Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Wana Liverpool HALISI za siku nyingi?
League bado mbichi sana wala msiwe na wasi wasi
Heri ya belated Xmas na mwaka mpya
Malafyale
Kijijini ipinda-Kyela
Mkuu umerudi karibu Sana, Mimi naona Kama tunagombania nafasi ya pili vile wale Man city washatupiga gape
 
Tuchel wanted tu build a team that no one will want to play against, but Lukaku's sweat is melting his cement.

Hizo kauli angekuwa anaenda kusemea Kwenye ligi ya timu moja sio Epl hapo.

Lukaku alivyokuja mechi Za mwanzoni alifunga na mechi na arsenal akafunga tena tuchel akamsifia sana ndio maana tumemleta lukaku.

Tuliwaambia huyo lukaku project iliyo fail hapo Epl hana maajabu hawakuamini,sasa wanajionea wenyewe na wanaanza kugombana pasipokuwa na sababu Za msingi.
 
Kabisa ndugu tetesi ni kwamba alitengeza makundi ndani ya klabu na akaanza kuja kivingine ionekana kana kwamba karidhi matatizo yote walionayo pale Everton..

Bodi ya Everton ipo tatizo lakini na yeye angejiongeza kwa wachezaji waliopo apambane. Sasa subiri wampe Ferguson hii timu uone ule mzuka wake kama watafungwo kirahisi...

Benitez Everton was never meant to be.

YNWA
Yeah mkuu.

Kuzinguana na Digne tu ndani ya miezi michache vile kuliahiria poor man management.
 
Haha jana Digne kaupiga mwingi sana pale Villa Park yaaani unajiuliza ile passion ya kupanda kule ilipotelea wapi akiwa Everton...

Na dogo hajaficha kasema kazinguana na Benitez ndio maana kaodoka.

Mpira umebadilika sana kwa baadhi ya timu wachezaji wana nguvu balaa wakisusa wala hawapigi viatu kama zamani inakua safari ya kocha ndio hioooooo kama yaliyomkuta Benitez..

YNWA
 
Sijui mpira kihivyo Ila sidhan kama minamino ni bora kuliko Henderson

Sent using Jamii Forums mobile app
Henderson wanasema na leader of men, vocal, real professional maana hua hasikilizi maneno mbal anatekeleza majukumu yake ndani na nje ya uwanja..

Minamino ni dynamic flexible kind of player anacheza kati na pale mbele.

Ni ngumu kumlinganisha ubora wake na Henderson kwa vile mpaka sasa Klopp hajampa gemu za kutosha na hii inatokana kwamba kwa sasa anapambana na hawabFirmino, Jota, Origi kupata namba pale mbele hivyo amejikuta muda mwingi anacheza aidha FA ama Carabao.

Minamino na Elliott ni wachezaji fulani vilaka kokote kambi.

Nilisema acheze kati ni kwa sababu kabla ya leo waliokua wamecheza tuliambulia kipigo na sare hivyo wakati mwingine ni muhimu kubadilia askari vitani waje na mbinu mpya kama waliopo wanakwama.

Leo Brentford shot on target wameipata dakika ya 90+, hii imetokana na tulishinda mipira ya pili almost yote yaani hata tuki misplace pass basi wachezaji wetu walikua aggressive kuhakikisha wanawapokonya Brentford mpira na kuanza move... Hii ni tofauti kabisa akiwepo Milner kwa vile miguu inataka mwili unagoma. Jones leo anamiliki, ni msumbufu haswa ana miguu ya kukimbia, ana hold mpira nk..

Leo Oox,Firmino na Jota walishuka huku chini kusaka mpira na huu ndio mpira wa Liverpool ninaojua mimi. Tukicheza hivi hakika ushindi upo.

Hua nasema narudia tena Liverpool tukicheza kama Unit basi ule uzembe ambao umesababisha kupoteza pointi 10 msimu huu wala huuoni...

Tupo unstoppable pale kila mchezaji anaelewa na kutekeleza majukumu yake na leo bila hata kucheza in full throttle tumetoka salama na pointi 3 murwa sana. Leo pasi nyingi tumepoteza na kipa upande wa Brentford kakomaa sana kutuzima.

Clean sheet ya kumi amekuja wakati mwafaka. Tulihitaji upya tupate utamu wa ushindi mzee baba maana wanasema winning is addictive hivyo tutarajie mazuri kuanzia kwenda mbele..

1st half we were real luck indeed. Error ya TAA (back pass to Mbeumo)
Matip (foward pass but to opponent)
wangezitumia vizuri hali ilikua tete kwetu.

Nilijiuliza mbona hii brentford tofauti sana hawa press hawana intensity. Remember 3-3 1st round match vs Chelsea?? they were story indeed.

Klopp achange karata vyema combo ya hendo na millie itamuangasha na kutuumiza.
Match vs Arsenal give Minamino chance atleast 60-70 min upfront he has something to give us.

This would have been time for Harvey Elliot if he had not injured ...

Best of luck to the boys.. We only need three points and goals.

Sent from my Pro_Max11 using JamiiForums mobile app
 
Hizo kauli angekuwa anaenda kusemea Kwenye ligi ya timu moja sio Epl hapo.

Lukaku alivyokuja mechi Za mwanzoni alifunga na mechi na arsenal akafunga tena tuchel akamsifia sana ndio maana tumemleta lukaku.

Tuliwaambia huyo lukaku project iliyo fail hapo Epl hana maajabu hawakuamini,sasa wanajionea wenyewe na wanaanza kugombana pasipokuwa na sababu Za msingi.

Bado kuna Vivulana vinajiaminisha kuwa Lukaku ni mzuri lakini hapewi mipira.
 
Kuna mjadala unasema kwanini Man City kwenye Msimu huu hawapati injury wala Corona tofauti na Timu nyengine?

Ukweli ni kwamba wanapata but ukubwa wa kikosi chao unaruhusu rotation ya wachezaji wazuri hivyo pengo la kukosekana wachezaji wawili au watatu huwezi kuliona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom