Kloop anapaswa ajifunze kwenye hii game ya leo .
Mkuu umerudi karibu Sana, Mimi naona Kama tunagombania nafasi ya pili vile wale Man city washatupiga gape
Naona vitimu vya msimu vimeshaanza kucheua nyongoHuyu dogo msimu ujao lazima tumbebe
Ndio zake yule mzeeWale waliokuwa wanapiga kelele klopp asajiri,Tayari usajiri mpya huo hapo![]()
Mkuu
Mimi huwa naskiziaga matokeo tu Yani ..apa nim bana zangu makaghari nasubiri mbungi liishe nijue Kama tumeshinda au laa..



vp kwani mlishinda?Gemu ipi yaaani Chelsea hii ilivyo hoi kabisa ulikua na uhakik utawapiga Brighton... Naona hawajui vizuri Seagulls wewe.Leo
tutaupiga mwingi Kloop anapaswa ajifunze kwenye hii game ya leo .
Hahahaha huyu jana kaamshwa usingizini aisee hamjui vyema Potter ila jana ujumbe ameupata.Jamaa atapotea huyu![]()
️ #THFC